Jiji la Dar Lasimama: Hapa Kuna Picha 5 za LOWASSA Akisindikizwa Ofisi za NEC na Maelfu ya Wananchi Kuchukua Fomu ya Urais

Picha  5  za  LOWASSA  Akisindikizwa  Ofisi  za  NEC  na  Maelfu  ya  Wananchi  Kuchukua  Fomu  ya  Urais




Post a Comment

44 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kazi kweli kweli

    ReplyDelete
  2. Edo kuchukua fomu mafuriko, Magufuli mafuriko kuchukua fomu media mwaka wenu kutajirika wala hampandishi watu presha

    ReplyDelete
  3. Mungu wetu onekana kwa Wa-TZ
    ili yote yapite kwa amani.

    ReplyDelete
  4. kama hawa wote anawaonga lowassa kama anavyosema CCM basi lowassa anamzidi ukwasi hata abrahamovich

    ReplyDelete
  5. lowasa kweeeliiiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  6. msukuma wetu atakandamiza tuuu

    ReplyDelete
  7. Kama kura zitapigwa kwa mtindo wa ndiyooo basi ameshinda kwa leo lakini kama tutapanga mstari kutoa maamuzi yetu toka moyoni kazi bado sanaaa. Kura ni siri yako.

    ReplyDelete
  8. kandamiza geteeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  9. Na huyo msukuma wenu atakandamizwa chini vibaya wala hujakosea,watu wamechoka na nyie wezi,miaka 50 for nothing.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hata lowasa ni mwizi pia miaka 50 for nothing nalowasa alikuwemo sasa hop wewe unasemaje pimbi wewe

      Delete
    2. mtasubili sana na mtaisoma no. ccm oyeeeeeeeeeeee!

      Delete
  10. Tukumbuke hapo kuna vyama vinne Chadem, NCCR, CUF na ???!!!! Baba lao CCM walikuwa peke yao..........mbona bado, ukawa mtasubiri sana tu............ Magufuli woyeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeona eee watajaza sana wqatu but kura kwa makufuri tu

      Delete
  11. FISADI PAPA linawapambe wake.........

    ReplyDelete
  12. CCM waishiwa propaganda machine Jamani tafuteni vijana wa marketing wawapangie vitu vya kutumia kuwashinda hawa watu.marketing communication ya ccm inaonekana iko poor ukilinganisha na ukawa ndugu zangu CCM jimudu au mnaondoka.

    ReplyDelete
  13. MIMI NA WAOMBA WOTE MPIGE KULA BASI NDIO KITU MHUMU

    ReplyDelete
  14. WOTE MKIPAGA KULA BASI UKAWA WANAPITA BILA MATATIZO

    ReplyDelete
  15. Watu nyomi,huyu jamaa lazima kawapa hela wote hawa

    ReplyDelete
  16. wa mbili.......!

    ReplyDelete
  17. Swali wote hao wamejiandikisha kupiga kura😂

    ReplyDelete
  18. Kura lazima tupige,mwaka huu tumeamua ccm lazima tuwatoe,mkinipa hela nakula na kura siwapiiiii...tena huyo magufuli anavyoongozana na kikwete ndo kabisaaa hashindi maana inaonekana lao moja mwenzio kaharibu we unamng'ang'ania tu...pipoooooooo pawaaaaaaa

    ReplyDelete
  19. Kinana kawaita walioondoka CCM ni makapi! Swali LA PILI waliobaki CCM AMBAO SI MAKAPI Wwataipigia CCM kura? Hilo ndio swali la msingi! Huenda hata mama wa UWT asipigie chama chake cha mijizi kura! TUNA IMANI NA LOWASSA. TUNA IMANI NA LOWASSA! Labda sasa hivi mtufumbe macho. Miaka 50 HAMUWEZI kuifanya Tanzania iendelee nchi ya BONGO tuuuuuu, yaani kutumia UJANJA UJANJA kutafuta RIZIKI ya kila siku! Hayo yamepitwa na wakati. CCM someni alama za nyakati! CCM angalieni kilichotoke KENYA, TUNISIA (na Arab Springs na Winter Springs zilivyoendelea). Gobachev mwenyewe alishindwa wakati wa Perestroika! Mungu ibariki Tanzania, Mungu mmbariki Raisi wetu anaesubiri kuapishwa: Edward Ngoyai Lowassa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Katika hiyo miaka 50, huyo rais wenu fisadi alikuwa wapi? Kuhamia kwenu Leo kawa mpya!!!!! Halooooooooo.........CCM miaka 80000000000000000000000!!!!

      Delete
    2. Waliondoka CCM kaka ni mapaki kweli ni afadhali ya Slaa ulimwengu mzima unafatilia huo uchaguzi unavyoendelea sio kama vile uchaguzi wa balozi wa nyumba kwa mambo hayo yanaishia melmle town lakini ulimwengu mzima wanamjua Edo kupitia Chadema walivyomtangaza kuwa fisadi leo ulimwengu mzima leo unatuona tuna vichwa vya wendawazimu tunaungana na chadema kumsafisha na kutafuna matapishi yao hii ni aibu ni afadhali uchaguzi huu ungefanyi bila nchi za nje kuelewa kuficha aibu yetu na atakae amini kweli watanzania kuwa tuna serikali safi inayopigana na adui fisadi wakati rungu kapewa fisadi kama walivyo nukuu wao wenyewe Chadema kuwa ushahidi wanao kuwa Edo ni fisadi wakutupa

      Delete
  20. CCM mmepaniki na vikomenti vyenuuuu...poleni sana jipeni moyo ila jibu mnalo, watu tushachoka wasomi wengi ajira hamna...ukijiajiri vikodi vya kijinga vinakukandamiza...ukisema ulime ndo duuuuu shida tupu heee tunataka mabadiliko.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio kusema ukawa wataleta ajira na hawata chukua kodi?? HATUDANGANYIKI...........CCM DAIMA.........

      Delete
  21. Hizo kauli zenu kwamba hawajajiandikisha ndio mwanzo wenu wa kuiba kura!! tumewashitukia ccm, safari hii ukawa tutalinda wenyewe mabox ya kura! maana kwenye kura zenu za maoni mmeibiana kura vilio kila kona ya nchi lo!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Maneno yenu ni hayohayo miaka nenda miaka rudi, hamjiamini.......CCM mbele kwa mbele, mtaisoma plate namba tu......

      Delete
  22. wanaopenda ccm walalahoi ni machizi lazima wapimwe akili ! miaka 50 hakuna kitu uwizi tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa hiyo wakihama CCM huo ulalahoi utawatoka?? HATUDANGANYIKI, CCM JUU ZAIDI

      Delete
  23. Watu wanasubiria kuona Chenga Twawala na Hands of God.

    ReplyDelete
  24. Na nyie wengine mnavyokiboronga kiswahili yaani ni kichefuchefu"Neno sahihi ni"KURA"Kudadeki na sio"KULA"Msituharibie lugha yetu nzuri au neno shule hamjawahi kulisikia nini?Nendeni shule mkaki brush up kiswahilini chenu cha ugokoni alaah!Ndio maana mnaibiwa mchana mchana na mafisadi huku mnaona

    ReplyDelete
  25. na kwa taarifa zenu watu hawauzi sura wala kujifurahisha hapo watu walishajiandkisha kupiga kura na kuiba msahau maana ndio mnalo waza, nyie pigeni vijembe subirini mapinduzi ya kweli October.TEAM UKAWA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mtashemeka tuuuuuuu

      Delete
    2. What is UKAWA, please explain

      Delete
    3. ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeee

      Delete
  26. You want to know who is UKAWA?wait in October you will find out.

    ReplyDelete
  27. LOWASSA KATUMWA NA CCM, UKAWA NA CHADEMA HAMSITUKI? MTAKUJA LIA MACHOZI YA DAMU

    ReplyDelete
  28. Yote mema tu kwa sababu Yeyote aliyemuoa mama ni Baba hivyo ccm wameshindwa mke ukawa itamuoa tu

    ReplyDelete
  29. WATANZANIA TUNA MATATZO NA TUNAPEND SANA KUSAPOTI WATU WANAFIKI NA WENYE KELELE ZA MIDOMONI,JAMBO NALOJIULIZA HIVI HWAW VYAMA VINGNE VYA SIASA WANA AKILI KWEL CHO WATAKIPATA WANAZANI,,,MNMJUA MCHAGA MNMSIKIA HUYO LOWASA MWENYEWE WAMEMKUBALI KWA KUWA NI WA KASKAZIN VINGNEVYO WASINGE,NAMUONEA HURUMA LOWASA WA WATU ACHEZE KWA AKILI NA KINA MBOWE HAWACHELEWI KUMGEUKA,,NA KUIKUMBUKA CCM.TUNAOMBA NCHI YA AMANI NA UCHAGUZI WA AMANI BASI,HAWA WENYE UCHU WA MADARAKA WASITUVURUGIE AMANI YETU,NA WATANZANIA TUACHE UJINGA NA USHABIKI TUJIFUNZE KUFIKILIA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha uoga ndugu yangu,huu ni muda wa mabadiliko.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad