Je, TBC watarusha habari ya SUMAYE kujiunga Na Makamanda?

Ni wazi kuwa TV ya Taifa imekuwa hairushi kabisa habari za ukawa...sasa leo tutegemee kurushwa habari hii ya waziri mkuu mstaafu mh.sumaye kujiunga na makamanda?

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Badilikeni jamani si mnataka mabadiliko kuweni kama nchi za wenzetu mfano Fox News wao Republicans na NBC wai Democratic cha ajabu nini kama TBC hawata rusha matangazo ya ukawa ebooo.

    ReplyDelete
  2. Mbona hamuelewi na wala hamuioni picha CHADEMA NA 80% YA UKAWA NI WATU WA BASI MOJA Sumaye hatokei TUNDURU jamani Wasiposhinda what will be their next move??? kuweni macho na hao watu wasiotosheka na wenye TAMAAAAAA

    ReplyDelete
  3. Acha uzembe wa kufikiri TBC ni TV ya taifa kwa nn wasirushe kwani ukawa ni wakimbizi? usituandikie hoja za kishamba humu ndani.

    ReplyDelete
  4. Warushe wasirushe Haituhusuuuuu,,, UKAWA a.k.a UKIWA Mpoooooooooo,,,,, Sumaye nae ndio huyo kaingia kuwa vuruga kama Esta Bulaya wa Bunda

    ReplyDelete
  5. Lakini tofauti ni kwamba FOX na CNN au TBC si vyombo vya uma wa wamarekani BALI ni mali za watu BINAFSI (private). TBC ni mali ya WATANZANIA wote. Television ya UMMA. Itumike kutoa habari bila ya KUANGALIA upande mmoja TU (bias).

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad