Easter Bulaya Apewa Fomu ya Ubunge kwa Mbinde...'Kwanini Awe Yeye Badala ya Mshindi wa Kwanza".

Ester Bulaya, mshindi Wa Tatu kura za maoni CDM, Amepitishwa na chama kupeperusha bendera ya chama kama mgombea Wa Ubunge -BUNDA. Alipokwenda kuchukua Form yake msimamizi Wa uchaguzi akamgomea. Kisa .."kwanini uwe wewe badala ya mshindi Wa kwanza".

Mtanange haukuishia hapo, mwenyekiti Wa chama plus mshindi Wa kwanza kwenye kura za maoni wote wakavamia offisi ya msimamizi huyo kushinikiza Ester Bulaya apewe Form, bado msimamizi akagoma kwa madai Yale Yale kwanini wakupe wewe sio yule. Mtifuano ulipozidi akaachia form.

Watanzania hii Tafsiri yake nini? Kiongozi sampuli hii huko mbeleni itakuwaje.. Na wako wengi type hiyo..

TAFAKARI AISEE..

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya sasa ya CCM mlikuwa mwayavalia njuga kunya anye kuku akinya bata kahara sasa kemeeni ubabe UKIWA Ester Bulaya anachukua form kwa ndimbe kashika nafasi ya tatu atakoma kudandia treni kwa mbele sijui atafika wapi hizo ndo demokrasia za kulipana fadhila kisa katoka CCM OIL CHAFU NA HUKO KAWA OIL CHAFU WAMELISHITUKIA WATU WA BUNDA

    ReplyDelete
  2. Pole weee kamwe ukawa haiwezi weka wajinga madarakani wu wasio kuwa na nyota

    ReplyDelete
  3. Huyo msimamizi alikua anasimamia haki ni sawa kabisa alichokua anafanya. Ila kumuacha mwanamke wa shoka kama Ester hewani ni tatizo pia, kwa hiyo nawashauri wanachama wamuelewe tu huyo mama jembe na wampe kura za ndiooooo......

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad