Breaking News..Kingunge Ngombale Mwiru Avuliwa Ukamanda wa UVCCM Taifa..Atoa Mazito

Kikao cha baraza kuu uvccm kinachoendelea hivi sasa katika ukumbi wa mwalimu J. Nyerere dar es saalamu chini ya mwenyekiti wake Sadifa J. khamis.
kimemuenguwa na kumfukuza KAMANDA wao wa taifa nd KINGUNGE NGOMBALU MWILU.
Maamuzi hayo yamekuja baada ya baraza kuu kujadili na kutathimini mwenendo wa kamanda huyo hasa kipindi hichi cha mapambano.

kikao hicho cha baraza kimefikia maamuzi hayo baada ya kuamini kuwa kamanda huyo kwa sasa hataweza kuivusha jumuiya hiyo katika kupata ushindi wa kishindo oct 2015


Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CCM YA LAANA KAZI IMEANZA WATU WEEEEEEE UKAWA UKAWA

    ReplyDelete
  2. Ccm naipenda bora mlivyomuondoa ss tunataka umoja na mshikamano ndy ushindi wetu,kidumu chama tawala.

    ReplyDelete
  3. Huyo mzee apumzike bhana inatosha hata hivyo UKAWA hatumtaki

    ReplyDelete
  4. hahahahah bora wamemtulia mbali!!

    ReplyDelete
  5. uamuzi wa uvccm si wa busara ,leo mnamhona kingunge mbaya coz ni swahiba wa lowasa?urafiki na mapenzi yake kwa uvccm ni tofauti ,

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad