Good News..Mabasi ya Mwendo Kasi Dar es Salaam Kuanza Kazi Leo...Hizi Hapa Njia na Vituo yatakapo Pita....

Ninayo Good News imenifikia mtu wangu ambayo Watanzania wengi na wakazi wa Dar es salaam tulikua tukiisubiri kwa muda mrefu ni kuhusu kukamilika kwa mradi wa Mabasi yaendayo haraka ambayo zaidi ya mwaka na nusu yaliingia kwenye headlines za kuwa yatatoa huduma hizo.

Habari ikufikie kuwa Mabasi hayo rasmi yanaanza kazi leo Jumatatu kuanzia  saa 3 asubuhi nje ya kituo cha Mabasi yaendayo Mikoani Ubungo ambako kutafanyika uzinduzi wa kuanza huduma ya mpito kisha Wananchi wataruhusiwa kupanda mabasi hayo kutoka Ubungo kwenda Kimara na kutoka Kimara hadi Kivukoni Bure.

Kwa bara la Afrika,jiji la Dar es salaam litakua la pili kutekeleza mradi huu mtu wangu baada ya Afrika Kusini na litakua jiji la kwanza kwa nchi za Afrika Mashariki,Kaskazini na Kati.

DeusiDedith Mutasingwa ambaye ni Afisa wa masuala ya fidia katika mradi wa mabasi haya yaendayo haraka yaliyo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na serikali za mitaa,amesema yapo mabasi ya aina mbili kuna yale ya mita 18 ambayo yana uwezo wa kubeba abiria 140 na yapo yenye uwezo wa kubeba watu 80.

Amesema mabasi hayo pia yamezingatia watu wenye mahitaji maalum kama Walemavu na Wajawazito,pia Wafanyabiashara wanaopanga vitu vyao pembeni ya Barabara na kwenye vituo wameombwa kuviondoa na kwa wale watakaonekana kukaidi amri hiyo faini yake si chini 250,000.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. watanzania wao kz yao hupenda kukosoa na kukatishana tamaa km utakua mkweli na mwenye akili bila upendeleo tanzania imebadilika ktk nyanja nyingi japo hayo mabadiliko hayajafika 100% lkn mabadiliko ypo.
    viongozi wa ukawa wanawahaidi wa tz nchi ya ahadi ambayo kila mtazania ataishi kwa raha na matumaini hv ni kweli au ndo maneno ya kisiasa tu watu wacje kujutia uamuzi wao mm langu jicho tu nahisi tuzidi kujipa moyo kisha tusubiri jibu?

    ReplyDelete
  2. watanzania wao kz yao hupenda kukosoa na kukatishana tamaa km utakua mkweli na mwenye akili bila upendeleo tanzania imebadilika ktk nyanja nyingi japo hayo mabadiliko hayajafika 100% lkn mabadiliko ypo.
    viongozi wa ukawa wanawahaidi wa tz nchi ya ahadi ambayo kila mtazania ataishi kwa raha na matumaini hv ni kweli au ndo maneno ya kisiasa tu watu wacje kujutia uamuzi wao mm langu jicho tu nahisi tuzidi kujipa moyo kisha tusubiri jibu?

    ReplyDelete
  3. watanzania wao kz yao hupenda kukosoa na kukatishana tamaa km utakua mkweli na mwenye akili bila upendeleo tanzania imebadilika ktk nyanja nyingi japo hayo mabadiliko hayajafika 100% lkn mabadiliko ypo.
    viongozi wa ukawa wanawahaidi wa tz nchi ya ahadi ambayo kila mtazania ataishi kwa raha na matumaini hv ni kweli au ndo maneno ya kisiasa tu watu wacje kujutia uamuzi wao mm langu jicho tu nahisi tuzidi kujipa moyo kisha tusubiri jibu?

    ReplyDelete
  4. watanzania wao kz yao hupenda kukosoa na kukatishana tamaa km utakua mkweli na mwenye akili bila upendeleo tanzania imebadilika ktk nyanja nyingi japo hayo mabadiliko hayajafika 100% lkn mabadiliko ypo.
    viongozi wa ukawa wanawahaidi wa tz nchi ya ahadi ambayo kila mtazania ataishi kwa raha na matumaini hv ni kweli au ndo maneno ya kisiasa tu watu wacje kujutia uamuzi wao mm langu jicho tu nahisi tuzidi kujipa moyo kisha tusubiri jibu?

    ReplyDelete
  5. watanzania wao kz yao hupenda kukosoa na kukatishana tamaa km utakua mkweli na mwenye akili bila upendeleo tanzania imebadilika ktk nyanja nyingi japo hayo mabadiliko hayajafika 100% lkn mabadiliko ypo.
    viongozi wa ukawa wanawahaidi wa tz nchi ya ahadi ambayo kila mtazania ataishi kwa raha na matumaini hv ni kweli au ndo maneno ya kisiasa tu watu wacje kujutia uamuzi wao mm langu jicho tu nahisi tuzidi kujipa moyo kisha tusubiri jibu?.

    ReplyDelete
  6. watanzania wao kz yao hupenda kukosoa na kukatishana tamaa km utakua mkweli na mwenye akili bila upendeleo tanzania imebadilika ktk nyanja nyingi japo hayo mabadiliko hayajafika 100% lkn mabadiliko ypo.
    viongozi wa ukawa wanawahaidi wa tz nchi ya ahadi ambayo kila mtazania ataishi kwa raha na matumaini hv ni kweli au ndo maneno ya kisiasa tu watu wacje kujutia uamuzi wao mm langu jicho tu nahisi tuzidi kujipa moyo kisha tusubiri jibu?

    ReplyDelete
  7. NO NO NOOOOOOOOOO WE NEEED CHANGE.dont be afraid -n change will come... via (UKAWA)

    ReplyDelete
  8. Huo ni msaada wa benki ya dunia wewe mbwiga hapo juu unae comment mara mia,usije ukajidanganya ni ccm,barabara kipindi cha kikwete zimejengwa na misaada ya nje,ccm kazi kupiga soga hakuna la maana walilofanya.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad