Hatimaye Diamond Na Mpenzi Wake Zari Wapata Mtoto Wa Kike.

Staa wa Bongo Fleva ambaye jina lake limebeba uzito mkubwa Afrika, Diamond Platnumz amepata  mtoto  wa  kike  toka  kwa  mpenzi  wake  Zari  Hassani.

Mtoto huyo ameingia duniani saa 10 na dakika 40 Alfajir, Alhamis hii.

Haijaweza kufahamika kwa mara moja ni hospitali gani mtoto huyo amezaliwa kwa kile meneja alichosema ‘usalama wa mama na mtoto’ kwakuwa bado wapo hospitali.

Sura ya mama yangu inatosha kueleza ni kiasi gani najiskia ndani ya Moyo wangu, karibu kwenye ulimwengu @princess_tiffah,” ameandika Diamond kwenye picha hiyo juu aliyoiweka Instagram.

Awali Diamond alisema kuwa Zari angejifungulia Tanzania.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. DIAMOND ushilikiane na ZARI kumlea mtoto ktk maadili ya kiislam.
    lakin kama shida yk ilikua ni kumpata motto then ule kona from zari utamwalib motto

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Dai na Zari. Mungu awawekeee baby wenu. Inshallah.

    ReplyDelete
  3. Hongera Sana mungu awaekee na pia niwatake malezi bora inshallah

    ReplyDelete
  4. Chibu kapime DNA mtoto siyo wako au ni kitanda hakizai haramu????

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad