Breaking News: Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Fredrick Sumaye Amekihama Chama cha CCM na Kujiunga na Chadema


Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa miaka 10 (1995 - 2005) akifanya kazi na Rais Mkapa, mhe. Fredrick Sumaye, anaiaga CCM na kujiunga UKAWA muda huu jijini Dar Es Salaam katika mkutano maalum wa UKAWA na vyombo vya habari.
Sumaye anakuwa waziri mkuu wa pili kujiunga UKAWA baada ya mwenzie Edward Lowassa kufanya hivyo. +255Kwanza
Tags

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kajiunga na UKAWA na si chadema.....

    ReplyDelete
  2. Sumae anafikiri atakuja kuwa rais wa nchi, anahaha tuu, watz bado hawajasahu wizi wa mashamba.

    ReplyDelete
  3. Du! hii kali, pesa za wizi zimeisha viongozi wanaitaka Ikulu kwa njia yoyote, aibu.

    ReplyDelete
  4. Sumaye anafikiri Lowasa atakuwa raisi tha akizi kuumwa au kufa atachukuwa nchi yeye. rungu kapewa mwandawazimu.

    ReplyDelete
  5. UROHO WA MADARAKA UTAWATOKEA PUANI.

    ReplyDelete
  6. inajulikana fika kama Lowasa ni mgonjwa, na juzi alianguka home kwake mpaka akazimia, sasa Sumae kashapiga mahesabu yake kwa ukawa kaingia choo cha kike.

    ReplyDelete
  7. bora mafisadi woooooote watoke ccm.

    ReplyDelete
  8. Ivi nyie mikundu mnao sema ukabila hao walio ongoza nchi mkapa nyerere mwinyi kikwete wawo ndio walikuwa Wa maana sana au na ago majizi uko ccm no wema sana eti kwani kaskazini so watanzania au hawapaswi kushika uwongozi wowote ndani ya nchi hii nyie mtakuwa wakwanza kuvunja amani ya nchi hii tutaona sasa atakae kuwaraisi thisevtime ccm Nazi mnayo eti ukabila kumanina zenu wafilisikaji Wa kujitambua na nyie simkagombanie kupitia fucking kabila zenu matako kqbisa nyinyin

    ReplyDelete
  9. Na were msenge ulikuwa nyumbani kwa lowasa ulimuona alipo anguka umbea tu Wa mtsndaoni kaa kimyaaa kama huna hoja ya msingi nyie wote mlio changia hapa Leo akilini zenu zipo mbele ya uchi zenu

    ReplyDelete
  10. Waende wote tu

    ReplyDelete
  11. Si mtangaze nchi yenu Tanzania kasikazini?

    ReplyDelete
  12. mm sio msenge ila naujua ukweli kama Lowasa alianguka juzi na kuzira nyumbani kwake, kama huamini muulize basha wako alikuwa nae. Anony 7.06 PM

    ReplyDelete
  13. wewe Anony 7.04 PM naona huna mkundu wala kinyoleo ndo maana unahasira sana, kaoshe kifuu chako kinachotoa uvundo nyuma ya mgongo wako.

    ReplyDelete
  14. NA BADO WIZI WOOTE WATAHAMA CCM.

    ReplyDelete
  15. Heheheeeeee anajisogeza muzee akizidiwa aongoze jahazi tumekusoma

    ReplyDelete
  16. Eti anaumwa Ccm kwa propaganda hamjambo,na Kama kuna kijana humu hajazidi miaka 40 na anaisifia ccm inabidi akapimwe akili zake,labda kama kuna mtu kwenye familia yao ni mjumbe wa kata.

    ReplyDelete
  17. Wewe unaesema ameanguka nyumbani kwake si ulikuwepo sababu alikuwa anakupelekea muhugo wa Ja n'gombe kwenye kisamvu chako cha kopo.maana unajifanya unamjua sana.

    ReplyDelete
  18. CCM wameamua kuvua nguo chafu...ukawa wanavaa nguo chafu zinazotupwa na ccm.

    ReplyDelete
  19. anaogopa umati wa watu ajui kuwa hao ni ccm imewanunulia uniform waonekane ni chadema siku ya kura ukawa wataanza tumeibiwa kura.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad