DR Slaa Kuibukia CCM, Apangwa Kujitokeza Kwenye Mkutano wa CCM Jagwani.....
10
August 21, 2015
USHAWISHI mkubwa umefanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhakikisha kuwa, katibu mkuu aliye mapumzikoni wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wallboard Slaa anashiriki kwenye kampeni ya chama hicho tawala, Uwazi Mizengwe limeambiwa. Chanzo kutoka ndani ya CCM kilisema hivi karibuni kuwa, mazungumzo yamefanikiwa kwa kiwango kikubwa na kwamba upo uwezekano wa asilimia 90 kwa Dk. Slaa kupanda jukwaani siku ya ufunguzi wa kampeni za CCM uliopangwa kufanyika kwenye Viwanja vya Jangwani, Dar keshokutwa Jumapili. “Ili kukabili nguvu ya upinzani tulipanga kuwa Dokta atoke mafichoni ashiriki nasi kwenye uzinduzi, tuna imani hilo litafanikiwa na utakuwa ni mtaji mkubwa kwa chama chetu kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu,” kilisema chanzo chetu.
Tags
ukisikia UDAKU, ndiyo huu!!! mko vizuri kweli watu wa UDAKU!
ReplyDeleteNjaa mbaya mdau,wao hata kuku akinya mbele ya kiongozi wataandika.
DeleteI like CCM.
ReplyDeleteMzee Slaa nuksi kweli itabidi mbowe arudishe chenji ya watu na apotelee ughaibuni maana jipu linapasuka mavi debe
ReplyDeleteSasa Dk. Slaa wa kazi gani? Sio lazima awepo bwana. Hiyo Timu iliyopangwa ni tosha kabisa na ni ya uhakika. Slaa hatuna shida nae. Sisi chama kubwa.....
ReplyDeleteu don't like CCM, u like ur fat stomach!
ReplyDeleteukawa sio mtu ni taasisi docta hata akienda hatubabaishwi ameondoka lipumba tupo imala wala sio ya mbowe wala ya lowasa ni ya watanzania wenye nia njema na nchi hii
ReplyDeletenia njema uwe wewe mburura
Deletewelcome to the new world mr
ReplyDeleteUKAWA FOR LIFE.....
ReplyDeleteHATA WAHAME WATU GANI SIJUI ILA UKAWA IPO NA ITAKUWEPO KAMA HUTAKI MEZA WEMBE AMA KUNYA TIKITI