Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba Kwa Kutokutokea Jagwani Uzinduzi wa Kampeni CCM

U hali gani Ali Kiba? Natumai u mzima kabisa na unaendelea vyema na shughuli zako za muziki.
Mimi kama shabiki/mpenzi na mfuasi wako napenda kukupongeza kwa kitendo chako cha kishujaa na chenye hekima cha kutokuhudhuria kwenye mkutano wa kuzindua kampeni na ilani za chama cha CCM uliofanyika leo jijini Dar Es Salaam katika viwanja vya Jangwani.

Leo mchana nilisikia tetesi kuwa utakuwepo jangwani, niliumia sana.
Niliamua kusitisha shughuli zangu zote leo ili niweze kuangalia mkutano huo niweze kuona kwa macho yangu kama utaweza kufanya onesho kwenye mkutano ule au lah!

Lakini hadi mwisho wa mkutano sijakuona kabisa, kwa hili nakupongeza sana Ali Kiba. Umenipa sababu za kukupenda na kuzidi kuupenda muziki wako mara dufu.
Kila mara huwa nasema kuwa siupendi mziki wako tu, bali na mtindo wako wa maisha kiujumla.

Tunapoongelea suala la msanii ni kioo cha jamii, wewe ndiye hasa unayefaa kuitwa kioo cha jamii.
Busara na hekima zako Mungu alizokujalia na kipaji chako ni tunu ya kipekee....hongera sana.

Naomba hekima hizo zisiishie kwenye mkutano wa leo tu, bali mikutano yote inayohusu chama cha CCM. Sitaki kuzungumzia hili zaidi maana hakuna Mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuwaunga mkono viongozi na chama hiki kiujumla.

Naomba usinitie aibu mimi na mashabiki wenzangu kama yule mwenzio alivyowatia aibu na kuwakera mashabiki wake kwa kitendo chake cha kuonesha mahaba yake hadharani juu ya chama dhalimu cha Mapinduzi na mgombea wake Magufuli.

Kwa hili, nasema ASANTE SANA.
NAKUSHUKURU NA KUKUAHIDI KUWA SHABIKI WAKO MILELE!
MUNGU AKUBARIKI.
Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wabongo kwa kuzua mijadala isiyo na maana tumejaliwa wewe mwandishi kama unatatizo lako sio kuhususisha watu katika mwamuko wako na mtazama wako kwa akili yako kama Kiba hakuhudhuri hilo tamasha umeona ni kitu cha msingi sana kwani ni nani mpaka ukupe faraja katika nafsi yako angekuwa katoa rasimi mtazamo wake mwenyewe hadharani haina haja ya wewe kumwakilisha na hakuwa muwakilishi wako wa matakwa yako mnapenda kukweza watu na mambo yao bila kuwa na muelekeo kwa kukosa mwamko wa ki akili pevu zenye kuona mbali shughulikia yako bro sio kukakaa kusifia ya wenzio

    ReplyDelete
  2. Mwandishi huna jipya.CH............................K.......................

    ReplyDelete
  3. wanaweweseka pamoja na huyu mwandishi wao, waache wakazane kushughulikia watu wakujaza mafuriko na kupanic pale jangwani jumamosi, mwenzao jembe ameshaingia msituni tayari kwa kazini, halafu siku hizi wanaongea sauti ya kufanana naona hata huyu mzee wao nae kama sauti imeanza kuwa ya kupanic, MAGUFULI BABA FANYA KAZI, wenzio bado wanakaririshwa scene huku nasikia leo wameenda kuigiza Iringa

    ReplyDelete
  4. Ali kiba alikuwa mombasa ana performed. Semeni jengne

    ReplyDelete
  5. Muandish shoga huyo

    ReplyDelete
  6. Malofa na ..........(BWM)

    ReplyDelete
  7. Asihudhuria mikutano yote ya CCM 'A' au 'B'? Hebu funguka tukuelewe

    ReplyDelete
  8. yule domo alienda kutingisha matako kule kama kawaida yake, mimi mpaka leo sieelewi hii style ya huyu jamaa ya kutingisha matako, mwanamme mzima unatingisha matako, unamtingishia nani?

    ReplyDelete
  9. Hilo Bango juu la Magufuli linafanya nini? Kumamako admin wa hii blog!

    ReplyDelete
  10. huyo diamond domo kubwa kwanza mtoo sio wake kapewa 2 na zari waliompa mimba wako johsburg yeye kapewa mtoto 2
    ndo mana diva kamponda et sio type yake

    ReplyDelete
  11. Kiba nnani haswa hata tumjadili?!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad