Baada ya Baadhi ya Mashabiki Kumshambulia kwa Maneno, JB Asema Haya

Kufuatia kitendo baadhi ya mashabiki kumshabulia kwa maneno makali staa wa Bongo Movies, JB kwa kuonyesha mapenzi yake kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi wa mwaka huu, JB amefunguka haya kwenye ukurasa wake mtandaoni kuwataka wabadilike kimtazamo.

Hakuna kitu muhimu kwenye maisha kama furaha....lakini furaha ina ambatana na kufanya mambo ambayo moyo wako unapenda bila kuvunja sheria.

Kuishi maisha ya kuogopa kitu unachopenda kwa sababu ya watu ni kuinyima furaha roho yako...watanzania wenzangu tuanze tabia ya kuheshimu maamuzi ya wenzetu.

Angalia hata kwenye mahusiano yetu watu wakiachana ni uhasama..kisa hatukubali kuwa mwenzako moyo wake uko kwingine.

Eti lazima akupende ww tu..haa...kwenye siasa ndio usiseme mtu akipenda upande mwingine ashakuwa adui.Aaah tubadilike.....sambaza upendo..+255 kwanza.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyie wasanii ni wanafki sana huwa mnakimbilia penye pesa Hanna mapenzi yoyote kwa ccm at a kidogo acheni unafki Hanna chama nyie chama chenu pesa na kutaka umaharufu pia mkifulia mpate pa kukimbilia wajinga kweli nyie

    ReplyDelete
  2. Minafiki tu hii

    ReplyDelete
  3. Ni kweli kabisa. Kwanza nchi yetu ni nchi ya kidemokrasia. Kila mtu ana uhuru wa kupenda chama anachokitaka. Sio lazima kila mtu apende UKAWA. Mungu ibariki Tanzania Yetu.

    ReplyDelete
  4. Inashangaza!Tatizo ni wasanii wengi kupenda CCM au?Maana kuna wasanii wengi walipenda vyama vingine mbona hawajasongwa kama hawa wapenda CCM?
    Tusiusemee moyo,wako wasanii ambao wamenufaika na CCM,UNADHANI WANAWEZA KUICHUKIA?PENDA KITU ROHO INAPENDA ILI MRADI ISIWE DHAMBI.

    ReplyDelete
  5. Mti wenye matunda watu husogelea. UKAWA ni valley of dry bones

    ReplyDelete
  6. Kila mtu yuko huru jamani ivi ni lazima kila mtu awe wa chama fulani then unaondoa maana ya democrasia na pia vyama vingi vinakuwa havina maana.Kama unaridhika na sera ungana nao la hasha nyoka na plan B

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad