Ester Bulaya Hakuwa na Mpango wa Kuhama CCM ila….

Najua nina watu wangu wanaopenda stori za siasa sasa stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa aliyekuwa mbunge wa viti maalumu kupitia CCM Ester Bulaya pamoja anaonekana kwenye headlines mpya za Chadema baada ya kuhamia chama hicho anasema hakutegemea kuhama chama cha Mapinduzi (CCM).

Kuhama inatokea na mazingira lakini mimi sikuwahi kufikiria kama nitakuja kuhamia Chadema lakini mienendo, tabia, future  ya kuwatumikia wananchi ilikuwa imepotea mimi nimekulia CCM na am proud for that  wamenilea lakini walinilea kwenye misingi ya uwazi na ukweli kile walichonifunza nikitaka kukitumia hawataki sasa kama kuna wengine kile nilichofundishwa huku wao wanakiaminia kutoka moyoni na midomo mwao niende kujiunga nao lakini wote tukiwa na ndoto za kuwatumikia wananchi’ -Ester Bulaya


Unajua kuna tofauti ya utumishi na mtu kufikiri utumishi ni cheo wanaofikiri ubunge ni cheo ni wale ambao hawatimizi wajibu wao wanataka ubunge kutaka madaraka Fulani, mimi ni mtumishi naenda kuwatumikia wananchi mabosi wangu ni wananchi ukiwa unadhani ya kwamba ubunge ni cheo utavimba kichwa na utashindwa kutimiza wajibu wako, bunge bosi wake ni wananchi‘ – Ester Bulaya.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Subiri uchaguzi usikae unalaghai watu na huko mbona umepitishwa kwa mizengwe ulikokuwa unafikiri kuwa utapata kutumika utumishi sio cheo mbona hawajakuelewa ukatupwa nafasi ya tatu hizi ni kelele za mfa maji

    ReplyDelete
  2. JEMBE WEWE!!!!!

    ReplyDelete
  3. Dada nakukubali sana usikubali mtu akuambie tractor ni truck

    ReplyDelete
  4. tupa kule tapeli mkubwa ww mising ipi uliyofundishw ya kutumia mabavu kama unafata mising hiyo mbona umetawala kwa mabavu

    ReplyDelete
  5. Huyo mwanamke ni muongo mkubwa hana chochote, kura zenyewe za maoni zimemtupa kule na bado anaendelea kubebwa bebwa na mabwana zake. Alifikiria angepata umaarufu kupitia mgongo wa CCM. Sasa tusubiri October tuone kama atabebwa tena.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad