Picha 5 za LOWASSA Akisindikizwa Ofisi za NEC na Maelfu ya Wananchi Kuchukua Fomu ya Urais
Jiji la Dar Lasimama: Hapa Kuna Picha 5 za LOWASSA Akisindikizwa Ofisi za NEC na Maelfu ya Wananchi Kuchukua Fomu ya Urais
44
August 10, 2015
Tags
kazi kweli kweli
ReplyDeleteEdo kuchukua fomu mafuriko, Magufuli mafuriko kuchukua fomu media mwaka wenu kutajirika wala hampandishi watu presha
ReplyDeleteuko kama mpinga kristo
DeleteMungu wetu onekana kwa Wa-TZ
ReplyDeleteili yote yapite kwa amani.
kama hawa wote anawaonga lowassa kama anavyosema CCM basi lowassa anamzidi ukwasi hata abrahamovich
ReplyDeletemh
ReplyDeletelowasa kweeeliiiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeletemsukuma wetu atakandamiza tuuu
ReplyDeleteNdio mwanawane!!
DeleteKama kura zitapigwa kwa mtindo wa ndiyooo basi ameshinda kwa leo lakini kama tutapanga mstari kutoa maamuzi yetu toka moyoni kazi bado sanaaa. Kura ni siri yako.
ReplyDeletekandamiza geteeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteNa huyo msukuma wenu atakandamizwa chini vibaya wala hujakosea,watu wamechoka na nyie wezi,miaka 50 for nothing.
ReplyDeletehata lowasa ni mwizi pia miaka 50 for nothing nalowasa alikuwemo sasa hop wewe unasemaje pimbi wewe
Deletemtasubili sana na mtaisoma no. ccm oyeeeeeeeeeeee!
DeleteTukumbuke hapo kuna vyama vinne Chadem, NCCR, CUF na ???!!!! Baba lao CCM walikuwa peke yao..........mbona bado, ukawa mtasubiri sana tu............ Magufuli woyeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteumeona eee watajaza sana wqatu but kura kwa makufuri tu
DeleteFISADI PAPA linawapambe wake.........
ReplyDeleteCCM waishiwa propaganda machine Jamani tafuteni vijana wa marketing wawapangie vitu vya kutumia kuwashinda hawa watu.marketing communication ya ccm inaonekana iko poor ukilinganisha na ukawa ndugu zangu CCM jimudu au mnaondoka.
ReplyDeleteMIMI NA WAOMBA WOTE MPIGE KULA BASI NDIO KITU MHUMU
ReplyDeleteWOTE MKIPAGA KULA BASI UKAWA WANAPITA BILA MATATIZO
ReplyDeleteWatu nyomi,huyu jamaa lazima kawapa hela wote hawa
ReplyDeletewa mbili.......!
ReplyDeleteSwali wote hao wamejiandikisha kupiga kura😂
ReplyDeleteKura lazima tupige,mwaka huu tumeamua ccm lazima tuwatoe,mkinipa hela nakula na kura siwapiiiii...tena huyo magufuli anavyoongozana na kikwete ndo kabisaaa hashindi maana inaonekana lao moja mwenzio kaharibu we unamng'ang'ania tu...pipoooooooo pawaaaaaaa
ReplyDeleteKinana kawaita walioondoka CCM ni makapi! Swali LA PILI waliobaki CCM AMBAO SI MAKAPI Wwataipigia CCM kura? Hilo ndio swali la msingi! Huenda hata mama wa UWT asipigie chama chake cha mijizi kura! TUNA IMANI NA LOWASSA. TUNA IMANI NA LOWASSA! Labda sasa hivi mtufumbe macho. Miaka 50 HAMUWEZI kuifanya Tanzania iendelee nchi ya BONGO tuuuuuu, yaani kutumia UJANJA UJANJA kutafuta RIZIKI ya kila siku! Hayo yamepitwa na wakati. CCM someni alama za nyakati! CCM angalieni kilichotoke KENYA, TUNISIA (na Arab Springs na Winter Springs zilivyoendelea). Gobachev mwenyewe alishindwa wakati wa Perestroika! Mungu ibariki Tanzania, Mungu mmbariki Raisi wetu anaesubiri kuapishwa: Edward Ngoyai Lowassa!
ReplyDeleteKatika hiyo miaka 50, huyo rais wenu fisadi alikuwa wapi? Kuhamia kwenu Leo kawa mpya!!!!! Halooooooooo.........CCM miaka 80000000000000000000000!!!!
DeleteWaliondoka CCM kaka ni mapaki kweli ni afadhali ya Slaa ulimwengu mzima unafatilia huo uchaguzi unavyoendelea sio kama vile uchaguzi wa balozi wa nyumba kwa mambo hayo yanaishia melmle town lakini ulimwengu mzima wanamjua Edo kupitia Chadema walivyomtangaza kuwa fisadi leo ulimwengu mzima leo unatuona tuna vichwa vya wendawazimu tunaungana na chadema kumsafisha na kutafuna matapishi yao hii ni aibu ni afadhali uchaguzi huu ungefanyi bila nchi za nje kuelewa kuficha aibu yetu na atakae amini kweli watanzania kuwa tuna serikali safi inayopigana na adui fisadi wakati rungu kapewa fisadi kama walivyo nukuu wao wenyewe Chadema kuwa ushahidi wanao kuwa Edo ni fisadi wakutupa
DeleteCCM mmepaniki na vikomenti vyenuuuu...poleni sana jipeni moyo ila jibu mnalo, watu tushachoka wasomi wengi ajira hamna...ukijiajiri vikodi vya kijinga vinakukandamiza...ukisema ulime ndo duuuuu shida tupu heee tunataka mabadiliko.
ReplyDeleteNdio kusema ukawa wataleta ajira na hawata chukua kodi?? HATUDANGANYIKI...........CCM DAIMA.........
DeleteHizo kauli zenu kwamba hawajajiandikisha ndio mwanzo wenu wa kuiba kura!! tumewashitukia ccm, safari hii ukawa tutalinda wenyewe mabox ya kura! maana kwenye kura zenu za maoni mmeibiana kura vilio kila kona ya nchi lo!
ReplyDeleteManeno yenu ni hayohayo miaka nenda miaka rudi, hamjiamini.......CCM mbele kwa mbele, mtaisoma plate namba tu......
Deletewanaopenda ccm walalahoi ni machizi lazima wapimwe akili ! miaka 50 hakuna kitu uwizi tu.
ReplyDeleteKwa hiyo wakihama CCM huo ulalahoi utawatoka?? HATUDANGANYIKI, CCM JUU ZAIDI
DeleteWatu wanasubiria kuona Chenga Twawala na Hands of God.
ReplyDeleteNa nyie wengine mnavyokiboronga kiswahili yaani ni kichefuchefu"Neno sahihi ni"KURA"Kudadeki na sio"KULA"Msituharibie lugha yetu nzuri au neno shule hamjawahi kulisikia nini?Nendeni shule mkaki brush up kiswahilini chenu cha ugokoni alaah!Ndio maana mnaibiwa mchana mchana na mafisadi huku mnaona
ReplyDeletena kwa taarifa zenu watu hawauzi sura wala kujifurahisha hapo watu walishajiandkisha kupiga kura na kuiba msahau maana ndio mnalo waza, nyie pigeni vijembe subirini mapinduzi ya kweli October.TEAM UKAWA.
ReplyDeleteMtashemeka tuuuuuuu
DeleteWhat is UKAWA, please explain
Deleteccm oyeeeeeeeeeeeeeeeee
DeleteYou want to know who is UKAWA?wait in October you will find out.
ReplyDeleteLOWASSA KATUMWA NA CCM, UKAWA NA CHADEMA HAMSITUKI? MTAKUJA LIA MACHOZI YA DAMU
ReplyDeleteYote mema tu kwa sababu Yeyote aliyemuoa mama ni Baba hivyo ccm wameshindwa mke ukawa itamuoa tu
ReplyDeleteWATANZANIA TUNA MATATZO NA TUNAPEND SANA KUSAPOTI WATU WANAFIKI NA WENYE KELELE ZA MIDOMONI,JAMBO NALOJIULIZA HIVI HWAW VYAMA VINGNE VYA SIASA WANA AKILI KWEL CHO WATAKIPATA WANAZANI,,,MNMJUA MCHAGA MNMSIKIA HUYO LOWASA MWENYEWE WAMEMKUBALI KWA KUWA NI WA KASKAZIN VINGNEVYO WASINGE,NAMUONEA HURUMA LOWASA WA WATU ACHEZE KWA AKILI NA KINA MBOWE HAWACHELEWI KUMGEUKA,,NA KUIKUMBUKA CCM.TUNAOMBA NCHI YA AMANI NA UCHAGUZI WA AMANI BASI,HAWA WENYE UCHU WA MADARAKA WASITUVURUGIE AMANI YETU,NA WATANZANIA TUACHE UJINGA NA USHABIKI TUJIFUNZE KUFIKILIA.
ReplyDeleteacha uoga ndugu yangu,huu ni muda wa mabadiliko.
Delete