Breaking News:Profesa Lipumba Kashindwa Kuvumilia, Haya Ndio Maamuzi yake Magumu

Kumekuwa na stori nyingi ambazo zimeandikwa sana Magazetini kuhusu Umoja wa Vyama vya UKAWA, baada ya Mbunge wa Monduli kukaribishwa CHADEMA na UKAWA stori nyingine zikaanza kuchukua headlines kuhusu baadhi ya Viongozi waliopo Vyama vya UKAWA.

August 06 2015 nimeipata taarifa rasmi kutoka kwenye Kikao ambacho Prof. Lipumba amekifanya Dar, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti wa Chama hicho.

Kunani?

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MAMLUKI hao sasa.. ukute wamedhurumiana

    ReplyDelete
  2. Tutajua tu.Hao ndio wenye kujua ukweli kwamba Edo hana nia njema na TZ bali ana uchu wa madaraka tu.safiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana Pro.Lipumba,waache hao wajinga waliolewa na pesa za Lowasa. Magufuli tu jamani,Atapetaje kiulaini sasa!Mungu Ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  3. UKAWA Kumbe ni CHADEMA. Bila CHADEMA hakuna UKAWA. Tumeelewa somo.

    ReplyDelete
  4. Na bado watajiuzulu sana uchu wa madaraka ndio mpango mzima UKAWA mchezo hureeeeee kila mtu anataka kuwa raisi kila mtu atajenga chama chake mwenyewe.

    ReplyDelete
  5. Mheshimiwa kulikoni tena unakumbuka shuka wakati kumeshakucha? DJ Mbowe ameshakuingiza mkenge wewe na CUF yako, umevua nguo zako zote umemkabidhi DJ akushikie! CUF imekula kwenyu, poleni sana tena sana. Ama kweli akili za kuambiwa changanya na zako (shikamoo JK)!!!! CCM JUUUUUUUUUUUUUUUUUU

    ReplyDelete
  6. Hayawi Hayawi UKAWA sasa hii inaonekana wazi ujio wa EL hauna heri bado tu kuna UKAWA ni safari ya matumaini na UKIWA Thumb up Dr. Silaa na Pro Lipumba kwa kuonyesha uzalendo wa kweli wacha Mbowe and gang from CCM'S kapis wausikilize na kucheza muziki wa Aliselema selema bila kupenda

    ReplyDelete
  7. afadhali umejiuzuli maana usingeshinda urais team lowasa oyeeeeeee jembe hilo soma alama za nyakati

    ReplyDelete
  8. Mbowe ama kweli tapeli kawatia mkenge profesa na dakitari na visomo vyao na mishahada ya juu saa ingine kusoma ujinga kweli watanzania tutapona Mbowe plus Edo, lisu, Esther, Mnyika, Nassari ongezea na makapi yaliyomfuata Edo Mtume si mama haya si mageuzi tunayo yatarajia ya kuchoka miaka 50 ni kiama kimekaribia

    ReplyDelete
  9. makachero hawa.
    prof kashawishika kuvuruga UKAWA.mbona mwanzo anamkalibilisha Edo, prof alikuwepo na vikao vingi vya kumuita Edo alikuwepo,Bila shaka kuna kitu behind,mimi kama usalama wa taifa nitawajuza wadau.LIPUMBA yupo tayari ccm irudi tena magogoni hiyo ndo tafsiri ya kujiuzulu.

    ReplyDelete
  10. Eti timu lowasa oyeeee unajipa moyo mpendwa ,,,, UKAWA ITAGEUKA UKIWA,,,,,, bongo Tambararee ,,,, Bongo Rahaaaaa banaaaaa. SIASA YA BONGO KAMA KICHWA CHA Chizi,,,,, Chadema Chaliii Lowasa a timbwili timbwili ka Asha ngedere.

    ReplyDelete
  11. Lipumba na Silaa wameonyesha uzalendo hivi wangefungua kwa watanzania wapi midomo, wale wale waliomtukana EL leo wawatangazie wananchi kuwa ni msafi??? umetapika mbele za watu halafu uzoe ule? mh.

    ReplyDelete
  12. lowassa hashindi hata mkale barabarani uchi

    ReplyDelete
  13. Good man Professor
    wamesahau zile Rungu ulizokuwa unachapwa kule Mbagala...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad