Kasoro DART: Milango ya Mabasi ya Mwendokasi milango yake iko kushoto wakati vituo viko kulia!

Hii ndio Tanzania bwana. Mabasi yaendayo kasi milango yake iko kushoto na vituo viko kulia. Sasa sijui wamefanya kinyume. Najaribu kuwaza kwa sauti.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nakwambia hii nchi ya ajabu sana ni mambo ya zima moto mwanzo mwisho,sijui wataalamu wetu huwa wana waza nini hakuna kitu wanaweza kudesign halafu kikakamilika kwa asilimia mia moja hakuna,angalia mzani wa vigwaza leo la kuhamisha toka kibaha ilikuwa ni kutoa foleni lakini pale ndo balaa imeongezeka maladufu hata gari ndogo ambayo haipimi mzani unalazimika kaa kwenye foleni,hao ndo wataalamu wetu

    ReplyDelete
  2. Dizaini ya nch za kigen hio formla. Mabas hayana kosa, mfano kwa wenzetu ulaya magari kupshana mkono kulia.... Ndo hvo... Hawakulijua wenzetu hilo au walsahau kuljua hilo mapema kabla hayajaja

    ReplyDelete
  3. Huo ni uongo sasa, haya mabasi yana milango pande zote, milango ya upande wa kulia iko chini kama unavyo iona, yakushoto iko juu kulinga na vituo

    uongo acha

    ReplyDelete
  4. Huo ni uongo sasa, haya mabasi yana milango pande zote, milango ya upande wa kulia iko chini kama unavyo iona, yakushoto iko juu kulinga na vituo

    uongo acha

    ReplyDelete
  5. Kwani hamtoingia?

    ReplyDelete
  6. Hayo yanayoongelewa bungeni tu hayatekelezwi, ndio itakua sehemu zingine

    ReplyDelete
  7. Bora yamefika mengine tutasolve hapa hapa nyumbani bana weee vipi!?

    ReplyDelete
  8. WANASEMA HAWA WA MABASI HAYA WATAFANYA MABORESHO YA NAULI YAANI JANJA YA KUONGEZA NAULI.KWA HILI HATOTOKUA TAYARI PILI MRADI HUU NI MKOPO WA SERIKALI TOKA BENKI TA DUNIA,WASIBAGUE NJIA TUTAUMIA RAIA WOTE KWA RIBA KUBWA SANA YA DENI LA TAIFA.DALADALA WANA HAKI SAWA YA KUTUMIA NJIA HIZI.NI ZA WOTE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad