Irene Uwoya Apitishwa na CCM Kuwa Mbunge Viti Maalum Kupitia Tabora

Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya apitishwa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC )kuwa mbunge viti maalum vijana mkoa wa Tabora.

Wengine waliopitishwa ni namba 1. Halima Bulembo 2. Zainab Katimba 3. Mariam Ditopile 4. Mary Kangoye 5. Kizigo 6. Irene Uwoya.

Hongera sana Uwoya.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. DUH AKA KASISTER KANA MAADILI KWELI AU ?????????

    ReplyDelete
  2. Zile chupi zake atazivalia wapi jamani??????????? maana tumezoea kuona mapaja kwenye kila filamu hata kama haigizi uchangu. Mimi naona hafai sijui amepitaje kwa kweli.

    ReplyDelete
  3. Kama mtu kama Erene anapitishwa sina neno. Ameuza ngapi?

    ReplyDelete
  4. mwacheni huyu dada kama mapaja na chupi ni mali yake

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad