DR Slaa Kuibukia CCM, Apangwa Kujitokeza Kwenye Mkutano wa CCM Jagwani.....

USHAWISHI mkubwa umefanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhakikisha kuwa, katibu mkuu aliye mapumzikoni wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wallboard Slaa anashiriki kwenye kampeni ya chama hicho tawala, Uwazi Mizengwe limeambiwa. Chanzo kutoka ndani ya CCM kilisema hivi karibuni kuwa, mazungumzo yamefanikiwa kwa kiwango kikubwa na kwamba upo uwezekano wa asilimia 90 kwa Dk. Slaa kupanda jukwaani siku ya ufunguzi wa kampeni za CCM uliopangwa kufanyika kwenye Viwanja vya Jangwani, Dar keshokutwa Jumapili. “Ili kukabili nguvu ya upinzani tulipanga kuwa Dokta atoke mafichoni ashiriki nasi kwenye uzinduzi, tuna imani hilo litafanikiwa na utakuwa ni mtaji mkubwa kwa chama chetu kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu,” kilisema chanzo chetu.
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ukisikia UDAKU, ndiyo huu!!! mko vizuri kweli watu wa UDAKU!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Njaa mbaya mdau,wao hata kuku akinya mbele ya kiongozi wataandika.

      Delete
  2. Mzee Slaa nuksi kweli itabidi mbowe arudishe chenji ya watu na apotelee ughaibuni maana jipu linapasuka mavi debe

    ReplyDelete
  3. Sasa Dk. Slaa wa kazi gani? Sio lazima awepo bwana. Hiyo Timu iliyopangwa ni tosha kabisa na ni ya uhakika. Slaa hatuna shida nae. Sisi chama kubwa.....

    ReplyDelete
  4. u don't like CCM, u like ur fat stomach!

    ReplyDelete
  5. ukawa sio mtu ni taasisi docta hata akienda hatubabaishwi ameondoka lipumba tupo imala wala sio ya mbowe wala ya lowasa ni ya watanzania wenye nia njema na nchi hii

    ReplyDelete
  6. welcome to the new world mr

    ReplyDelete
  7. UKAWA FOR LIFE.....
    HATA WAHAME WATU GANI SIJUI ILA UKAWA IPO NA ITAKUWEPO KAMA HUTAKI MEZA WEMBE AMA KUNYA TIKITI

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad