Breaking News! YUSUF MANJI Akatwa UDIWANI MBAGALA!!!


YUSUF MANJI akatwa UDIWANI MBAGALA!!!
VURUGU kubwa zimetokea katika ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam baada ya Wanachama wa chama hicho, kupinga hatua ya uongozi wa CCM mkoani hapa kutengua ushindi wa kura ya maoni kwenye ngazi ya Udiwani kata ya Mbagala kuu aliopata Yusuf Manji, ushindi huo kupatiwa na aliyeshika nafasi ya pili katika ngazi hiyo Abubakari Athumani.Anaandika KAROLI VINSENT
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KIVUMBI CCM.YUSUPH MANJI NI RAFIKI MKUBWA WA MWENYEKITI WA CCM JAKAYA KIKWETE.SASA KUMUENGUA UDIWANI MBAGALA KUU NI SAWA KABISA NA KUSEMA KIKWETE AMEFIKIA TAMATI MBAYA YA FEDHEHA KUBWA.LIMEKAMATWA SANDUKU LA RUSHWA YA MANJI DODOMA,MILLION 750 WAULIZENI RPC NA TAKUKURU DODOMA WALIVYOFOKEWA.MPENI FEDHA ZAKE.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad