Kama kawaida uzinduzi wa kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na madiwani, uzinduzi wa CCM ambao ulipambwa na uwepo pia wa makada wa CCMkutoka katika tasnia ya filamu na wasanii wa bongofleva pia walikuwepo licha ya kutokana na ufinyu wa muda waliopata nafasi ya kuperform hadi sasa ni Peter Msechu, Yamoto Band na Diamond Platnumz sambamba na timu ya watu wake.
Kwa upande wa wasanii wa filamu na baadhi ya wasanii wa muziki wa bongofleva wao walipanda katika stage na kuimba wimbo wa taifa kwa pamoja.
Hizi ni picha zingine kutoka Jangawani
Millard Ayo
CCM kiboko mhhhhhhhhhhhh mhhhhhhhh mmmm
ReplyDeleteUkiboko wake ni nini kuandaa tamasha la fiesta?
ReplyDeleteUkiboko wake ni nini?? kuandaa tamasha la fiesta?
ReplyDeleteTamasha la ccm lilikuwa poa,ila kura zooote ukawa
Deleteuna mikono mingapi ya kuwapigia kura hayo maukawa? piga ya kwako usiwasemee na wengine
Deleteccm kiboko ccm oyeeeeee,tumecheza,tumeimba ila kura zooooooooote ukawa
ReplyDeletewatu wamecheza na kumba lkn mm nilichofurahi sera na utimamu wa makufuli ni mtu mwenye kujiamini hamungunyi maneno (hababaiki wakati akizungumza) anazungumza kitu kiuwazi watanzania tumuangalie sana huyu jamaa nafikiri ukawa watapata tabu sana kwa nilivyomsikia leo kwani ukawa wamejiharibia wenyewe kuna haja ya silaa na lipumba kuingia kikosini laa sihivyo vyama vilivyounda ukawa watabaki na historia kwa tumevunja nguvu ya upizani tanzania jamaa hata useme mabaya yake pia mazuri yake ni mengi na yakupigiwa mfano na ndio yanayowapunguzia machungu watanzania japo kwa thuluthi moja kuna maeneo mingi ilikuwa ngumu kufika au ungechukua muda mkubwa sasa watu wanakwenda bila ya wasiwasi kusimamia kujengwa kwa barabara hizo kumefanya awe amesaidia kila mtanzania katka mizunguko yake ya kutafuta maisha pia kuwasogezea huduma kiurahisi na kuimarisha maendeleo ya mkoa hiyo kama mshabiki tu utona kawida lkn kutokea kiungozi kama huyu ni nadra sana hakuna waziri katika nchi hii alofanya vizuri katika awamu hizi kama yeye alionesha nguvu zake katika kuwahudumia wanachi na nchi yake kwa umjula alipenda kutetea dhamana aliopewa hapo ukawa ndipo walipofanya makosa mchukua lowasa kwani watanzania hawa watu wawili tushawahi kuona utendaji wao kazi hata wewe utakae mpinga makufuli kama ujiulize unataka rais wa tanzania awe na sifa gani basi makufuli atapata asilimia kubwa kuliko lowasa utabaki nao ushabikitu hili suali jiulize wewe peke yako ndo utapata jibu usipende kushabikia kitu usichokichunguza kwa makini hatutaki serikali ya mpito tunataka kuendelea mbele hatutaki serikali isio fahamika ukihamia tu unapewa uongozi tena dhamana kubwa eti kwa sababu jina lko katika chama chako halikutajwa na una wafuasi wingi chama kitakuwa na watu wengi hata kama huna sifa za kuwa rais watanzania hatutaki rais jina tunataka rais atakaepambana na matatizo yetu rushwa, ufisadi, huduma bora za afya, kilimo, elimu, usafirishaji, ajira kwa vijana,ulipwaji wa kodi na matatizo mengine.
Deletewatu wamecheza na kumba lkn mm nilichofurahi sera na utimamu wa makufuli ni mtu mwenye kujiamini hamungunyi maneno (hababaiki wakati akizungumza) anazungumza kitu kiuwazi watanzania tumuangalie sana huyu jamaa nafikiri ukawa watapata tabu sana kwa nilivyomsikia leo kwani ukawa wamejiharibia wenyewe kuna haja ya silaa na lipumba kuingia kikosini laa sihivyo vyama vilivyounda ukawa watabaki na historia kwa tumevunja nguvu ya upizani tanzania jamaa hata useme mabaya yake pia mazuri yake ni mengi na yakupigiwa mfano na ndio yanayowapunguzia machungu watanzania japo kwa thuluthi moja kuna maeneo mingi ilikuwa ngumu kufika au ungechukua muda mkubwa sasa watu wanakwenda bila ya wasiwasi kusimamia kujengwa kwa barabara hizo kumefanya awe amesaidia kila mtanzania katka mizunguko yake ya kutafuta maisha pia kuwasogezea huduma kiurahisi na kuimarisha maendeleo ya mkoa hiyo kama mshabiki tu utona kawida lkn kutokea kiungozi kama huyu ni nadra sana hakuna waziri katika nchi hii alofanya vizuri katika awamu hizi kama yeye alionesha nguvu zake katika kuwahudumia wanachi na nchi yake kwa umjula alipenda kutetea dhamana aliopewa hapo ukawa ndipo walipofanya makosa mchukua lowasa kwani watanzania hawa watu wawili tushawahi kuona utendaji wao kazi hata wewe utakae mpinga makufuli kama ujiulize unataka rais wa tanzania awe na sifa gani basi makufuli atapata asilimia kubwa kuliko lowasa utabaki nao ushabikitu hili suali jiulize wewe peke yako ndo utapata jibu usipende kushabikia kitu usichokichunguza kwa makini hatutaki serikali ya mpito tunataka kuendelea mbele hatutaki serikali isio fahamika ukihamia tu unapewa uongozi tena dhamana kubwa eti kwa sababu jina lko katika chama chako halikutajwa na una wafuasi wingi chama kitakuwa na watu wengi hata kama huna sifa za kuwa rais watanzania hatutaki rais jina tunataka rais atakaepambana na matatizo yetu rushwa, ufisadi, huduma bora za afya, kilimo, elimu, usafirishaji, ajira kwa vijana,ulipwaji wa kodi na matatizo mengine.
Deletemagufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Deletewatu wamecheza na kumba lkn mm nilichofurahi sera na utimamu wa makufuli ni mtu mwenye kujiamini hamungunyi maneno anazungumza kitu kiuwazi watz tumuangalie huyu jamaa nafikiri ukawa watapata tabu nilivyomsikia leo kwani ukawa wameharbu wenyewe ipo haja silaa na lipumba kuingia kikosini laa sihivyo vyama vilivyounda ukawa watabaki na historia kwa kuvunja nguvu ya upizani tz hata useme mabaya yake mazuri ni mengi na yakupigiwa mfano na ndio yanayopunguza machungu watz japo kwa thuluthi 1 maeneo mingi ilikuwa ngumu kufika au ungechukua muda sasa watu wanakwenda bila hofu kusimamia kujengwa kwa barabara hzo kumefanya awe amesaidia kila mtz mizunguko yk ya kutafuta maisha kuwasogezea huduma kiurahisi na kuimarisha maendeleo kama mshabiki tu utona kawida lkn kutokea kiungozi kama huyu ni nadra sana hakuna waziri katika nchi hii alofanya vizuri katika awamu hizi kama yeye alionesha nguvu zake katika kuwahudumia wanachi na nchi yake kwa umjula alipenda kutetea dhamana aliopewa hapo ukawa ndipo walipofanya makosa mchukua lowasa kwani watanzania hawa watu wawili tushawahi kuona utendaji wao kazi hata wewe utakae mpinga makufuli kama ujiulize unataka rais wa tanzania awe na sifa gani basi makufuli atapata asilimia kubwa kuliko lowasa utabaki nao ushabikitu hili suali jiulize wewe peke yako ndo utapata jibu usipende kushabikia kitu usichokichunguza kwa makini hatutaki serikali ya mpito tunataka kuendelea mbele hatutaki serikali isio fahamika ukihamia tu unapewa uongozi tena dhamana kubwa eti kwa sababu jina lko katika chama chako halikutajwa na una wafuasi wingi chama kitakuwa na watu wengi hata kama huna sifa za kuwa rais watanzania hatutaki rais jina tunataka rais atakaepambana na matatizo yetu rushwa, ufisadi, huduma bora za afya, kilimo, elimu, usafirishaji, ajira kwa vijana,ulipwaji wa kodi na matatizo mengine.
DeleteSasa hapa HOJA ZIKO WAPI? Unafikiri sisi WATANZANIA TUNADANGANYkA NA HAWA WASANII ili tuwape kura yetu ya miaka matano ijayo? Yaani siku 365 x 5 = 1825 days za kuotea maji, chakula, barabara mbovu, umeme hakuna, shida kupata Kigali ardhi, shida ya kodi, mama nilienda kufukuzawa, sisi vibaka kufukuzwa, machine za risiti za tra za biashara ya watu, biashara za escrow, epa, meremeta, nk. Please, leave us alone kwa huu usanii wa siku moja. Tunachukua pesa yenu, lakini hamtaona kura yangu!!!
ReplyDeletewatu wamecheza na kumba lkn mm nilichofurahi sera na utimamu wa makufuli ni mtu mwenye kujiamini hamungunyi maneno (hababaiki wakati akizungumza) anazungumza kitu kiuwazi watanzania tumuangalie sana huyu jamaa nafikiri ukawa watapata tabu sana kwa nilivyomsikia leo kwani ukawa wamejiharibia wenyewe kuna haja ya silaa na lipumba kuingia kikosini laa sihivyo vyama vilivyounda ukawa watabaki na historia kwa tumevunja nguvu ya upizani tanzania jamaa hata useme mabaya yake pia mazuri yake ni mengi na yakupigiwa mfano na ndio yanayowapunguzia machungu watanzania japo kwa thuluthi moja kuna maeneo mingi ilikuwa ngumu kufika au ungechukua muda mkubwa sasa watu wanakwenda bila ya wasiwasi kusimamia kujengwa kwa barabara hizo kumefanya awe amesaidia kila mtanzania katka mizunguko yake ya kutafuta maisha pia kuwasogezea huduma kiurahisi na kuimarisha maendeleo ya mkoa hiyo kama mshabiki tu utona kawida lkn kutokea kiungozi kama huyu ni nadra sana hakuna waziri katika nchi hii alofanya vizuri katika awamu hizi kama yeye alionesha nguvu zake katika kuwahudumia wanachi na nchi yake kwa umjula alipenda kutetea dhamana aliopewa hapo ukawa ndipo walipofanya makosa mchukua lowasa kwani watanzania hawa watu wawili tushawahi kuona utendaji wao kazi hata wewe utakae mpinga makufuli kama ujiulize unataka rais wa tanzania awe na sifa gani basi makufuli atapata asilimia kubwa kuliko lowasa utabaki nao ushabikitu hili suali jiulize wewe peke yako ndo utapata jibu usipende kushabikia kitu usichokichunguza kwa makini hatutaki serikali ya mpito tunataka kuendelea mbele hatutaki serikali isio fahamika ukihamia tu unapewa uongozi tena dhamana kubwa eti kwa sababu jina lko katika chama chako halikutajwa na una wafuasi wingi chama kitakuwa na watu wengi hata kama huna sifa za kuwa rais watanzania hatutaki rais jina tunataka rais atakaepambana na matatizo yetu rushwa, ufisadi, huduma bora za afya, kilimo, elimu, usafirishaji, ajira kwa vijana,ulipwaji wa kodi na matatizo mengine.
ReplyDeletewatu wamecheza na kumba lkn mm nilichofurahi sera na utimamu wa makufuli ni mtu mwenye kujiamini hamungunyi maneno (hababaiki wakati akizungumza) anazungumza kitu kiuwazi watanzania tumuangalie sana huyu jamaa nafikiri ukawa watapata tabu sana kwa nilivyomsikia leo kwani ukawa wamejiharibia wenyewe kuna haja ya silaa na lipumba kuingia kikosini laa sihivyo vyama vilivyounda ukawa watabaki na historia kwa tumevunja nguvu ya upizani tanzania jamaa hata useme mabaya yake pia mazuri yake ni mengi na yakupigiwa mfano na ndio yanayowapunguzia machungu watanzania japo kwa thuluthi moja kuna maeneo mingi ilikuwa ngumu kufika au ungechukua muda mkubwa sasa watu wanakwenda bila ya wasiwasi kusimamia kujengwa kwa barabara hizo kumefanya awe amesaidia kila mtanzania katka mizunguko yake ya kutafuta maisha pia kuwasogezea huduma kiurahisi na kuimarisha maendeleo ya mkoa hiyo kama mshabiki tu utona kawida lkn kutokea kiungozi kama huyu ni nadra sana hakuna waziri katika nchi hii alofanya vizuri katika awamu hizi kama yeye alionesha nguvu zake katika kuwahudumia wanachi na nchi yake kwa umjula alipenda kutetea dhamana aliopewa hapo ukawa ndipo walipofanya makosa mchukua lowasa kwani watanzania hawa watu wawili tushawahi kuona utendaji wao kazi hata wewe utakae mpinga makufuli kama ujiulize unataka rais wa tanzania awe na sifa gani basi makufuli atapata asilimia kubwa kuliko lowasa utabaki nao ushabikitu hili suali jiulize wewe peke yako ndo utapata jibu usipende kushabikia kitu usichokichunguza kwa makini hatutaki serikali ya mpito tunataka kuendelea mbele hatutaki serikali isio fahamika ukihamia tu unapewa uongozi tena dhamana kubwa eti kwa sababu jina lko katika chama chako halikutajwa na una wafuasi wingi chama kitakuwa na watu wengi hata kama huna sifa za kuwa rais watanzania hatutaki rais jina tunataka rais atakaepambana na matatizo yetu rushwa, ufisadi, huduma bora za afya, kilimo, elimu, usafirishaji, ajira kwa vijana,ulipwaji wa kodi na matatizo mengine.
ReplyDeletewatu wamecheza na kumba lkn mm nilichofurahi sera na utimamu wa makufuli ni mtu mwenye kujiamini hamungunyi maneno (hababaiki wakati akizungumza) anazungumza kitu kiuwazi watanzania tumuangalie sana huyu jamaa nafikiri ukawa watapata tabu sana kwa nilivyomsikia leo kwani ukawa wamejiharibia wenyewe kuna haja ya silaa na lipumba kuingia kikosini laa sihivyo vyama vilivyounda ukawa watabaki na historia kwa tumevunja nguvu ya upizani tanzania jamaa hata useme mabaya yake pia mazuri yake ni mengi na yakupigiwa mfano na ndio yanayowapunguzia machungu watanzania japo kwa thuluthi moja kuna maeneo mingi ilikuwa ngumu kufika au ungechukua muda mkubwa sasa watu wanakwenda bila ya wasiwasi kusimamia kujengwa kwa barabara hizo kumefanya awe amesaidia kila mtanzania katka mizunguko yake ya kutafuta maisha pia kuwasogezea huduma kiurahisi na kuimarisha maendeleo ya mkoa hiyo kama mshabiki tu utona kawida lkn kutokea kiungozi kama huyu ni nadra sana hakuna waziri katika nchi hii alofanya vizuri katika awamu hizi kama yeye alionesha nguvu zake katika kuwahudumia wanachi na nchi yake kwa umjula alipenda kutetea dhamana aliopewa hapo ukawa ndipo walipofanya makosa mchukua lowasa kwani watanzania hawa watu wawili tushawahi kuona utendaji wao kazi hata wewe utakae mpinga makufuli kama ujiulize unataka rais wa tanzania awe na sifa gani basi makufuli atapata asilimia kubwa kuliko lowasa utabaki nao ushabikitu hili suali jiulize wewe peke yako ndo utapata jibu usipende kushabikia kitu usichokichunguza kwa makini hatutaki serikali ya mpito tunataka kuendelea mbele hatutaki serikali isio fahamika ukihamia tu unapewa uongozi tena dhamana kubwa eti kwa sababu jina lko katika chama chako halikutajwa na una wafuasi wingi chama kitakuwa na watu wengi hata kama huna sifa za kuwa rais watanzania hatutaki rais jina tunataka rais atakaepambana na matatizo yetu rushwa, ufisadi, huduma bora za afya, kilimo, elimu, usafirishaji, ajira kwa vijana,ulipwaji wa kodi na matatizo mengine.
ReplyDeletewatu wamecheza na kumba lkn mm nilichofurahi sera na utimamu wa makufuli ni mtu mwenye kujiamini hamungunyi maneno (hababaiki wakati akizungumza) anazungumza kitu kiuwazi watanzania tumuangalie sana huyu jamaa nafikiri ukawa watapata tabu sana kwa nilivyomsikia leo kwani ukawa wamejiharibia wenyewe kuna haja ya silaa na lipumba kuingia kikosini laa sihivyo vyama vilivyounda ukawa watabaki na historia kwa tumevunja nguvu ya upizani tanzania jamaa hata useme mabaya yake pia mazuri yake ni mengi na yakupigiwa mfano na ndio yanayowapunguzia machungu watanzania japo kwa thuluthi moja kuna maeneo mingi ilikuwa ngumu kufika au ungechukua muda mkubwa sasa watu wanakwenda bila ya wasiwasi kusimamia kujengwa kwa barabara hizo kumefanya awe amesaidia kila mtanzania katka mizunguko yake ya kutafuta maisha pia kuwasogezea huduma kiurahisi na kuimarisha maendeleo ya mkoa hiyo kama mshabiki tu utona kawida lkn kutokea kiungozi kama huyu ni nadra sana hakuna waziri katika nchi hii alofanya vizuri katika awamu hizi kama yeye alionesha nguvu zake katika kuwahudumia wanachi na nchi yake kwa umjula alipenda kutetea dhamana aliopewa hapo ukawa ndipo walipofanya makosa mchukua lowasa kwani watanzania hawa watu wawili tushawahi kuona utendaji wao kazi hata wewe utakae mpinga makufuli kama ujiulize unataka rais wa tanzania awe na sifa gani basi makufuli atapata asilimia kubwa kuliko lowasa utabaki nao ushabikitu hili suali jiulize wewe peke yako ndo utapata jibu usipende kushabikia kitu usichokichunguza kwa makini hatutaki serikali ya mpito tunataka kuendelea mbele hatutaki serikali isio fahamika ukihamia tu unapewa uongozi tena dhamana kubwa eti kwa sababu jina lko katika chama chako halikutajwa na una wafuasi wingi chama kitakuwa na watu wengi hata kama huna sifa za kuwa rais watanzania hatutaki rais jina tunataka rais atakaepambana na matatizo yetu rushwa, ufisadi, huduma bora za afya, kilimo, elimu, usafirishaji, ajira kwa vijana,ulipwaji wa kodi na matatizo mengine.
ReplyDeleteLILIKUA NI TAMASHA NA PALE JANGWANI TULIFUATA MUZIKI KAMA LILE TAMASHA LA PROFESA J NA MHE SUGU PALE VIWANJA VYA ZAKHEM MBAGALA TAMASHA LA UAMSHO WA DEMOKRASI TAREHE 16 AUGUST 2015. NAKUOMBA MHARIRI UTUREJESHE KWENYE PICHA ZA SIKU ILE ILI HAWA MABAZAZI WANOKO LONGOLONGO WAFANYE TATHMINI YA UKWELI HADAA HADAA ZINA MWISSHO
ReplyDeleteUjielewi eti ukawa hao viongozi wa ukawa hawaelewani then tuwape nchi mnafikiri nchi inajaribiwa????
ReplyDeletewewe udaku why unakopy kutoka kwa millad ayo weka zako mbana
ReplyDeleteNilikuwepo jangwani jana ni kweli lile lili kua ni Tamasha kubwa la muziki na wasanii ukiwa ni mwendelezo wa ile Hafla ile ya Mlimani city aliyoifadhili yeye mwenyewe kikwete..wageni waalikwa walikua mgombea urais wa ccm na viongozi waandamizi na wastaafu woooote wa ccm.bila hivyo mgombea angewahutubia ccm watupu waliozungukwa na chura wengi pale kwenye madimbwi.NI HILA HILA ULAGHAI
ReplyDeleteMIMI NILIFATA MUZIKI TUUU PALE
ReplyDeleteCha muhimu ni wewe kuwepo mahali pale basi!!
DeleteTHAT'S WHAT THIS GAME CALLED POLITRICK IS ALL ABOUT"WHO'S FOOLIN'WHO
ReplyDeletesawa tamasha kubwa LAKINI CCM wanatuletea USANII kwenye maisha YETU? Badala ya kuja na HOJA kwa nini tuwachague? Tutafanya HILI, tutafanya LILE...miaka YOTE sitini hamjafanya? Ni sawa na mwanao akuambie baba nitaoa; mwakani baba nitaoa; mwaka mwingine baba nitaoa; na hivyo hivyo miaka thelathini baada ya kubalehe baba nitaoa! Si utamshangaa kwa nini hajaoa miaka yote hii? Labda wasichana hawampendi; labda kuna tatizo na yeye binafsi! Kwa nini usimwambie tu; LOL mwanangu HUWEZI kuoa tena sasa umeshakuwa MZEE (AND I MEAN IT!!!
ReplyDeleteTAMASHA LA CCM KWA KWELI NI TISHIO KINA KUSAGA WAJIANGALIE WASIJE WAKAPIGWA BAO,YAAANI SITASAHAU KWANI TUMESHUUHUDIA MIPASHO,MATUSI,UONGO,VITIBWI,MAUZAUZA,UCHAWI,VILOJA,VITUKO MPAKA MTOTO WANGU AMENIAMBIA TUSIJE TENA HUKU, KIKWETE HONGERA SANA KWA KUJENGA NA KUACHA CHAMA IMARA KAMWE DUNIA HAITA KUSAHAU KAMWE
ReplyDeleteWewe unataka kurudiia huo upuuzi umeandika. Huoni kama nchi inaendeshwa na wadanii. Mimi nilikuwepo jangwani. Sikuweza kumwangalia magufuli mara 2 wala kumshangilia kw kuw aliikandya serikali ambayo na yeye anafanya kazi ndani yake. Angekuw na umskini na kukubali keamba kwrli serikali ya kikwete inanuka rushwa kama alivyoaema basi angejiuzulu mapema. Angepata poimts hapo. Mimi sikuweza kumsgangilia aliposema eti atajenga viwNda vya samaki. Hello, give me a break my friend. Aliongrza kusema katika kipindi cha hotuba ya kama dk 35:15 (in fact alipitiliza lakini polisi au NEC hawa kusema chochote----biased), alisema ataenda kitanda cha kutengeneza kanga --- go back and listen to the speech....unafikiri sisi WATANZANIA wa 1947? Vile vitanda vya kiltex, morotex, Mwanza tex, musoma tex vikao wapi, kabla hujasema hivyo bwana magufuli? Eti mama ntilie hamptapata shida - wakati huo huo mabosi wako uliowasifia wamesemaje hao watu ni vibaka, malofa, wapbavu nk. Give me a break, Sir or mom! Ile speech ya magufuli haikufanyika na substance yoyote - nothing in that speech that a form one student couldn't say it, sembuse mtu unataka awe Raisi WETU? Ataenda UN kuongea kihaya? Kisukuma? Kichaga au kipate?
ReplyDeleteAtawasukuma intellectuals kama tingatings? No way. Sisi watanzania, tunataka mabadiliko, nje ya ccm. Eti akaongeza, ataimarisha amani. Amani gani watu wanauawa na polisi? Amani ya kuogopa polisi. Ataimarisha MuungANO...MASKINI NA WARIOBA ALIKUWEPO....WAKATI RASIMU YA WANANCHI ILI TAMKA waziri ni jinsi gani ya kuimarisha muingano. I am sick and tired na hii ccm....wewe unaishi maisha ya kula bacon, may air na mkato asubuji, jirani yako anaishia kiunywa kahawa na bagia na harufu ya b/fast yako! Watoto wako wanapelekwa shule na dereva wa wizara kwenye VX8, wa jirani mmmhhh......na zaidi ya haya. Na kuhakikishia kikwete akimwachia magufuli kwa sekunde2 tu, atahamia ukawa
Fanyeni kazi kwa bidii. Acheni kujibweteka eti serikali itakulisha wewe na wanao. Pole sana ndugu yangu kwa mawazo yako. Tujirekebishe watanzania. Tuache uvivu.
ReplyDelete