Dr. Magufuli Afutika Ghafla Kwenye Vyombo vya Habari......

Wadau mtakubaliana na mimi kwamba ni jambo kubwa na la ajabu sana kuona kwa hali ilivyokua mwanzoni mwa mwezi huu kule Dodoma media zote silihamia kule lakini hivi sasa ni UKAWA,CHADEMA,DR SLAA na LOWASSA basi.

Nauliza mbona kwa sasa Magufuli hasemwi kama alivyotoka Dodoma? Kwani na yeye si anafaa pia kua Rais jamani? Tusimsahau na yeye maana ana mazuri yake pia katika ujenzi wa Taifa hili.

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kitu chema kinajiuza kama uchaguzi utaenda kihalali lowassa ndo chaguo letu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Toba hichi kizazi cha Adamu cha leo hakimuogopi Mungu wala Shetani hata fisadi anahalalishwa na hao hao waliomharamisha eti chema

      Delete
  2. kimyakimya ndo zake padlocks kisha anaibuka mshindi.
    kumbukeni ya Dodoma,nani alizan kama padlocks angeibuka mshind kati 38?
    no one.

    ReplyDelete
  3. kimya kingi kina mshindo mkuu

    ReplyDelete
  4. Kama umekosa cha kuandika usituletee habari zisizo kuwa na kichwa wala miguu au umekosa cha kuandika unatafuta vihabari uchwara

    ReplyDelete
  5. Hatuwezi kumsahau jembe Magufuli,
    daah tena netamani nisikie nae kafunguka masikio na kuhamia Chadema

    ReplyDelete
  6. magufuri wamtaje kwa lipi?hao wanaowataja ni kwa vioja vyao na siasa za ufisadi na capaign za kuhonga..baba wa watu Magufuri hana scandal yoyoter

    ReplyDelete
  7. CCM ni UGONJWA kama ukoma au Ukimwi! Ni kuachanaa na siasa mbaya kama wakenya walivyoziacha zile siasa za KANU na sehemu nyingine. Waangalizie wakenya saa hii tu walipo! Watanzanie wote kwa ujumla wetu, tujaribu tu Chadema KWA KIPINDI hiki WABADILISHE huu mfumo dume wa CCM. Mfumo wa NAPE na wenzake kuona kwamba hii NCHI ni yao! Watanzania AMKENI. Huu ndio wakati wetu. Hatutaweza tena kuikomboa hii nhci yetu KAMA hatutafanya hivyo saa hii. Hii ni saa ya UHURU wa PILI na wa KWELI. Nyerere alitukumboa kwenye UKOLONI wa NGOZI nyeupe. Aliwahi kusema KABURU ni KABURU tu hata awe na NGOZI NYEUSI ni Kaburu tuu. Mimi nasema CCM ni zaidi ya UKOMA, NI ZAIDI Ya UKIMWI. NI ZAIDI Ya KABURU. Wamachinga angalieeni hali zetu, mama ntilie angalieni hali zetu. Wazee mliostaafu angalieni hali zetu....wafanyakazi, walimu, watoto wa shule, vyuo vikuu angalieni tunavyohangaika sote, na HII nchi ni yetu sote. Lakini NAPE na wenzake wako jjuu ya sheria. Eti anasema "nilienda kuchukua hela kidogo tu shs. milion 3 za agents" - hii ni usanii! Takururu wanamshikilia mama ntilie wa shiling mia tano, wanamwachia Nape wa shilling milllioni tatu. Hii ni nchi ambapo sheria inatumika kwa wasio nacho, lakini walio nacho sheria haitumiki kwa. KAMWE tusikubali tena. Arabu spring ilitokea, na tumwombe JK ahakikishe anaondoka vema madarakani, na tumuombe Mungu atuokoe na uvunjifu wa amani. Ondokeni madarakani kwa hoja na wala si kutumia vyombo vya dola ambavyo vipo chini ya mhimili wa executive mnayoiendesha kama baisikeli. Mimi natoa hoja kwa hasira. CCM zzzzzzzz; cccm zzzz; ccm ukomaaaaa; ccm ukimwiiiiii; ccm kaburini!! Peoples power, always!! Ulipo TUPOOOOOO; Hatutalala mpaka KIELEWEKE!!

    ReplyDelete
  8. CCM ni UGONJWA kama ukoma au Ukimwi! Ni kuachanaa na siasa mbaya kama wakenya walivyoziacha zile siasa za KANU na sehemu nyingine. Waangalizie wakenya saa hii tu walipo! Watanzanie wote kwa ujumla wetu, tujaribu tu Chadema KWA KIPINDI hiki WABADILISHE huu mfumo dume wa CCM. Mfumo wa NAPE na wenzake kuona kwamba hii NCHI ni yao! Watanzania AMKENI. Huu ndio wakati wetu. Hatutaweza tena kuikomboa hii nhci yetu KAMA hatutafanya hivyo saa hii. Hii ni saa ya UHURU wa PILI na wa KWELI. Nyerere alitukumboa kwenye UKOLONI wa NGOZI nyeupe. Aliwahi kusema KABURU ni KABURU tu hata awe na NGOZI NYEUSI ni Kaburu tuu. Mimi nasema CCM ni zaidi ya UKOMA, NI ZAIDI Ya UKIMWI. NI ZAIDI Ya KABURU. Wamachinga angalieeni hali zetu, mama ntilie angalieni hali zetu. Wazee mliostaafu angalieni hali zetu....wafanyakazi, walimu, watoto wa shule, vyuo vikuu angalieni tunavyohangaika sote, na HII nchi ni yetu sote. Lakini NAPE na wenzake wako jjuu ya sheria. Eti anasema "nilienda kuchukua hela kidogo tu shs. milion 3 za agents" - hii ni usanii! Takururu wanamshikilia mama ntilie wa shiling mia tano, wanamwachia Nape wa shilling milllioni tatu. Hii ni nchi ambapo sheria inatumika kwa wasio nacho, lakini walio nacho sheria haitumiki kwa. KAMWE tusikubali tena. Arabu spring ilitokea, na tumwombe JK ahakikishe anaondoka vema madarakani, na tumuombe Mungu atuokoe na uvunjifu wa amani. Ondokeni madarakani kwa hoja na wala si kutumia vyombo vya dola ambavyo vipo chini ya mhimili wa executive mnayoiendesha kama baisikeli. Mimi natoa hoja kwa hasira. CCM zzzzzzzz; cccm zzzz; ccm ukomaaaaa; ccm ukimwiiiiii; ccm kaburini!! Peoples power, always!! Ulipo TUPOOOOOO; Hatutalala mpaka KIELEWEKE!!

    ReplyDelete
  9. CCM ni UGONJWA kama ukoma au Ukimwi! Ni kuachanaa na siasa mbaya kama wakenya walivyoziacha zile siasa za KANU na sehemu nyingine. Waangalizie wakenya saa hii tu walipo! Watanzanie wote kwa ujumla wetu, tujaribu tu Chadema KWA KIPINDI hiki WABADILISHE huu mfumo dume wa CCM. Mfumo wa NAPE na wenzake kuona kwamba hii NCHI ni yao! Watanzania AMKENI. Huu ndio wakati wetu. Hatutaweza tena kuikomboa hii nhci yetu KAMA hatutafanya hivyo saa hii. Hii ni saa ya UHURU wa PILI na wa KWELI. Nyerere alitukumboa kwenye UKOLONI wa NGOZI nyeupe. Aliwahi kusema KABURU ni KABURU tu hata awe na NGOZI NYEUSI ni Kaburu tuu. Mimi nasema CCM ni zaidi ya UKOMA, NI ZAIDI Ya UKIMWI. NI ZAIDI Ya KABURU. Wamachinga angalieeni hali zetu, mama ntilie angalieni hali zetu. Wazee mliostaafu angalieni hali zetu....wafanyakazi, walimu, watoto wa shule, vyuo vikuu angalieni tunavyohangaika sote, na HII nchi ni yetu sote. Lakini NAPE na wenzake wako jjuu ya sheria. Eti anasema "nilienda kuchukua hela kidogo tu shs. milion 3 za agents" - hii ni usanii! Takururu wanamshikilia mama ntilie wa shiling mia tano, wanamwachia Nape wa shilling milllioni tatu. Hii ni nchi ambapo sheria inatumika kwa wasio nacho, lakini walio nacho sheria haitumiki kwa. KAMWE tusikubali tena. Arabu spring ilitokea, na tumwombe JK ahakikishe anaondoka vema madarakani, na tumuombe Mungu atuokoe na uvunjifu wa amani. Ondokeni madarakani kwa hoja na wala si kutumia vyombo vya dola ambavyo vipo chini ya mhimili wa executive mnayoiendesha kama baisikeli. Mimi natoa hoja kwa hasira. CCM zzzzzzzz; cccm zzzz; ccm ukomaaaaa; ccm ukimwiiiiii; ccm kaburini!! Peoples power, always!! Ulipo TUPOOOOOO; Hatutalala mpaka KIELEWEKE!!

    ReplyDelete
  10. CCM ni UGONJWA kama ukoma au Ukimwi! Ni kuachanaa na siasa mbaya kama wakenya walivyoziacha zile siasa za KANU na sehemu nyingine. Waangalizie wakenya saa hii tu walipo! Watanzanie wote kwa ujumla wetu, tujaribu tu Chadema KWA KIPINDI hiki WABADILISHE huu mfumo dume wa CCM. Mfumo wa NAPE na wenzake kuona kwamba hii NCHI ni yao! Watanzania AMKENI. Huu ndio wakati wetu. Hatutaweza tena kuikomboa hii nhci yetu KAMA hatutafanya hivyo saa hii. Hii ni saa ya UHURU wa PILI na wa KWELI. Nyerere alitukumboa kwenye UKOLONI wa NGOZI nyeupe. Aliwahi kusema KABURU ni KABURU tu hata awe na NGOZI NYEUSI ni Kaburu tuu. Mimi nasema CCM ni zaidi ya UKOMA, NI ZAIDI Ya UKIMWI. NI ZAIDI Ya KABURU. Wamachinga angalieeni hali zetu, mama ntilie angalieni hali zetu. Wazee mliostaafu angalieni hali zetu....wafanyakazi, walimu, watoto wa shule, vyuo vikuu angalieni tunavyohangaika sote, na HII nchi ni yetu sote. Lakini NAPE na wenzake wako jjuu ya sheria. Eti anasema "nilienda kuchukua hela kidogo tu shs. milion 3 za agents" - hii ni usanii! Takururu wanamshikilia mama ntilie wa shiling mia tano, wanamwachia Nape wa shilling milllioni tatu. Hii ni nchi ambapo sheria inatumika kwa wasio nacho, lakini walio nacho sheria haitumiki kwa. KAMWE tusikubali tena. Arabu spring ilitokea, na tumwombe JK ahakikishe anaondoka vema madarakani, na tumuombe Mungu atuokoe na uvunjifu wa amani. Ondokeni madarakani kwa hoja na wala si kutumia vyombo vya dola ambavyo vipo chini ya mhimili wa executive mnayoiendesha kama baisikeli. Mimi natoa hoja kwa hasira. CCM zzzzzzzz; cccm zzzz; ccm ukomaaaaa; ccm ukimwiiiiii; ccm kaburini!! Peoples power, always!! Ulipo TUPOOOOOO; Hatutalala mpaka KIELEWEKE!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe domo kaya huna mpya kwa kupanga maneno fundi hatutaki PIPI'S POWER wacha jaziba lako la kijinga walioindoa KANU ni watu na akili zao timamu sio waliotemwa kwenye kinyang'anyiro cha uraisi kama Edo ndo atuijie na gea ya kuing'oa CCM alisubiri nini kujitoa mwanzo kabla ya uchaguzi na kujijengea heshima na kufanya mikakati ya safari ya matumaini ndani ya UKAWA sasa wewe unategemea nini unaruka koja unakanyaga nyesi

      Delete
    2. Wewe domo kaya huna mpya kwa kupanga maneno fundi hatutaki PIPI'S POWER wacha jaziba lako la kijinga walioindoa KANU ni watu na akili zao timamu sio waliotemwa kwenye kinyang'anyiro cha uraisi kama Edo ndo atuijie na gea ya kuing'oa CCM alisubiri nini kujitoa mwanzo kabla ya uchaguzi na kujijengea heshima na kufanya mikakati ya safari ya matumaini ndani ya UKAWA sasa wewe unategemea nini unaruka kojo unakanyaga nyesi

      Delete
  11. Magufuli Jembe na hatujamsahau tatizo Yuko kwenye jumba bovu kwa sasa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jumba hata kama ni bovu linataka Baba kama Magufuli litatengemaa tuu

      Delete
  12. Pigeni tu makelele octoba mgufuli anahamia ikulu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeona eeh!Mzee wa kimyakimya.

      Delete
  13. pole yako shost wewe wausema ccm ziiii chdema mburulazi mika yote hiyo mmekosa wa kumsimamisha kugobea urasi mpaka Lowasa najionyesha dhahiri kuwa hamna jipya chini ya jua,,,, eti mwingine anasema lowasa chaguo la watu pole weee chaguo la chadema lowasa ukitutoa wafuasi wa Dr Slaa hatumtaki CHADEMA M MERAMBA GALASAAAA MWAKA HUUU NGOMA INOGILE OCTOBER 25,,,, MGUFULI hana KASHFA ATAPETA TUUUU MKITAKA MKAMUOME RADHI DR SLAAA KAWALANI CHADEMA WOTEEEEEEEEE BUREEEE KABISA. ikulu ya CCM UPOOOOOOOOO

    ReplyDelete
  14. Huwezi kumsikia kwa sasa, yupo bize na barabara anatumikia wananchi, subiri kampeni zianze utamsikia daily.......... MAGUFULI a.k.a JEMBE a.k.a TINGATINGA a.k.a MZEE WA DATA oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh

    ReplyDelete
  15. Kimya kingi kina mshindo! October 25 mtaisoma namba CCM daima. Magufuli oyeeeeee!

    ReplyDelete
  16. Kimya kina mshindo! October 25 mtaisoma namba CCM daima. MAGUFULI OYEEEEE!

    ReplyDelete
  17. Kimya kingi kina mshindo! October 25 mtaisoma namba CCM daima. MAGUFULI OYEEEEEEEE!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad