Kasoro DART: Milango ya Mabasi ya Mwendokasi milango yake iko kushoto wakati vituo viko kulia!
8
August 20, 2015
Hii ndio Tanzania bwana. Mabasi yaendayo kasi milango yake iko kushoto na vituo viko kulia. Sasa sijui wamefanya kinyume. Najaribu kuwaza kwa sauti.
Tags
nakwambia hii nchi ya ajabu sana ni mambo ya zima moto mwanzo mwisho,sijui wataalamu wetu huwa wana waza nini hakuna kitu wanaweza kudesign halafu kikakamilika kwa asilimia mia moja hakuna,angalia mzani wa vigwaza leo la kuhamisha toka kibaha ilikuwa ni kutoa foleni lakini pale ndo balaa imeongezeka maladufu hata gari ndogo ambayo haipimi mzani unalazimika kaa kwenye foleni,hao ndo wataalamu wetu
ReplyDeleteDizaini ya nch za kigen hio formla. Mabas hayana kosa, mfano kwa wenzetu ulaya magari kupshana mkono kulia.... Ndo hvo... Hawakulijua wenzetu hilo au walsahau kuljua hilo mapema kabla hayajaja
ReplyDeleteHuo ni uongo sasa, haya mabasi yana milango pande zote, milango ya upande wa kulia iko chini kama unavyo iona, yakushoto iko juu kulinga na vituo
ReplyDeleteuongo acha
Huo ni uongo sasa, haya mabasi yana milango pande zote, milango ya upande wa kulia iko chini kama unavyo iona, yakushoto iko juu kulinga na vituo
ReplyDeleteuongo acha
Kwani hamtoingia?
ReplyDeleteHayo yanayoongelewa bungeni tu hayatekelezwi, ndio itakua sehemu zingine
ReplyDeleteBora yamefika mengine tutasolve hapa hapa nyumbani bana weee vipi!?
ReplyDeleteWANASEMA HAWA WA MABASI HAYA WATAFANYA MABORESHO YA NAULI YAANI JANJA YA KUONGEZA NAULI.KWA HILI HATOTOKUA TAYARI PILI MRADI HUU NI MKOPO WA SERIKALI TOKA BENKI TA DUNIA,WASIBAGUE NJIA TUTAUMIA RAIA WOTE KWA RIBA KUBWA SANA YA DENI LA TAIFA.DALADALA WANA HAKI SAWA YA KUTUMIA NJIA HIZI.NI ZA WOTE
ReplyDelete