Eti Kisa Kwenda Ukawa; Wasanii Wamponda Aunt Ezekiel

Kisa na mkasa! Kama hujasikia ni kwamba, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amejikuta akila za uso kutoka kwa mastaa wenzake mara tu baada ya kutangaza kuwa yeye ni Timu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) akimuunga mkono mgombea wake wa urais, Edward Ngoyai Lowassa.

Mastaa mbalimbali waliozungumza na Ijumaa Wikienda wakiongozwa na Wema Isaac Sepetu, walimponda na kumshangaa Aunt ambaye awali alikuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akimuunga mkono mgombea wake wa urais, Dk. John Pombe Magufuli ‘JM’.

“Yaani Aunt ametushangaza kwani alikuwa Team Magufuli. Ameonesha ni kiasi gani ni kigeugeu, sisi tunatarajia ushindi kwa asilimia kubwa. Sisi tumezaliwa na kukulia CCM hivyo hatuwezi kusaliti,” alisema Wema kwa niaba ya wenzake walipokuwa wakitangaza kuzindua kampeni za CCM zilizoanza jana. Jitihaza za kumpata Aunt hazikuzaa matunda.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kila mtu ana haki ya kuwa chama chochote akipendacho,mbona nyie tunawajua kula ccm kura chadema

    ReplyDelete
  2. Hakuna cha Wema wala wasanii waliomulaumu siku hizi maisha yetu yanaendeshwa na media yaani kupoteshana ili mradi biashara ya magazeti inalipa hawajisumbui kufikiria kutafuta matukio ya maana na kweli basi mara wamseme yule mara huyu ndo demokrasi aliyotuletea kikwete

    ReplyDelete
  3. Lazima amshabikie tizama Edo alivyo mshika kiunoni mtu chake banaaaaaaa wengine mlie tuuu

    ReplyDelete
  4. aunt uko sahihi 100%

    ReplyDelete
  5. Kupishanapishana ndio kilimwengu so where the f**k is the gawdamm problem????

    ReplyDelete
  6. Nakuunga mkono Aunt....we need multipartism system of government n not CCM! Tired of their rulership! We need a leader n that's Lowasa not a ruler ( dictator) whoever his name is!

    ReplyDelete
  7. WEMA MALAYA WA CCM NDIYE ALIYEKABIDHIWA MILLION 250 NAKI KIKWETE PALE DODOMA BAADA PIA YA KUSHUGHULIKIWA ILI AWARUBUNI KWA HALI NA MALI WASANII KUMSHABIKIA MGOMBEA WA CCM.SASA KWA KINGA YA DOLA WEMA ANAMFANYIA FUJO MSANII YEYOTE ANAYEMUUNGA MKONO MHESHIMIWA LOWASSA

    ReplyDelete
  8. People in which world are we living?I thought that we're living in a free world where you can be who ever and do whatever the fuck you wanna do and go wherever you wanna go and choose which way you wanna go/pass as long as it makes you happy comfortable secured so let this woman follow her feelings like every one else in this coming thrilling election MAY THE ALMIGHTY ONE GUIDE PROTECT BLESS THE PEOPLE&THIS BEAUTIFUL NATION OF TANZANIA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad