Edward Lowassa Aendelea Kugawa DOZI!! Nguli Mwingine wa CCM Atua CHADEMA.

Edward Lowassa aendelea kugawa DOZI!!
Nguli mwingine wa CCM atua CHADEMA.
Aliyekuwa Mbunge wa KYELA na Mkuu wa Mkoa Mbeya - Ndugu John Mwakipesile ametangaza rasmi kuihama CCM leo na kujiunga na CHADEMA.

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wala hawatishi mtu vibaraka hawa mara vikiwashinda wanarudi wenyewe kuomba radhi na sijui EL atawalipa wangapi fadhila zao maana wanategemea chochote mke hawezi dai talaka ghafla bila kwanza kujihakikishia kupata wakumtizia mahitaji yake

    ReplyDelete
  2. Hayo ndio makapi ya CCM, haya sasa wapeni majimbo wagombee maana hamna wa kugombea mnasubiri makapi.........CCM nambari moko!

    ReplyDelete
  3. Still ni haki yake kikatiba kuhama chama. Tinahitaji watu km Lowasa, ni mzee mwenye maamuzi magumu.Hongera Lowasa.

    ReplyDelete
  4. Baba usiangalie nyuma tena wewe ni ngome ya mbeya,UKAWA unatuletea kura za wanambeya wengi tu

    ReplyDelete
  5. Safi saana mzee kwa maamuz magumu

    ReplyDelete
  6. Mbona mnajiunga CDM mkishakatwa huko CCM..!?
    Halafu watu mnashambika ujinga, pumbuvu sn

    ReplyDelete
  7. CDM kazi mnayo mtakula makapi mpaka mtapike na nchi kono hamchukui kwa sababu mlisha jihukumu wenyewe kutafuna matapishi yenu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad