Hofu ya Lowassa, CCM Wakutana Ghafla Dodoma

Katika kile kinachoonekana hali mbaya ndani ya Chama kuelekea Uchaguzi Mkuu hapo Oktoba, Kamati Kuu ya CCM inakutana Mjini Dodoma chini ya Uongozi wa Mwenyekiti Jakaya Kikwete.

Ripoti za ndani zinadai ajenda kuu ni Kuzuia Kasi ya Edward Lowassa ambae anaonekana kuwatesa kila uchao.

Tutaendelea kujuzana yanayojiri huko, Usicheze mbali.

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na mbadooooooooooooooooooo!! Lowassa ndie Rais mtarajiwa anaesubiri kuapishwa! Ni Rais was awamu ya Nne na Na Ya Tano! Hatujawahi kuwa na Raisi wa awamu nne TANZANIA

    ReplyDelete
  2. CCM wakutana ghafla na luwassa ndani yupo kwenye mkutano kama anavyoonekana kwenye picha ipo shughuli

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani hujui kama UKAWA ni CCM B? Hao waloacha kusimamisha wagombea wao watajutraaaaa........CCM woyee

      Delete
  3. TOO LATE TO CATCH THE BUS

    ReplyDelete
  4. Mafuriko utayazuia je kwa mkono??

    ReplyDelete
  5. acha uongo kinachofanyika ni kupitisha majina ya wagombea nafas mbali mbali za ubunge na udiwan na si kwa ajil ya upuuz uliousema

    ReplyDelete
  6. People's Power hiyooooooo. Na bado, hizo ni rasha rasha tu, ccm subirini mvua za masika. Mmejifanya kwamba nchi na rasilimali zote ni mali yenu na watoto elwenu tu. Mmzedisha nepotism, mmewaacha wananchi wakawa walalahoi ndani ya nchi yao. Mwache Lowassa awe Raisi kila mtu apate share ya hizo resources zetu. Nyie mmejifanya nchi imekuwa "bongo" kabisa? Halafu kama kiongozi wa juu kabisa awe za kusema "wapige tuu" "makapi" au watakiona cha mtema kuni, je akina Nape na Makonda si watakanyaga wananchi wa kawaida kama ambavyo wameshafanya hadi saa hii. Haya ni mapenzi ya Mungu, Lowassa atakuwa Raisi wetu wa nne na wa tano kwa sababu itabidi asafishe uozo wa mfumo huu ulioko kwanza kabla ya kuanza kazi Rasmi. Mungu mmbariki Lowassa, Mungu wabaridi viongozi wote wa Ukaea, Mungu tuvushe salama na kwa amani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yeye mwenyewe ni uozo ulo-safishwa CCM ukatupwa CDM mkaudaka, tangu lini uozo ukasafisha uozo??? Hapo mmebeba uvundo, pole inawahusu.........

      Delete
  7. acha ushabiki wa kijinga, mwenyekiti wa Chama yuko dodoma kwa ajili ya wabunge wanaowania kurudishwa kwenye kinyang'anyilo na wala hayuko kwa ajii ya lowasa, ili iweje???????????????

    ReplyDelete
    Replies
    1. weee ndio mjinga! huwezi kusoma alama za nyakati? au kwa sababu unategemea magoli ya mikono kwenye mpira wa miguu? tuko macho sana safari hii huoni ndani. Hakuna kulala hadi kijulikane!

      Delete
  8. TUNATAKA MABADILIKO!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mabadiliko ya vipi kwamfano.......msifuate mkumbo tu, HAMJIJUI wala HAMJITAMBUI

      Delete
  9. Sasa Huyo Luwassa anafanya nini kwenye mkutano wa CCM au kutusaliti

    ReplyDelete
    Replies
    1. Edo ni CCM damu, kilicho mpeleka CDM ni urais tu...

      Delete
  10. Ama kweli nyie udaku kiboko yaani mnadanganya watu mchana kweupe na watu bila kuchunguza habari uhalisi wake na picha haviendani yanachangia mada kama vipofu vipi ktk picha atakuwepo lowassa wakati CCM Wana kutana kwa ajili ya kumjadili yeye kweli wabongo tutapona kwa miondoko hii wote walioiponda CCM hawajitambui wanasema nini kama kwa hili nalo wanachangia kwa jazba na ushabiki eti mabadiliko kwanza badilikeni nyie mpate ufahamu na kujitambua hata ikija serikali ya malaika tutabaki hivi hivi

    ReplyDelete
  11. Mnadai mabadiliko wakati nyie hata kujitambua hamjitabui. Pole yenu.

    ReplyDelete
  12. jamani waliojilimbikizia m,ali na waliotumwa na watu kumchafua Lowasa wajiandae ndio huyooo anaingia ikulu Tanzania watapaona kama kituo cha polisi

    ReplyDelete
  13. IKULU Ataiona akienda feri kunujua Samaki,, lakini kuingia kukaaa bora unchi ishikwe na Jeshi,,,

    ReplyDelete
  14. ccm wenyewe wezi hadi wanaibiana kura wenyewe kwa wenyewe, wameenda dodoma kuangalia jinsi ya kuchakachua upya maana mawaziri wao kibao wamepigwa chini! walizoea kuchakachua wanaingia madarakani sasa ccm wadogo wameshituka wameamua kutenda haki, na wao haki hawajaizoea wameamua kurudia tena uchaguzi wa kura za maoni ah... sasa hao watakao katwa jamani karibuni UKAWA hamjasikia wenzenu wa karagwe! 500 wamejiunga na UKAWA njooni mradi mmeshaamka njoooni msirudi huko tena. HIYO PICHA HAPO NI SIKU LOWASA ANAKARIBISHWA UKAWA. UTAJIBEBA"

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad