Hii Ndio Picha ya Kwanza ya Diamond Akiwa na Mtoto wake Latiffah

Latiffah Naseeb Abdul a.k.a Tiffah Dangote au kama wazazi wake Diamond na Zari wanavyomuita ‘The African Royal Princess’, anaendelea kupata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii akiwa na umri wa siku moja tu.

Kupitia akaunti yake ya Instagram @princess_tiffah iliyofunguliwa jana baada ya kuzaliwa, imepostiwa picha ya kwanza ya baba na mwana, Diamond akiwa na mtoto wake kitandani. Hata hivyo mtoto anaonekana mkono tu.

Hii ndio caption iliyoandikwa katika post hiyo:

My Dad Couldn’t seep last night, he was staring at me the whole night #MyFirstDayInTheStateHouse”.

Mpaka sasa akaunti ya @princess_tiffah imefikisha followers 44,357 ikiwa ni siku moja toka ifunguliwe.

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kipofu kaona mwezi. pole sana wa kwamtogole unaumwa huku unapulizwa.

    ReplyDelete
  2. baada ya mwezi kapime dna, maana katunzi nae anajipanga kujua mbivu na mbichi.

    ReplyDelete
  3. Kupima D NA kama ni wako unaweza ukawa umesingiziwa

    ReplyDelete
  4. Katunzi anajipanga. Wema kenda singida kuroga. Na bado mpaka mtanyooka. Chezea Dai na Zari

    ReplyDelete
  5. Nasikia Wema.ana mimba ila.hajui ua nani. Ommy Aly Kiba Chaz baba mume hewa yule best wake Dai au marijali wa mtaani.

    ReplyDelete
  6. Hongera baba, naona ulienda pia kutoa ripoti ya mtoto mlimani city, sijui yule ni bb, au bb uwa mtoto

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad