Ben Paul & Belle 9 amkeni usingizini , Mmelala Sana Aise....

Toka wimbo wa NIKIKUPATA mpaka SOPHIA.Ben paul ameendelea kuthibitisha ubora wa kipaji chake maridhawa.Belle 9 ni kipaji kingine adhimu katika ardhi ya nchi yetu.Wasanii hawa wawili mpaka leo hawapati thamani na hadhi zao sahihi.

Napenda kuwaamsha usingizi kuwa wanatakiwa kuwekeza katika kazi zao ili watoke kimataifa.Katika dunia ya sasa hivi ili uwafanikiwe unahitaji kuwa na kipaji na management nzuri, vijana hawa ni kama wameridhika hivi,lakini ukweli ni kuwa lazima waamke ili kufika juu zaidi.

Nakaribisha hoja zaid,

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad