Diamond Platnumz Aamua Kuungana na Wema Sepetu Kumpigia Kampeni Mgombea wa CCM John Magufuli

Kutokana na demokrasia kila mtu ana haki ya kumchagua kiongozi ambaye anadhani kuwa anafaa bila shinikizo la mtu, hii imetokea pia kwa baadhi wasanii ambao wamegawana katika makundi ambapo kuna baadhi wapo team Lowassa na wengine team Magufuli.

Hadi sasa kuna baadhi ya mastaa wa Tanzania, wameweka wazi watu wanaowakubali kati ya wagombea wawili, miongoni mwao ni Wema Sepetu aliyeweka wazi kumsupport Magufuli, muigizaji Jacqueline Wolper na Aunty Ezekiel wanamsupport Edward Lowassa na sasa ni Diamond ameweka wazi kuwa yupo team Magufuli.

Kupitia mtandao wa kijamii Diamond ameandika “Iwe Msanii, Mtangazaji, ama Mwanamichezo, ila Kila Mtanzania anahaki ya Kuchagua kiongozi anaeamini ni Bora, Mchapa kazi, Mwenye Afya na Msimamo ili kutuendelezea Nchi yetu… Kwa Uchunguzi na tathmini niliyoifanya tangu hizi mambo za Kampeni zianze nimegundua na kuamini kuwa huyu ndio Jembe,”.

Akamalizia “Nitakuandikia na kukupostia ushahidi kukuthibitishia kwanini nimeona John Magufuli Pombe ndie anaefaa… unapohisi na wewe una fact za kumtetea umtakaye karibu uniambie hapo halaf na mi nikumwagie zangu, ila usijisumbue Matusi coz hayatokusaidia wala kunisaidia kunibadilisha akili yangu kwa sababu sanasana ntakuona Huna akili Maana nishayazoea, nipe fact zako nami nikupe zangu ili pamoja Tujenge nchi….. #HapaKaziTu #Ccm,”.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. unategemea nini wakati mheshimiwa ndiye aliyempa kula, hivi bila nguvu ya mheshimiwa unafikiri huyu domo angekuwepo hapo alipo? angeishia kufahamika hapo Kenya na Uganda kama wanamuziki wengine tu wa hapa bongo!

    ReplyDelete
  2. Malaya wa Daraja La Kwanza Anaungana mwenzake Malaya wa Kupukutisha wa Daraja lile lile.Hiyo ni sawa kwa sababu hawa wote wawili ni watumishi wa Kikwete hobby moja watoto kibao Dar,Lindi,Sin gida,Dodoma,Chalinze,Bagamoyo,Oman,South Africa.KARIBUNI IN ALL FRONTS.

    ReplyDelete
  3. Diomond ur not president of Tanzania ur just a fuck man sow we are Tanzanian we can select lowassa Nazi kwako dojo na kijambio chako wema tena uko ataliwa hadi tigo umaharufu wako hautusaidii nzi kula mavi tunayoyataka at a umaharufu Wa wema sisi tunachagua viongozi sio kupitia umaharufu wenu Wa kijinga usio kuwa na Tija kwa taifa wewe nawajinga wenzio ndio mnao ligandamiza taiga mlishatoa msahada gani at a kwenye kituo cha yatima tu wewe na mwenzio wema bora angeongea lady hide nasio nyie nyoko wachache

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu jamaa kawakomalia dai na wema anajua mama yake na dada zake wanafanya nini nyuma ya pazia labda ni kuliko wema utakuta anayajua lakini ni siri yake kwa sababu si maarufu kivile

      Delete
  4. safi sana DIAMOND,wewe ni jembe na jembe anamjua jembe mwenzake,achana nao watu watakavyokutukana ila msimamo wako ni ule ule,CHAGUA CCM wote kwa pamoja tunawakilisha.hahahahahaah asante sana jembe langu.

    ReplyDelete
  5. NJOONI ULINGONI MTASHUKA MKUKU KAMA WEZI

    ReplyDelete
  6. domo utabaki domo tu, hauna hulka ya kutushawishi watanzania tumchague nani, wewe nenda kata viuno jukwaani kama kawaida yako, ndiyo unachokijua!!

    ReplyDelete
  7. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI,MAGUFULI NDIO JEMBE LETU TUNALITEGEMEA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad