BREAKING: Dr. Slaa aibuka tena kupitia Ukurasa wake wa Twitter na kusema Mambo Mazito kuhusu Lowassa
21
August 12, 2015
BREAKING: Dr. Slaa aibuka tena kupitia Ukurasa wake wa Twitter na kusema Mambo Mazito kuhusu Lowassa...Hapa Chini unaweza Kusoma Mambo yote aliyosema kuhusu Lowassa na Chadema...
BREAKING: Dr. Slaa aibuka tena kupitia Ukurasa wake wa Twitter na kusema Mambo Mazito kuhusu Lowassa
Tags
Tunaomba apate ulinzi ili afunguke ...............ili hili fisadi lituondokee
ReplyDeleteTuwe makini sana na hawa wanasiasa wetu, sijui wanataka wawe na siasa za majukwaani tu bila kushika dola, mzee wangu Slaa ni nini unachohitaji?wote ni watu ambao hamueleweki..................pls kama umeamua kukaa pembeni kaa kimya sio kuanza kampeni chafu
ReplyDeleteSIO SIASA CHAFU,NAIPENDA CHADEMA LAKINI NAMNA WALIVYOMPOKEA LOWASA INALETA MASWALI MENGI KWA WANAOJUA KATIBA YA CHAMA.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Deletetunakokwenda, kila mtu akae mguu sawa!
ReplyDeleteAsante anon hapo juu hawa wazee wote ccm wanataka kutumaliza tu yeye mwenyewe akisimamishwa hana usafi wowote.,ccm washenzi sana wameona wamtumie mpk huyu babu ila ukweli nikwamba hata lowassa asipo simama hutuwachagui..tena slaa usiongelee rushwa maana umeshachukua hela,eti anaomba ulinzi toka lini chadema wakawa mamafia wewe upo upande wa wauaji majangili alf unaomba ulinzi hebu tutokee hapa
ReplyDeleteEWE MOLA WETU TUNAKUOMBA UENDELEE KUONEKANA NA KUUMBUA YALIYO MAOVU.TUNAAMINI UTATENDA,IBARIKI TANZANIA,BARIKI VIONGOZI WENYE NIA NJEMA NA TANZANIA.
ReplyDeleteHuyu jamaa atakua n mamluk wa upande wapli chadema alikua kimaclah sasa ameona mwisho wake wa kujpatia hela unafka anataka aanze siasa chafu mzeee pumzka kwa Aman uctuletee uchwara
ReplyDeleteMtabisha sana hamkubali ukweli mpaka mtu atolewe roho hiyo ni kweli lazima ajiogopee usalama wake kwani Edo anafanya kila njia kumzimisha huyu mzee wetu Slaa ili asitoe siri akamvunjia riziki yake kwa kutufungua macho sisi walalahoi tulio lala hatusikii la iziraili mtoa roho wala mchota maji kwa kumshabikia fisadi.
ReplyDeleteUsikae kimya mzee slaa funguka.. Ucnyamaze tunakuamin na kukubal wanataka waje waendeleze ufisadi na kwetu.. Iyo haiwezekani.... Kikwete lowasa wote mafisad wakunuka na CCM Yao....
ReplyDeleteSilaa uko sahihi baba.
ReplyDeleteTena mzee ukome mbona ulipoasi upadri hukuandika mtandaoni? Laana inakufuata wewe wewe mwenyewe ni dhambi tupu tena padri embu kakusanye hata sadaka tu
ReplyDeleteSlaa hakuasi Upadri na ashapita ngazi ya Upadri,Slaa alikuwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu,kijana unapoandika kitu do not jumping and bursting..ok???
DeleteSema baba
ReplyDeleteHata mimi kesho nitaongea kuhusu ubabaishaji uliotumiwa na mwenyekiti kumleta Lowasa,naomba tegeni masikio nitapasua kila kitu.Kama mbwai na iwe mbwai!
ReplyDeleteKama umekaa pembeni acha kuchonga ngenga hapa ni kazi tuu
ReplyDeleteac feke jamani,hii blog iwe makini na post zakeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteHuyu mzee asitake kutuchanganya watz kama hataki kuendelea na UKAWA akae kimya au na yeye asafiri kama mwenzie lipumba, aaaagh! atuache watz tudili na ccm wenyewe.
ReplyDeletehhhaaaaaaaa acount FAKE FAKE
ReplyDeleteFAKE CCM mtaisoma tarehe 22/ Dr slaa si wa ovyooo kiasi hich kupost ujinga badala ya kuclear na medias
haya!
ReplyDeleteKampeni ya Lowasa kuingia Ikulu akiwa na wapambe wake Karamagi na Rostam wamiliki wa TICTS inayoinyonya Tanzania mpaka inatembelea magoti, hivi tamaa ya fedha ya viongozi wa Chadema kuhongwa hela ili kumpisha huyo Lowasa ambaye hajawahi kuwa mpinzani katika nchi hii, hamuaminiki tena milele wanafiki.
DeleteAKALALE MZEE,
ReplyDelete