Kauli Ngumu Alisozisema Mh Sumaye Bila Kuogopa CCM Alipotangaza Rasmi Kujiunga na Ukawa



  • ‪ Hakuna mtu ambaye anaweza kufunga nadhiri na chama cha siasa"
  • Sina tatizo na mgombea wa CCM, nina amini hakuhonga na anachapa kazi,japokuwa ana mapungufu mengi katika nafasi hiyo"
  • Mwenyekiti alikuja na majina yake mfukoni, na yalikuwa yanafahamika,na mimi niliyafahamu"
  • Tatizo la rushwa katika chama cha mapinduzi wakati wa uchaguzi,limezidi"
  • Fedha nyingi zimetumika kwenye michakato ya urais, ubunge na udiwani"
  • Watoa rushwa wengi wametangazwa ndio wagombea wa ccm"
  • Maisha ya kuona hamna maisha nje ya ccm yamepitwa na wakati"
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu kaishiwa naye kama Magufuli hakuhonga na akapita na waliotumia pesa hawakupita kumbe kweli haki imetendeka sasa anashabikia nini au alitaka apite ya alie kuwa nazo ili waendeleze ufisadi ndo ingekuwaje hawa wanasiasa njaa mbona wanatuchanganya anaukubali ukweli huku anauponda Kikwete fagia wote hawa takataka walikumbatiwa mda mrefu hawakupata mtu wakuwashughulikia sasa kazi wanayo wanatapatapa kama wafa maji

    ReplyDelete
  2. sasa ukawa ni ccm B mm hapa cwaelewi vizuri mnakaribisha watu ambao wanapenda madaraka kuliko kufanya kazi hawa watu wawili walikua wakuu wa kuiongoza serekali miaka mingi tu tuseme leo ndo wanaumia na wananchi kipindi kile wanafupa mdomoni walikuwa bize kwakuwa hawana madaraka yoyote na hatima yao katika siasa ilikuwa imeisha sema nyinyi ukawa mnazingua hawa watu washatuumiza sana wananchi hawana sababu tena ya kuwatumikia wananchi watatuletea machafuko tu katika ukawa na nchi yetu kwa ujumla watakuzibeni kauli hata nyinyi viongozi wa ukawa mtawaogopa kwa kuwa wao wanajiona ndo watakayoipa ushindi ukawa hawa watu washatuongoza mpaka tulipofikia tunataka mabadiliko sio mtu wa ccm kaingia chadema kisha apewa nafasi kubwa unanambia mabadiliko mm naona biashara sio mabadiliko mabadiliko ni kuwakataa wale walioongoza taifa hili kwa uzembe na hawa wamo upande wangu siwezi hata siku moja nikaunga mkono siasa kama hz hazina kichwa wala miguu kutowasikiliza watu wasafi kama lipumba na Slaa kuwakaribisha watu ambao hawaeleweki kama Lowasa na Sumae mm naaza kuamini kama kuna watu wanawahujunu ukawa

    ReplyDelete
  3. sasa ukawa ni ccm B mm hapa cwaelewi vizuri mnakaribisha watu ambao wanapenda madaraka kuliko kufanya kazi hawa watu wawili walikua wakuu wa kuiongoza serekali miaka mingi tu tuseme leo ndo wanaumia na wananchi kipindi kile wanafupa mdomoni walikuwa bize kwakuwa hawana madaraka yoyote na hatima yao katika siasa ilikuwa imeisha sema nyinyi ukawa mnazingua hawa watu washatuumiza sana wananchi hawana sababu tena ya kuwatumikia wananchi watatuletea machafuko tu katika ukawa na nchi yetu kwa ujumla watakuzibeni kauli hata nyinyi viongozi wa ukawa mtawaogopa kwa kuwa wao wanajiona ndo watakayoipa ushindi ukawa hawa watu washatuongoza mpaka tulipofikia tunataka mabadiliko sio mtu wa ccm kaingia chadema kisha apewa nafasi kubwa unanambia mabadiliko mm naona biashara sio mabadiliko mabadiliko ni kuwakataa wale walioongoza taifa hili kwa uzembe na hawa wamo upande wangu siwezi hata siku moja nikaunga mkono siasa kama hz hazina kichwa wala miguu kutowasikiliza watu wasafi kama lipumba na Slaa kuwakaribisha watu ambao hawaeleweki kama Lowasa na Sumae mm naaza kuamini kama kuna watu wanawahujunu ukawa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad