CCM Mna Maoni Gani Kuhusu Mh. Sumaye na Kukimbiwa na Mawaziri Wakuu Walio na Jina Kubwa Nchi Hii?

CCM MNA maoni gani kuhusu mh. Sumaye na kukimbiwa na mawaziri wakuu walio na jina kubwa nchi hii? Je! Wananchi mnawaeleza nini Juu ya usafi wa CCM?
Tags

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aliku wapi kala kavimbewa ndo anatuhadaa Nashangaa unauliza CCM wanamaoni gani huu ni mwaka hata kipofu anaona ni umaarufu mbele kwa mbele wamegeuza ni mwaka wa biashara akikosa anasingizia jua kwa nini tutumiwe na wanasiasa wanaotumikia tumbo hala tunawaona maarufu sana na kuwaonea ajabu ya kuhama toka chama hiki kwenda kingine tofauti tuliyo nayo ni ujasiri wa kuhadaa hata mimi au yule tuna weza tukaingia ktk biasharakama hii kwani watanzania wajinga tuko wengi tunawajaza matumbo kama kina sumaye bila ya jasho ili mradi tunafata kama mazuzu kwani yeye nani mpaka tuone ajabu kuhama dunia yote ishangaee kwanini tunapenda sana kukuza majambo hata hayana msingi wala matinki yoyote

    ReplyDelete
    Replies
    1. KABLA YA KUANDIKA HYO HADITHI YAKO NDEFU BWANA 7.30 AM UNGETATHMIN ULICHOANDKA KWANZA KAMA KINA MASHKO HII NDO TATIZO LA AKILI MGANDO NA NDO TURUFU YA CCM AN WAY ENDELEEN KUTUMIKA!

      Delete
    2. 10:07 kwani ukiizungumzia ccm bila kuponda unatumika?07:30 kaeleza alichoelewa na kuelewesha wasioelewa,c hawa hawa waliozomewa na upande wa pili leo upande wa pili huo huo unawashangilia!!! nyani ni wale wale tofauti mapori tu,wanasiasa wanatuhadaa kwa ajili ya matumbo yao.

      Delete
  2. Hawa watu awaridhiki tunaelewa tangia awali hawa watu tamaa itawaua .unamuona SUMAI anajikanyaga tu .Hana mpya ccm iko palepale na sura mpya. Tusubili siku ya siku waone ccm mpya.

    ReplyDelete
  3. Magfuliiii oyeeeeee makapi yote yako ukawa Sumae nenda baba nenda kifua mbele kama Esta Bulaya alivyo enda na kuleta mtafaruko Bunda Chadema Chaliii mwaka huuu hao wakina Sumae na Lowasa wametumwa na CCM kuvuruga ukawa walikuwa wapi siku zote baada ya kupigwa chini CCM ndio wana hamia Ukawa Pole zenu mnakumbuka shuka kumesha kucha mimi na magufuli damu damu hata ukisema akili mgando ni sawa tu kelele za chura hazi tushindi tembo kunywa majiii na bado makapi yate yapo ukawa maninaaa mnataisoma namba.

    ReplyDelete
  4. Anonymous 11:21 PM hujitambui kabisa na hata ulichokiandika hukielewi ni bora tu na wewe ujione umeandika isitoshe umepigika kwa tabia yako hiyo ya kutumika tambua taifa lisilokubali mabadiliko ya kiuongozi kamwe halitoweza kupata maendeleo. Nasikitika katika karne hi bado tuna watu wenye fikra kama zako kweli ccm imefanikiwa kwa kuwanyima elimu ili mkose maarifa.

    ReplyDelete
  5. Mhhhh gesi inaleta shida awa wezi wamedhamiria CCM pambana tuko nyuma yako.

    ReplyDelete
  6. CCM kweli ndo watakaoleta mabaliko ya kweli sasa ni kazi moja fagia takataka zote na wale waliokuwa wakiimba CCM imechafuka laana inawarudia inawachukua walewale walioichafua CCM kwa miaka hamsini na ushee CCM ya leo sio CCM ya jana imaamua kuwa tumukia wazalendo sio hao wanafiki wanataka ikulu kwao hio yatosha sio ukombozi waliokuwa wakiimba kwa kuwafichua mafisadi

    ReplyDelete
  7. Ni kweli Ndugu yangu kunawatanzania wana umasikiñi had I kwenye kili ivi niwaulize nyie wapumbavu mnao iyona ccm ndio Mungu wenu imesha Fanya nini mpaka sasa vipi elimu zenu zikoje na maisha yenu kiujumla au ushabiki wakisenge tuu nyie wachache ndio mnao zidi kuligandamiza taiga kwa ujinga wenu ifike mahali make chini mtafakari kwa makini mabilioni ya pesa yaliyochotwa na wenzenu Wa ccm na nyie mnabaki kukatwa makodi makubwa kuwasaidia kulipa still hamjiongezi tu ccm ccm kumanina zenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ok unasema kuwa CCM imefanya nini sasa wewe papa nguru na kuita watu wasenge kisa ni shabiki wa kisenge kama walewale walioshindwa maisha yako kwa ujumla wakiwa CCM na hio elimu ndo walewale unawakumbatia wakutengenezee maisha bora na ni walewale waliokimiliki chama na kuhozi mamilioni ya pesa Baba Kikwete kaamua hajali umaarufu anajali uzalendo wote waliokihijumu chama na kuwasaliti wananchi anapitisha fagio la chuma fagiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa unategemea mafisadi kumalamaako CCM inasukwa upya UKIWA mnarudi nyuma kwa kumbatia makapi Greda linasafisha uozo CCM inabakiba nyeupeeee mmkalia ohh ohh ajabu ya musa mawaziri wakuu wawili kujiuzulu wale walikiharibu chama nakukifanya mali yao mpango huo umekufaa ktk awamu zote hii ni awamu kiboko cha mafisadi hakuna umaarufu wala kukumbatiana CCM imebaki ya wazalendo watupu kuliko ya miaka hamsini ilivyokuwa

      Delete
  8. Mwaka huuu mtaisoma namba si mnasema mtashinda at a kwa bao la mkono sis tuliofungaka na hatupendi kugandamizwa tenstutashinda kwa damu kumwagika alafu tuone mwenye mabavu nani anae gandamizwa au mjinga asietaka kujitambua

    ReplyDelete
  9. Hee we malaya ukome kabisa kuitabiria vita nchi yetu tena ushindwe matako yako meusi

    ReplyDelete
  10. We malaya ukome kabisa kuitabiria vita nchi yetu tena ushindwe matako yako meusi

    ReplyDelete
  11. We malaya ukome kabisa kuitabiria vita nchi yetu tena ushindwe matako yako meusi

    ReplyDelete
  12. We anon unavyosema matako meusi. Una wazazi waliokufundisha adabu kweli?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad