Je Kuna Ukweli Kuwa Wafuasi wa Lowassa na CHADEMA, Hawajui Wanafuata Nini

Nimekutana na Hii Mahali eti ...Naomba niwaulize Kama kuna ukweli juu ya hii kauli hapa chini"

"Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo"

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. You need to be respectful sio kutoa matusi na maneno mabaya kwa watu. Kuwa na hekima kama umetumwa waambie waliokutuma wawe na respect kwa watu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa akili yako wewe unafikiria una akili kwani maisha yetu toka enzi na enzi yalikuwa yakitolewa mfano unaofanana na maisha ya wanyama kutokana na matukio sio kweli ni ndo umekuwa mnyama ila kwa mtu mwenye mapungufu kama wewe

      Delete
  2. hahaha (ccm) aka chama cha mazoba

    ReplyDelete
  3. Wa kuitwa vigogo wa CCM family&Co.wana mchecheto mkubwa kuwa pindi upande wa upinzani kama utayashika madaraka na kuingia"Sehemu takatifu(Ikulu)"kama alivyopaitaga Mwl.Nyerere(katika moja ya speech zake)itabidi wawajibike kuhusu ni jinsi gani walivyozipata mali zao walizojilimbikizia katika hiyo miaka yote ya utawala wa CCM wanahaha at any price kuona kuwa lazima wabakie ndani ya hiyo sehemu takatifu tutashuhudia mengi katika uchaguzi huu bila ya kuusahau ule msemo"USILE NA KIPOFU UKAMSHIKA MKONO"

    ReplyDelete
  4. Wameishiwa chichiemu wameamua kutukana,na hakuna kulala kanyaga mwanzo mwisho,na hao nyumbu wamejiandikisha kupiga kura.

    ReplyDelete
  5. Warukwa na Akili Wendawazimu wanaoendelea kubaki ndani ya CCM ndio hawa.Mwandishi huyu mwehu anatapika kwa kuwaita UKAWA Nyumbu.Sawa,Sisi ni Nyumbu DUME kazi kwake yeye NYUMBU JIKE.

    ReplyDelete
  6. mh yangu macho.

    ReplyDelete
  7. Nyumbu haooooo wanaingia mahari patakatifu, washavuka mito milima na mabondo.... kazi kwenu.. mtavuna mlichopanda

    ReplyDelete
  8. ha ha ha huyu mwandishi nahisi elimu yake haijamsaidia......mpyuuuuuuu

    ReplyDelete
  9. Ni binadamu wachache ambao huwa wanakubali ukweli na uhalisia wa mambo, na hakuna kitu kibaya kama watawala wanapolizika na kupuuza madai ya wananchi anguko la watawala kama hawa ni kubwa na kilio watakacholia hakuna atakayeweza kupangusa machozi yao aliwahi kusema baba wa taifa Nyerere katika moja ya hotuba zake. Mwandishi naona haelewi anaishi katika zama gani pengine kwa akili na upeo wake mdogo wa kufikiri anadhani anaweza kupambana na nguvu ya umma. japokuwa huo ni wake mtazamo lakini katika muda na wakati usiofaa maana kwa sasa hakuna neno zuri ambalo watanzania wangependa kulisikia tofauti na mabadiliko ya kiutawala na kimfumo wa serikali yao yaliyoipigania kwa miaka mingi. Isitoshe kuna uwezekano mkubwa kabisa kwamba mwandishi pia ni nyumbu tena aliyepigika na utawala wa ccm.

    ReplyDelete
  10. Nimeupitia huu ujumbe wa huyu msemaji wa CCM bila shaka ni yule yule aliyezaliwa nje ya Ndoa ambaye famili ilikwisha mkana kuwa si mtoto wa KANALI mropokaji mla Rushwa mkubwa.Ukweli umedhihiri Mhe.Lowassa Ndiye Rais wetu wa awamu ya TANO.Ushindi wake ni wa ASILIMIA 95,WHOOPING TORNADO.

    ReplyDelete
  11. Bahati mbaya Nyumbu tuna vitambulisho vya kupiga kura!

    ReplyDelete
  12. Ni yule yule Mwanaharamu aliyezaliwa nje ya Ndoa si mtoto halali wa Marehemu KANALI tunajua.Lakini pia Rungwe Wanadai mtoto ni wao Kazi Nzuri ya Mzazi wake.Nasema sasa Tumeenza atajificha uvunguni.Mhe.LOWASSA NDIYE RAIS WA TANZANIA 2015-2020.Unakerekwa basi Hamia BURUNDI Kwao Jenerali Ulimwengu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad