Huwezi Amini Watanzania Tuna Maamuzi Magumu Sana...Embu Jisomee Hapa Uone.....
12
August 03, 2015
1. Huna uhakika wa kula na elfu moja pekee uliyonayo unaamua kuinywa Kiroba - Ni maamuzi magumu.
2. Huna kitanda na unaamua kuoa - Hayo pia ni maamuzi magumu.
3. Huna uwezo wa kumlisha mkeo kazi yako ni kumjaza ujauzito - Ni maamuzi magumu.
4. Shule haina waalimu unampeleka mwanao - Pia ni maamuzi magumu....
5. Daladala imejaa mpaka mlangoni na unaamua kupanda - Ni maamuzi magumu.
6. Unalipwa laki mbili unamhonga binti laki moja - Hayo ni maamuzi magumu.
7. Kama utasoma hapa na kushindwa kuweka maamuzi magumu unayoyajua - Utakuwa unamaamuzi magumu mnoo...!
8. Mdada unaweka brazillian ya laki saba mshahara laki 2- Hayo ni maamuzi magumu
Tags
kweli ni maamuzi magumu!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteunanunua range rover unakaa chumba kimoja hayo ni maamuzi magumu
ReplyDeleteUnabwagwa CCM unahamia CDM - hayo ni maamuzi magumu
ReplyDeleteHakika hayo ni maamuzi magumu mno.
ReplyDeleteUnawacha kumpigia kampeni lowasa unampigia Magufuli haya ni mamuzi magumu.. Unajua kama Zanzibar inanyimwa haki zake na Tanganyika lakini unazidi kutetea muungano haya pia maamuzi magumu
ReplyDeleteUnachukua mkopo urudishe heshima bar...hayo ni maamuzi magumu
ReplyDeleteUnamwacha mke wako unaenda kwa mchepukp, hayo ni maamuzi magumu
ReplyDeleteUnamtongoza Wema wakati huna usafiri wa kutembelea...hayo pia maamuzi magumu
ReplyDeleteyafuatayo ni maamuzi ya kipumbavu.....
ReplyDelete1.unamkataa yesu unamfata shetani ..hayo ni maamuzi ya kipumbavu
2.unakataa condom kisa demu mzuri..hayo ni maamuzi ya kipumbavu
Magufuri ,,huna nauli ya pantoni inabidi upige mbizi kuja kutuomba kura watu wa kigamboni.......hayo ni maamuzi magumu
ReplyDeleteMbowe kumpa Dr silaha likizo! ! Ni maamuzi Magumu m nooo.
ReplyDeleteUnaweka profile pic ya mkeo kwenye whatsapp ili kumtuliza wakati unajua wewe ni mchepukaji mashuhuri hayo ni maamuzi magumu
ReplyDelete