Kikwete: Picha za mafuriko ya UKAWA ni za kutengeneza

Hiyo ni kauli ya raisi Kikwete kama ilivyonukuliwa na gazeti la TanzaniaDaima la leo.

My take:
Kukata roho ni shiiida!

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Raid soma alama za nyakati Mzee

    ReplyDelete
  2. Huyu mzee kaishiwa kweli,na video je wameziedit?wewe endelea kujipa moyo mzee mabadiliko yanakuja.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nani kakwambia kua video haiwezi ku editiwa? ?? Njoo nikufundishe Jinsi ya ku edit ili uache ushamba

      Delete
  3. Mwenye macho aambiwi tazama mheshimiwa! kwa macho yangu niliona mafuriko ya wtz kwenye viwanja.

    ReplyDelete
  4. wewe kikwete umekuwa mswahili kama Nape. ndio maana nyerere alisema usingeweza kuongoza nchi. unaongoza nchi kama mtoto wa mjini. hapa kariakoo na sehemu nyingi za dar es salaam, tumesema ccm BASI imeisha muda wake wa kuliongoza taifa hili.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tumsamehe bure ila tunza vizuri kichinjio chako

      Delete
  5. UMATI UMETENGENEZWA KWA KOMPYUTA.AAAH OOH KIKWETE UNAZIDI KUTUTIA HASIRA SANA SANA.UMETUTUKANA SANA KABISA SISI WATU WA MBEYA ARUSHA MWANZA NA ZANZIBAR.USHAURI WA BURE TUNAOMBA MALIZIA HII MIEZI YAKO MIWILI YA UTAWALA BILA KUKANYAGA MAENEO HAYA.TUNAJIULIZA HIVI KWELI UMEKOSA WASHAURI WA KUSOMA NYAKATI? HIVI KWELI?MUNGU WANGU

    ReplyDelete
  6. Si yeye muheshimiwa nasikia sasa muda mrefu anashinda ofisini peke yake hataki mshauri wala mkewe Mama salma wala mwanae Ridhwani anadai wao ndio waliompotosha na kumfikisha kwenye hali hii.Tunadhani chanzo cha tatizo ni yeye mwenyewe kwani Mama salma alilipeleka jina la MEMBE kwenye Kamati kuu.Asimsingizie mama yetu kama umeamua kumpa talaka we mpe tuu

    ReplyDelete
  7. Ni kweli huyu bwana hashauriki hila na njama za`MEMBE Zimeimaliza CCM Na Zimemmaliza Mhe.Sikiliza Mwisho wa Ubaya AIBU.Sasa miti yote inateleza Atakwea upi?

    ReplyDelete
  8. SEEMS TO BE GOING OUT OF NUTS NOW DOCTORS COME ON NOW FOR A VERY DELICATE RESCUE PLEASE.TAKE MY ADVISE SERIOUSLY.ATAKABIDHI VIPI OFISI KWA MHESHIMIWA LOWASSA?

    ReplyDelete
  9. KIWEWE TAYARI NA KUSHINDWA VIBAYA KUNAFUATIA

    ReplyDelete
  10. Ushauri wa bure kwa mheshimiwa.ni vema kwanza akawa anafikiria madhara ya matamko yake kwa jamii na nini kinaweza kutokea baada ya hapo.Mimi nilikuwa mmoja wa malaki kwa malaki ya wananchi wa Mwanza tuliojitokeza kumlaki LOWASSA.leo hii unasema si kweli wapiga picha wamegushi.Pressmen walikua zaidi ya 10,000 Sasa UNAWATUKANA woote hao.Mimi ninaanza kuwa na hofu kwamba CCM ITAYAKATAA MATOKEO 25 Oct

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad