Breaking News: Polisi Watumia Mabomu ya Machoz Mwanza Kuwatawanya wafuasi wa Lowassa

Muda  huu  polisi  wanapiga mabomu  uwanja  wa  ndege   jijini  Mwanza kuwatawanya  wananchi  waliokusanyika  kumpokea  Lowassa.

Mabomu  yamepigwa  muda  mfupi  baada  ya  ndege  inayosadikiwa  kuwa  ni  ya  Lowassa  kutua  uwanjan, hali  iliyowafanya  wananchi  walipuke  kwa  furaha  huku  wakiimba  nyimbo  za  Chadema.

Kadhia  hiyo  iliwafanya  Polisi  watumie nguvu  ya  ziada  kuwatawanya  wananchi hao  waliokuwa  wametanda  barabarani.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HAO NI POLICECCM POLICE TIZAMENI NYUMBA ZENU KWANZA MAISHA YENU DUNI KWA AJILI YA CCM .WATANZANIA WANATAKA KUBADILI MAISHA YAO PIA NI FAIDA KWENU

    ReplyDelete
  2. kurudisha pesa kwanza!

    ReplyDelete
  3. Ndio maana nyie polis muna maisha duni kwa kuwafagilia ccm

    ReplyDelete
  4. HERI YAKO MDAU HAPO JUU UNAMAISHA MAZURI KWA KUIFAGILIA CHADEMA POLISI CCM KAMA MNAVYOTUITA TUMEKUNYWA MAJI YA BENDERA ACHA TUFE MASKINI ILA TAJIRI WENU LOWASA MABOMU UTAMPIGA TU MPKA KIELEWEKE NA KAMA NCHI TUTAISHIKA WENYEWE HAINGII IKULU HUYO.

    ReplyDelete
  5. Mdau ulieshauri polisi ni ukweli waache kuangalia nchi inakoelekea wanapiga mabomu tu bila kufikiri, Halafu kama wale waliomzuia Muheshimiwa kwenda kuzika ina maana kuna misiba ya chadema na ccm? Hebu fungueni ufahamu jamani polisi mnapelekwa pelekwa tu. Subirini ukawa ukamate nchi hampati rushwa katika maisha yenu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad