Baada ya mafuriko ya CCM jana pale jagwani katika uzinduzi wa Kampeni za Urais leo asubuhi Mh Lowassa ameamka na Kick ya kupanda daladala na kusikiliza matatizo ya wananchi laivu laivu...hizi hapa picha nne akiwa katika tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi
EDWARD LOWASSA Aja na Mpya Leo..Hapa nimekuweka Picha Nne Akiwa Kapanda Daladala na Kufanya Haya
45
August 24, 2015
Tags
Mnafiki mkubwa hata mungu hapendi....kwahiyo leo ndio anajua kupanda daladala sababu anaomba kura..!?
ReplyDeleteWatanzania kwnn tunapenda kuchezeana akili zetu?
Jamani!! mbona anapandishwa kama majerui vile? Kashikiliwa kichwa na huko nyuma.... kulikoni tena?
Deletehata km hatuna akili za kufikir basi kwa vile tumecomment basi macho tunayo ya kuona km ipo haja ya kuwa na mabaliko I hope sisi sote tuliocomment tumezaliwa tukiwa ndani ya utawala wa ccm hadi hii leo ccm hao hao ndio wanasema hakuna dawa hospital viwanda vimekufa n.k sasa km imeshindikana miaka 54 kuleta dawa hivi miujiza ipi iyakayotumiwa kuleta hayo ndani ya miaka 5 tena chini ya ccm?
DeleteMnafiki mkubwa hata mungu hapendi....kwahiyo leo ndio anajua kupanda daladala sababu anaomba kura..!?
ReplyDeleteWatanzania kwnn tunapenda kuchezeana akili zetu?
MNAFIKI MAMA YAKO NA BABA YAKO WALIOKUZAA WEWE MWANA HARAM
DeleteKuwa mstarabu anko loh mbona unajaziba ni ushamba huna hoja mpaka umtukanie mama na baba yake kisa nini mara ngapi ulishatukaniwa mama temna matusi ya nguo wala hukukufanya chochote leo unapata laana ya bure binafsi jamaa hajakukosea kitu
Deletematusi hayajengi toa hoja watu watakuelewa
DeleteHakupanda daladala asubuhi anapanda jioni anamhadaa nani hata akipanda kwama hapati kitu watz wa leo sio wa jana atafute gia ya maana labda tutamuelewe na kumfikiria hawa washauri wake wa kampeni wameishiwa dah hawana hata haya wanafanya mambozi ya kizammmaaaaaani
ReplyDeleteits too late
ReplyDeleteNDIYO AHSANTE SANA MHESHIMIWA LOWASSA RAIS WETU MTARAJIWA AWAMU YA TANO.HUU NDIYO MWANZO WA MAAJABU YA LOWASSA.SASA MZEE NJOO HUKU FERRY TUPANDE WOTE KIVUKO.HUYO BWANA KATILI MGOMBEA WA CCM DUDE BOMOA BOMOA ALIKWISHA TUAMBIA HUKU KIGAMBONI KAMA HUNA NAULI BASI PIGA MBIZI.TUNASEMA CCM MPOOO? IMEKULA KWENU TAREHE 25.10.2015
ReplyDeleteunajiliwaza tu, nyerere alisema mtu akiingia kwako akakunyanganya madaraka wewe ni mzembe. wakati alipokuwa waziri alipanda?
DeleteHongera Mzee kaza buti, njoo uone na barabara ya Kimara/Mbezi tunavyohangaika.
ReplyDeleteMbona amechelewa?tumeshamuona Magufuli anatembea kwa miguu,tumemuona Magufuli ameshika nyundo,tumemuona ana karai la udongo,cha ajabu nini yeye kupanda daladala?na mbona ni wakati wa kuomba kura tu ndio kapanda daladala?
ReplyDeleteAcha hadaa mzee,kama wewe ni YES itakuwa,Mungu ndio ana siri.
Jamani nyie akina mbowe kwa nini hamumshauri huyu mzee?
ReplyDeletekupanda daladala ili iweje,mbona sasa hajapanda zamani?
Mungu tubariki watanzania.
kick ni shiida mweh! leo daladala limepandka baada ya kutaka urais, kwann asipande kipndi cha nyuma? so boring aaaaaaaagrrrrrrrrh
ReplyDeleteSinema za kisiasa zina.endeleya tulimuona hata kinana alikuwa analima anajenga na wananchi
ReplyDeleteHongera Lowasa. Karibu sana Ikulu. Tunakusubiri kwa hamu. Mungu akubariki sana.
ReplyDeleteHahahahahaha bora ya lowasa kuliko wale walio tafuta kiki Jana jangwani kwa kutoa matusi nchi inaongozwa na matusi mpaka link fungukeni pumbu nyie bungeni umbra kwenye jukwaa umbra ukawa hoyeeeeeee mwaka huu ccm mtajibeba na viroba
ReplyDeleteBrother waambie kina Mbowe hii kampeni uchwara na ya kihuni haifai mbona wanamdhalilisha waziri mkuu mstaafu alipokuwa CCM hajawahi kupanda daladala tizama alivyo pata mfadhaiko wa akili anaonekana kama mwanasesere
DeleteDuuh , Umecheelewa sana mwenzio ( magufuli ) tunakesha naye site moja baada nyingine maisha yake yote ya utumishi, wewe leo unapanda daladala kuna shida gani daladala au unatuthibitishia kuwa afya yako njema,Wananchi tunaitaji sera na matendo kama ukaribu hata kikwete tuliucheza naye disco na mambo hayajabadilika
ReplyDeleteDuuh!Hii yote ni kutaka kuingia IKULU?
ReplyDeleteTulia mzee,si kuna mtabiri alishakutabiria wewe ni rais 2015?Huamini?
Hongera Mheshimiwa Lowassa. Wewe ndo Rais wetu ajaye.
ReplyDeleteLowassa atakuwa Rais bora kuliko wote ambao TZ imewahi kupata.
ReplyDeleteChagua Lowassa kwa Rais anayejali maisha ya watu.
ReplyDeleteSIO VIBAYA JAMANI MBONA KIKWETE NA MUGUFULI WALIKUTANA NA WASANII WENZAO,HAIKUWA SHIDA,IWAJE YEYE?AU MPAKA AKAENAO SERENA
ReplyDeleteLowasa ndo mpango mzima, tumechoka na ccm kwakweli. ahadi alizotoa jana pombe ndzo alizotoa jk na hakuna jpya. watanzania tumesoma sasa tunataka mabadiliko
ReplyDeleteHivi aliwalipia watu nauli kama Ali Kiba?? Huyo Edo ni 'msanii' kama mzee Majuto tu......kwishneyyyyyy
ReplyDeleteHeeh! Ya mwaka huu kali, ndio anazindua kampeni ama vepe??
ReplyDeleteHuyo ni mnafiki mkubwa, mbona muda wote akiwa madarakani tculishindwa kuona ukaribu wake na Wananchi, sasa leo hii tena bila ya aibu anajifanya kupanda Daladala dah aiseee!!! Kwa kweli sijui Ikulu kuna biashara ganiii?????? Huyo Mzee ka paniki na lile nyomi la jana pale Jangwani sasa anachotafuta ni kiki tu za lala salama. Kwa kweli waswahili walijisemea Mfa maji haishi Kutapatapa.
ReplyDeletekazi yao kutukana matusi majukwaani sio ndio sera unazo sema we anonymous hapo juu,litumbo mkapa linawaita watu malofa na wapumbavu,ndio siye malofa sababu mke wake na magufuli si ndio waliogawana nyumba za serikali?
ReplyDeleteacha ufara huyo mzee anazinduka leo????????????????? mbona alipokuwa waziri mkuu hata siku moja hakupanda daradara iweje leooooooooooooooo au ndiyo ikulu
DeleteThat's cool. Kila jambo na wakati wake...
ReplyDeleteWASANII NI CCM HIVI INAIGIA AKILI KILA KIJIJI WAMEAHIDI 50 MILLION ?TUNA VIJIJI ZAIDI YA 20,000 SASA PIGA HESABU,DAWA NA MADAWATI TU YAMEWASHINDA.KWA MIAKA 54.WATAZITOA WAPI? MWALIMU WANADAI,WAKULIMA WAMEKOPWA HALAFU,MATANZANIA ALIE YALOGA AMESHAKUFA
ReplyDeleteMZEE kapanic hana advancer anaota kukicha anatoka may be leo katoroka nyumbani mke ajui.pelekeni mzee milembe hospal apimwe kicha.
ReplyDeletependa uchaguzi Mimi,,Kama simba na yanga
ReplyDeleteSiasa za bongo zinafurahisha sana siku zote hakupanda daladala leo ndo anajua tuna shida?
ReplyDeleteSASA MIMI NAWASHAANGAA WANAMBEZA KAMPENI ZIMEANZA TOKA TAREHE 21/8/2015 LAZIMA AKAWATEMBELEE WAPINGA KURA WAKE WAPUMBAFU NA MALOFA NYINYI CCM MUENDE KWA MATAJIRI WENZENU WATAWAPIGIA KURA,HII NDIO KAMPENI BABA ACHENI WIVU TUMESHAWIPAGA BAO,UNAFIKIRIA KAMPENI MPAKA UPANDE CHOPA UMECHELEWA SANA,
ReplyDeleteAmeweka mfano wa rais ambaye anaweza kwenda kuona maisha ya mtu wa kawaida; malofa; mafala; oil chafu; wenye njaa kama nyie ccm manvyotuita! Mungu awabariki wote waliopo kwenye chama cha chukua chako mapema
ReplyDeleteRais wetu LOWASSA, wananchi tumeamua na KWA KAULI moja! TUNAMTAKA LOWASSA. Na hata wabunge wa CCM wengi wanamtaka na WANA IMANI NA LOWASSA. Hata kikwete ukimwachia magufuli akae peke yake kwa dakika KUMI tu; KAMA ANA AKILI kama za kwetu sisi malofa; oil chafu; makapi; wapumbavu; basi ataenda UKAWA baada ya sekunde chache!
ReplyDeletesafi sana comment zimekwenda shule ila kwa mtazamo wangu huyu Mzee wetu ana akili sana, unajua kwanini alikwenda Mbagala?alijua ndipo kwenye wapigakura wa khanga moja na ndipo kwenye watu wengi wa kipato cha chini kwa ufupi amewapiga bao kubwa upande wa kijani..............sinema ndio kwanza inaanza....Asante kwa kuona usafiri wetu upo vipi!!! najua ingekuwa ngumu sana kipindi cha uwaziri mkuu kupanda Daladala nakumbuka wakati waziri wa maji ulivyokuwa unajishughulisha nilikuwa Arusha kipindi hicho ulibadilisha hadithi ya maji na tukayazoea maji...sikuwahi kusikia ufisadi kwenye wizara yako,tuzidi kuomba mungu yote yaende sawasawa.Amina
ReplyDeleteNini cha ajabu na cha kushangaza kwa mhe Lowasa kupanda daladala na kwenda kuwaona wapiga kura wake. kumbukeni hi ni kampeni haijalishi inafanyika kwa mtindo na style gani kikubwa ni kuwafikia hasa wananchi na kujionea uhalisia wa maisha yao ya kila siku kwaajili ya kuyafanyia kazi. Watanzania tubadilike tusiwe kama watu tuliochanganyikiwa maana mtu aliyechanganyikiwa ni rahisi kusahau shida na mateso anayoyapitia katika maisha yake. Ni zaidi ya miaka 50 sasa ya uhuru kila siku ni afadhali ya jana ndo maish atuliyonayo kwa sasa. Zipo dalili zote zinazoonyosha maisha ya aina hi yameshatuchosha na tunahitaji uongozi utakaoshughulikia kwa dhati kabisa mahitaji ya watanzania. Ukweli ni kwanda mabadiliko haya hayawezi kupatikana ndani ya ccm maana ni ccm haohao ndo waliotufikisha hapa tulipo kwa sera hizohizo ambazo leo wanazirudia na ahadi zilezile ambazo wakati wote zimewashinda kuzitekeleza. Uamuzi upo mikononi mwako kutengeneza au kubomoa.
ReplyDeleteEhe,amekuwa king Kiba jamani watanzania mstuke uyo anautafuta uraisi analake mbona alivyokuwa waziri hakupanda!!!
ReplyDeleteJamaa ataua mtu kwani urais imesha ondoka na sasa anaota tuu.ccm oyee
ReplyDeleteHayo ni maigizo mengine tena
ReplyDeleteMlitaka apande ndege kama huyo Vascodagma wenu kila kukicha yupo ughaibuni lakini hata kuku wala mbwa hawajui kaja ughaibuni . Hata news hawamtangazi
ReplyDeleteAu ndo huja kuchukuwa dozi
Kwani hatujui
Kila kukicha wawekezaji hatuoni chochote
Meno ya tembo ya Zurich mbona kigugumizi
Au Kinana huyo