Jack Wolper Amkubali Lowassa, Ajiita Jaquline Wolper Lowassa.

Katika kile kinachoonekana kwamba ameridhika na mgombea Urais Tanzania, kupitia CHADEMA/UKAWA actress na mrembo kiwango Bongo Jaquline Massawe Wolper, amejinadi kura yake ya Urais Oktoba anaipeleka kwa mgombea huyo Edward Lowassa.

Kupitia Instagram Jack, anashare picha kadhaa za matukio yanayoendelea kwenye kambi ya UKAWA.

Katika ‘line’ nyingine, Wolper amewaacha midomo wazi followers wake zaidi ya laki 6 Instagram baada ya kutangaza kuanzia kipindi hiki ataitwa Jaquline Wolper Lowassa.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SAFI DADA MPE KURA YAKO EL NA WOTE WA UKAWA MWAKA HUU TUNATAKA CCM IPIGWE CHINI MIAKA 50 BASI

    ReplyDelete

  2. Mmmmmmmh. Hizo ni ndoto za mchana

    ReplyDelete
  3. Saafi saana wolper lowasa na watanzania wanataka

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad