Baada ya Clouds FM Kumzengua Mtangazaji Maarufu Dina Marios, Sasa Ajiunga na Redio Pinzani EFM...

Dina Marios Aliyekiwa Mtangazaji wa Kipindi cha Leo Tena Clouds FM Amepost Picha Akiwa Redio za EFM ikiwa na Maana tayari Ameshahama Redio Clouds Ambayo kwa sababu wanazozijua wao walimweka Bench kwa Muda Mrefu Kiasi cha Mwenyewe Kulalamika Kitendo hicho...

Dina Marios Ameandika Haya Katika Ukurasa wake wa Facebook na Kuambatanisha na Hiyo Picha Hapo Juu:

"I believe if you keep your faith, you keep your trust, you keep the right attitude, if you’re grateful, you’ll see God open up new doors.”
– Joel Osteen

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. I just w,n say ''THANK YOU GOD''

    ReplyDelete
  2. Hongera Dina, Mungu akutangulie katika kazi yako hiyo. Love u

    ReplyDelete
  3. You go dina maisha ni popote

    ReplyDelete
  4. True Dinna Fanya kazi mama zion.

    ReplyDelete
  5. safi sana dina maisha popote wasamehe bure lakini Clouds wasijione wao ndio kila kitu ipo siku nao vitawageukia

    ReplyDelete
  6. jaman hakuna linaloshindikana chini ya jua,Mungu akipanga amepanga hata wangeziba rehma vp zitakuja,..hongera sana Dinna

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad