Akiongea jana kwenye hafla iliyoandaliwa na wasanii kumuaga Rais Jakaya Kikwete, Diamond alidai kuwa hayo ni sehemu ya maendeleo kwenye muziki yaliyotokea katika mihula miwili ya uongozi wake.
“Katika miaka hii 10 na mtoto nimepata. Mheshimiwa mtoto amezaliwa leo (jana) lakini amepata endorsement leo leo karibuni milioni 50 katika duka tu la kuwa anadhaminiwa kama mtoto anavalishwa na hilo duka, sio maendeleo hayo jamani,?” alihoji Platnumz.
Diamond hakusita pia kuzungumzia rekodi ilivyovunjwa na akaunti ya Instagram ya mwanae, ambayo hadi sasa ina followers zaidi ya elfu 45 siku moja tu baada ya kuzaliwa.
“Katika Afrika ndio mtoto wa kwanza huyo aliyepata followers wengi Afrika nzima, anatokea Tanzania sio maendeleo hayo?
Congrats Platnumz May Allah protect guide en bless PrincessTiffah..
ReplyDeletePenda sana hiyo. May Almighty God rise her, protect n give her parents long life to take care of their Princess. BIG UP DIAMOND. KEEP IT UP.
ReplyDeletekiki za siku hizi hazina maana hata robo.
ReplyDeleteKiki za wema kujifanya anatongozwa na Nuhu zina.maana kwako? Pumbaff. Na bado. Mpaka mtanyooka tu. Dai na.Zari another level...
Deleteupuuzi tuu, kila anachofanya Domo lazima atangaze sasa mtoto hata mwezi hajafika majigambo yashaanz.
ReplyDeleteWewe unataka atangazwe akiwa na umri gani? Kama wanakukera au kukuuma roho why follow them? Stupid idiot..mcxx
Deletena wewe umekatazwa kutangaza vya kwako chizi wewe
Deletehuna point ni wivu tu unakusumbua
Deletena DNA nayo aseme atafanya lini.
ReplyDeletekafanye ya mama yako na baba yako ili uwe na uhalari wa kuzungumzia ya wengine shenzi kabisa
Deletehongera dai, umelea mimba sasa lea na mtoto wa wenyewe! na kiki juu.
ReplyDeleteDomo fanya yooote, lakini dna muhimu sana.umeshauziwambuzi kwenye gunia
ReplyDeletealiuziwa baba yako wakati unzaliwa
Deletehuyo mtoto wa kwanza katika dunia hii? mbona kelele nyingi kama hakuna watoto wengine dar, alafu uwe na uhakika kama wako. sioutandale tuu.
ReplyDeleteHata wewe baba ako alibambikiwa. Nasikia Wema ana mimba ya yule mume hewa aliemtangaza siku zile. Hahahaha. Mtajibeba.
Deletesasa huyo mtoto atakuwa dini gani? maana mama mtu alishaukana uslam.
ReplyDeleteAsante na ongera sana Nasib Mungu akuzidishie .
ReplyDeleteNyie mnafikiri Kama waliweza kupima jinsia ya mtoto wameshindwa kupima dna? DNA inapimwa hata mtoto akiwa tumboni kalagabao!
ReplyDeletemungu akuzidishie kulea mimba na mtoto wa watu. una moyo wa kijasiri dai.
ReplyDeleteAhsante na hongera kwa kumkubali mtoto wa Katunzi awe wako.
ReplyDeleteKama wewe anonymous 7:47 baba ako kakulea wakati anajua ww si damu yake. Kwani nank hakui kama mama ako changu kaa wema. Muwakome watoto wa watu. Hawakuhusu. Mcxxx
Deletehuyo katunzi si msenge mwenziyo?????????????
DeleteAdm mm naomba namba ya Nasibu ukifanya ntakushukuru
ReplyDeleteAdm naomba namba ya diomond
ReplyDeleteHicho ndo kilichoenda kuongelewa duuuu tandale noma sanaaa
ReplyDeletepili ya shamba yakuwasia nini oooo,oooo pili ya shamba yakuwashia nn?kwani wewe unauhakika gani huyo uliyenaye ni babako mpaka upolomoshe matusi sometym muwe na uoga na mungu
ReplyDeletemtoto sio wa Domo msimpe bichwa bure, kama kweli mnampenda mwambieni ukweli, sio kuwajibu watumbofu, na Wema kaingiaje hapa, mnahasira na mnajua fika boss wenu analea shahawa za mwingine aibu.
ReplyDeletejamani mtoto kafanana na Ivan sana, hebu mwambieni Domo akapime dna kwanza halafu ndo mumpe hongera lol.
ReplyDeletekwataarifa yenu huyo lawrence kachukua picha ya mtoto wake kati yawale wakubwa ila kipindi kazaliwa ndo ameileta huku ili wabongo mchachawe. subirini wakati rasmi atakapo toka arobaini picha mtaziona. kwani haraka yanini coz kitoto kichanga kilakukicha anamabadiliko hivyo ndotutajua ni wanani.
ReplyDelete