Hizi Hapa Sababu Halisi za Ukawa Kutokufungua Kampeni Kama ilivyotarajiwa

Panaposemwa uongo na kuachwa kuukanusha basi waweza kuaminiwa. Zimesikika taarifa kwenye mitandao kuwa kutokufungua kampeni leo au kesho ni kutokana na afya ya lowassa kudhoofu.

Sababu ambazo zimefanya Ukawa kutozindua kampeni kama ilivyotarajiwa leo ni kama zifuatavyo:-

1.Maandalizi ya kuandaa kikosi cha kumnadi mgombea yanamalizwa leo
2. Kumaliza mgogoro wa majimbo yaliobaki kutokana na sintofahamu iliyotokea
3. Kuuzima upepo wa magufuli utakaovuma kesho
4. Kuandaa hoja nzito zakujibu baada ya matarumbeta ya ccm yatakayoropoka kesho
5. Kutafuta uwanja wa kampeni utakaokidhi haja
6. Viongozi wa chama wamikoani na wabunge bado hawajawasili Dar kutokana na urudishaji wa fomu za ubunge jana.


chanzo: mwandishi wa habari aliyewasiliana na JJ mnyika muda huu.
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wapumbavu wawili wewe vitalis na melàyaki mlio comment angalieni vya cucoment hapa sio mnakurupuka tu toka usingizini

    ReplyDelete
  2. ukawa hatukurupuki jiangalie wewe unaosema ukawa niwaoga

    ReplyDelete
  3. kwanza ukawa tunachukua wabunge wengi kupita maelezo

    ReplyDelete
  4. Uongo mtupu, sio taarifa rasmi hizi, uzushi m2pu

    ReplyDelete
  5. wamenyimwa kutumia U/taifa na sirikali ya ccem lo! wanatafuta mahali pengine sahihi kwa mkutano.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad