DJ Fetty Awachana BASATA Kuhusu Kumfungia Shilole...Akumbushia Mixtape za Matusi za ANTI VIRUS

@Thebestfetty;
"Zilitoka mixtape za matusi za ANTI VIRUS vol 1 na 2, BASATA ilikaa kimya na ilitoa kibali cha uzinduzi wa anti virus volume 2, Viwanja vya posta, licha ya kuwepo kwa malaamiko. SWALI ni, kifungu kilichotumika kumhukumu ni kuwa UCHI au ni UVUNJAJI WA MAADILI????".
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuna kifungu chochote ila ni sindikizo la vijiblog uchwara kushadidida na kusisistiza.

    ReplyDelete
  2. Basata malaya tu kwanza kafanyia Belgium sio Tanzania tatizo shilole ka apeal banaaaa.wamekuonea.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad