Diamond Ajivunia Deal la Milioni 50 Alilopewa Bintiye Tiffah, ni Pamoja na Kuvalishwa Bure na Duka Kubwa la Nguo za Watoto

Mtoto wa Diamond Platnumz, Latiffah amepewa endorsement ya shilingi milioni 50 na duka la nguo za watoto ambalo kumvalisha nguo bure ni sehemu ya mkataba huo.


Akiongea jana kwenye hafla iliyoandaliwa na wasanii kumuaga Rais Jakaya Kikwete, Diamond alidai kuwa hayo ni sehemu ya maendeleo kwenye muziki yaliyotokea katika mihula miwili ya uongozi wake.

“Katika miaka hii 10 na mtoto nimepata. Mheshimiwa mtoto amezaliwa leo (jana) lakini amepata endorsement leo leo karibuni milioni 50 katika duka tu la kuwa anadhaminiwa kama mtoto anavalishwa na hilo duka, sio maendeleo hayo jamani,?” alihoji Platnumz.

Diamond hakusita pia kuzungumzia rekodi ilivyovunjwa na akaunti ya Instagram ya mwanae, ambayo hadi sasa ina followers zaidi ya elfu 45 siku moja tu baada ya kuzaliwa.

“Katika Afrika ndio mtoto wa kwanza huyo aliyepata followers wengi Afrika nzima, anatokea Tanzania sio maendeleo hayo?

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Congrats Platnumz May Allah protect guide en bless PrincessTiffah..

    ReplyDelete
  2. Penda sana hiyo. May Almighty God rise her, protect n give her parents long life to take care of their Princess. BIG UP DIAMOND. KEEP IT UP.

    ReplyDelete
  3. kiki za siku hizi hazina maana hata robo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kiki za wema kujifanya anatongozwa na Nuhu zina.maana kwako? Pumbaff. Na bado. Mpaka mtanyooka tu. Dai na.Zari another level...

      Delete
  4. upuuzi tuu, kila anachofanya Domo lazima atangaze sasa mtoto hata mwezi hajafika majigambo yashaanz.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe unataka atangazwe akiwa na umri gani? Kama wanakukera au kukuuma roho why follow them? Stupid idiot..mcxx

      Delete
    2. na wewe umekatazwa kutangaza vya kwako chizi wewe

      Delete
    3. huna point ni wivu tu unakusumbua

      Delete
  5. na DNA nayo aseme atafanya lini.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kafanye ya mama yako na baba yako ili uwe na uhalari wa kuzungumzia ya wengine shenzi kabisa

      Delete
  6. hongera dai, umelea mimba sasa lea na mtoto wa wenyewe! na kiki juu.

    ReplyDelete
  7. Domo fanya yooote, lakini dna muhimu sana.umeshauziwambuzi kwenye gunia

    ReplyDelete
    Replies
    1. aliuziwa baba yako wakati unzaliwa

      Delete
  8. huyo mtoto wa kwanza katika dunia hii? mbona kelele nyingi kama hakuna watoto wengine dar, alafu uwe na uhakika kama wako. sioutandale tuu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata wewe baba ako alibambikiwa. Nasikia Wema ana mimba ya yule mume hewa aliemtangaza siku zile. Hahahaha. Mtajibeba.

      Delete
  9. sasa huyo mtoto atakuwa dini gani? maana mama mtu alishaukana uslam.

    ReplyDelete
  10. Asante na ongera sana Nasib Mungu akuzidishie .

    ReplyDelete
  11. Nyie mnafikiri Kama waliweza kupima jinsia ya mtoto wameshindwa kupima dna? DNA inapimwa hata mtoto akiwa tumboni kalagabao!

    ReplyDelete
  12. mungu akuzidishie kulea mimba na mtoto wa watu. una moyo wa kijasiri dai.

    ReplyDelete
  13. Ahsante na hongera kwa kumkubali mtoto wa Katunzi awe wako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama wewe anonymous 7:47 baba ako kakulea wakati anajua ww si damu yake. Kwani nank hakui kama mama ako changu kaa wema. Muwakome watoto wa watu. Hawakuhusu. Mcxxx

      Delete
    2. huyo katunzi si msenge mwenziyo?????????????

      Delete
  14. Adm mm naomba namba ya Nasibu ukifanya ntakushukuru

    ReplyDelete
  15. Adm naomba namba ya diomond

    ReplyDelete
  16. Hicho ndo kilichoenda kuongelewa duuuu tandale noma sanaaa

    ReplyDelete
  17. pili ya shamba yakuwasia nini oooo,oooo pili ya shamba yakuwashia nn?kwani wewe unauhakika gani huyo uliyenaye ni babako mpaka upolomoshe matusi sometym muwe na uoga na mungu

    ReplyDelete
  18. mtoto sio wa Domo msimpe bichwa bure, kama kweli mnampenda mwambieni ukweli, sio kuwajibu watumbofu, na Wema kaingiaje hapa, mnahasira na mnajua fika boss wenu analea shahawa za mwingine aibu.

    ReplyDelete
  19. jamani mtoto kafanana na Ivan sana, hebu mwambieni Domo akapime dna kwanza halafu ndo mumpe hongera lol.

    ReplyDelete
  20. kwataarifa yenu huyo lawrence kachukua picha ya mtoto wake kati yawale wakubwa ila kipindi kazaliwa ndo ameileta huku ili wabongo mchachawe. subirini wakati rasmi atakapo toka arobaini picha mtaziona. kwani haraka yanini coz kitoto kichanga kilakukicha anamabadiliko hivyo ndotutajua ni wanani.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad