Jamani Zari Hajawahi Kuolewa – Diamond Platnumz

Diamond Platnumz amesema Zari hajawahi kuolewa na kwamba hadi sasa hajapokea barua yoyote kutoka mahakamani ikimtaka kuchukua vipimo vya DNA vya mtoto wake, Tiffah.

Kwa mujibu wa Diamond, barua iliyowekwa kwenye akaunti ya King Lawrenc ni moja ya njia ya swahiba hiyo wa ex wa Zari, Ivan ya kujipatia umaarufu.

“Sijapokea barua yoyote,” Diamond ameiambia 255 ya XXL kupitia Clouds FM leo.

“Unajua lazima tujue kila mtu anatumia mitandao kwa njia zake. Wengine wanatumia kutafutia umaarufu kama hivyo which is not bad but kupata umaarufu ni kazi sio, mtu anatafuta njia yoyote kutafuta umaarufu na watu wakamsikiliza na kupata pongezi kwa sababu amekaa amebuni kitu mpaka watu wakamsikiliza,” amesema Diamond.

“Zari hajawahi kuolewa kwanza, ni story tu hizo, lakini hajawahi kuolewa, ukimuuliza mwenyewe anasema hajawahi kuolewa kabisa,” amesisitiza staa huyo.

“Unapokuwa na mahusiano na mtu huwezi kufuatilia vitu vyake vya nyuma. Tumeanza maisha yangu mimi na yeye sidhani kama umeshaona post yangu yoyote ya kumzungumzia vibaya ndio maana nikiona vitu ambavyo navisikia naona ni uongo, mimi sifuatilii maisha ya mtu.”

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dai muongo sana mbina unafatilia maisha ya maa x zako.

    ReplyDelete
  2. Zari kakudanganya alishaolewa na dini akabadilisha, Domo unaona aibu unayajua vizuri.

    ReplyDelete
  3. wacha kutetea upuuzi dai kama unahakika mtoto ni wako si kapime uonyeshe umma? na kilochomfanya Zari abadilishe dini ni nini kama si Ivan, kakuuzia mbuzi kwenye gunia.

    ReplyDelete
  4. Domo! ulimkuta Zari kwenye ndege ukaanza kumtongoza, ulijua anaenda kwa nani dar? kama si kwa katunzi nawe ukaingia bila kondomo na mpambe wako ni Nyampua Sinta. leo unauhakika gani na anayokwambia bi matende au ndo mapenzi upofu. unalo hiloo

    ReplyDelete
  5. ZARI ALIOLEWA NA IVAN TENA NDOA YA KIMILA NA PICHA WANAKATA KEKI UMEZIONA NA WATOTO KAZAA NAE, NA DINI KABADILISHA, LEO UNAJIFANYA HUYAJUI? KWAKUWA UNA MTOTO WA KUBAMBIKIWA LOL

    ReplyDelete
    Replies
    1. sasa na wee ndoa ya kimila ndio ndoa!!!! ndoa halali ni ya kidini tena dini mbili tu kiislamu na kikiristu basi kama kuna dini zengine nop, sasa iyo ndoa alifunga kanisani ama msikitini?? ama ile yenu ya serikali miezi 6 kuishi pamoja pika pakuwa tayari ndoa hahahaha

      Delete
  6. si mkapime yaishe mnaogopa nini, na mbona mnamfisha sura watu wasimuone mtoto, lisemwalo lipo.sasa unafikiri Zari atakupa story yake ya nyuma si utamuacha? wacha ujinga wa tandale

    ReplyDelete
  7. Wamependana wenyewe hata kama kuna longolongo,
    Tuwaache kama walivyo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sawa, lakini asikatae kwamba hajawahi kuolewa! Ndio kusema hata wale watoto wa 3 wakiume hajawazaa Zari? Kama kampenda aseme tu kwamba, hata kama amebambikiwa mtoto yeye ataji'binafsisha tumuelewe......

      Delete
  8. Kinachoshangaza ni kwanini Zari anashindwa tuhuma zote zinazotolewa kwake badala yake anamwachia Daimond kujibu badala yake, Inabidi Daimond aseme Zari anasema badala ya kusimama mwenyewe na kusema mimi sijawahi kuolewa.

    ReplyDelete
  9. hilo nalo neno! Anony 9.43 AM

    ReplyDelete
  10. hivi Watanzania mmekuwa vichaa mbona hivyo ) mapenzi ni ya watu wawili lakini mmeyakalia juu juu kama ni ndugu zenu, WHY? Hivi ninyi mmewahi kupima DNA zenu na za baba zenu? mkapewa jibu. Kumamamako zenu Muacheni huyo kijana Diamond aishi kwa usalama na afya maana anaandamwa sana kama fisi mla watu. WHY? kwani mwanamke aliokuwa na watoto hawezi kuzaa na mtu mwingine? Acheni ushamba na Uswahili badilikeni tabia ndio maana hamna maendeleo kila kukicha ni vijiweni tuuuuu,,... mpaka usiku kupata habari za uongo, mwenzenu anafanya kazi sana ndio maana kafikia hapo alipo na ninyi kafanyeni kazi sana mumshinde nassib ndio maendeleo mbona yeye hamsemi mtu? Wote mnaomsema Diamond, mna njaa hamjala mkashiba, mnalala nyumba dhaifu, mlo usiokuwa wa afya ndio maana akili zenu finyo . Lazima muelewe Dai ni STAR anaweza akampata mwanamke yeyote hapa duniani. hata kama sio wake mtoto kwani watu wangapi wame ADDOPT watoto na wanawatunza na kuishi nao kama watoto wao wa Damu?
    Nassib usiwasikilize hao wanafiki walala hoi,fanya kazi mpaka kijulikane,jenga na HEKALU lingine wazidi kusema mikundu ya mama zao au walizaliwa kimyume cha binadamu wengine , labda wamezaliwa kutokea mikunduni kwa mama zao ndio maana wako hivyo

    ReplyDelete
  11. Kwakua Diamond asikubali kupima DNA?mbona Nay aliuthibitishia umma kua mtoto ni Wake?ingawa hâta ukimwangalia mtt Wa Nay hakuna swali tayar ni jb,mi naona kumaliza utata na heshima kuepo bora apime tuu,au laa anaujua ukweli.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad