Breaking News:Sumaye Ang'atuka CCM Kuanzia Leo

Waziri mkuu wa zamani amejitioa CCM rasmi kuanzia Leo. Akizungumza na wanahabari kwenye
ukumbi wa Court yard jijini hapa anasema amechoshwa na democrasia uchwara ndani ya CCM.
Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. safi sana karibu Ukawa Cuf chadema unapo taka

    ReplyDelete
  2. (WAPIGWE TU = WAHAME TU) Hahahaaa............... na bado.

    ReplyDelete
  3. Wote wanatoka kaskazini we don't mind.

    ReplyDelete
  4. Naye huyu kenge kachoka sasa kutafuta umaarufu mkikosa ulaji visa mtindo mmoja tumesitajabu ya Moses sasa tusubiri ya firauni

    ReplyDelete
  5. Alitaka achaguliwe yeye asingehama CCM sasa jamani nafasi ya uraisi ni mtu mmoja kila aliyekosa anasingizia CCM haina demokrasi bora hio nafasi ifutwe tuwe wote maraisi hakuna ugomvi

    ReplyDelete
  6. Hata hiyo sheria ikiwepo km hawataifuatilia itakuwa kazi bure,watu ni waongo sana jmn,

    ReplyDelete
  7. Udaku tuuu huo na Uzushi Sumaye ana penshen kubwa CCM hawezi kutoka NG'OO najielewa wapi pa kula hawa watu wa magezeti wanastahili kufungiwa wakitoa habari za uongo kazi yao kupaka watu Matope na kwavile washajua hisia za watu ni matusi wanaona raha sana watu wakikashifiwa sio vizuri. Sumaye hatakama haipendi CCM hawezi toka Ruzuku anayoipata ndio inamuweka CCM.

    ReplyDelete
  8. Wala hatumtaki UKAWA habaki huko huko

    ReplyDelete
  9. Sio habari ni abaki

    ReplyDelete
  10. mchukueni Sumaye wenu na tamaa yake.hao ndo mafisadi wenyewe wasio tosheka na Pesa!

    ReplyDelete
  11. karibu UKAWA utie nguvu chama baba maana Lowasa oh fisadi, huyu hawajawi kutoa ufisafi wake njoo tu Papa....

    ReplyDelete
  12. YOTE HII NI JANJA YA CCM. NI KUTAWANYA UGONJWA WAKE MBAYA KOTE KOTE. TAFADHALI TUJIHADHALI SA A A NA NA HAWA CCM. KUNGEKUWA NA MIPIRA, TUNGE WAASA WANASIASA KUVAA WAKATI WA KUPIGA SIASA. GONJWA BAYA " U F I S A D I" LINAENEA KILA MAHALI.

    ReplyDelete
  13. Huyu Bwana Hafai Hafai Hafai mwizi wa Mashamba,Hapendi na Hana Ushirikiano,Rafiki Mkubwa wa Mkapa Waulizeni majirani zake Kiluvya.Hii ni Habari iliyo wazi.HAFAI.Aende ACT ya Kiongozi Mkuu,Hayawani kama yeye.

    ReplyDelete
  14. Mlisikia wapi jongoo kapanda mtungi mlisema mtashindana naomba ccm kwa hoja sasa mnamwaga mitusi nyie chadema waota ndoto mchana kenge kweli kweli

    ReplyDelete
    Replies
    1. SAWA SISI KENGE DUME WEWE CCM KENGE JIKE.HEBU SOGEA KARIBU LAAZIZ KIJANI TUMALIZANE,BARADHUUL SHETUWAAN.

      Delete
  15. amebaki pombe, yeye atahamia tarehe 25 october jioni ili tujiburudishe baada ya kazi,
    tutamunywa kweli

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad