Kila Kitu Wazi.. na DiamondPlatnumz Kaonyesha Anamsupport Mgombea Urais Gani 2015.

Ni mwaka wa Uchaguzi Tanzania ambapo upinzani mkubwa unaonekana kwenye Wagombea wawili ambao ni John Pombe Magufuli atakaegombea kupitia CCM na Edward Lowassa aliyechukua fomu ya CHADEMA kwenye headlines za muungano wa vyama vya upinzani (UKAWA)

Tayari mpaka sasa tumeona baadhi ya mastaa wa Tanzania wakiweka wazi watu wanaowakubali kati ya hawa wawili, miongoni mwao ni Wema Sepetu aliyeweka wazi kumsupport Magufuli, mwigizaji Jackline Wolper na Aunty Ezekiel wanamsupport Edward Lowassa na sasa ni Diamond kaweka wazi.

Diamond anamsupport John Pombe Magufuli na kayaandika haya >>> Iwe Msanii, Mtangazaji, ama Mwanamichezo, ila Kila Mtanzania anahaki ya Kuchagua kiongozi anaeamini ni Bora, Mchapa kazi, Mwenye Afya na Msimamo ili kutuendelezea Nchi yetu… Kwa Uchunguzi na tathmini niliyoifanya tangu hizi mambo za Kampeni zianze nimegundua na kuamini kuwa huyu ndio Jembe

Kwenye sentensi ya pili Diamond akaandika >>> ‘Nitakuandikia na kukupostia ushahidi kukuthibitishia kwanini nimeona John Magufuli Pombe ndie anaefaa… unapohisi na wewe una fact za kumtetea umtakaye karibu uniambie hapo halaf na mi nikumwagie zangu, ila usijisumbue Matusi coz hayatokusaidia wala kunisaidia kunibadilisha akili yangu kwa sababu sanasana ntakuona Huna akili Maana nishayazoea, nipe fact zako nami nikupe zangu ili pamoja Tujenge nchi….. #HapaKaziTu #Ccm

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Diamond mimi niko nje ya nchi but I support uamuzi wako amuwezi kuchagua rais maututi afya iko karibu na ziro anasahau anayoongea.Lwasa ana matatizo ya akiri amini usiamini.Depuration imempiga vibaya ukichanganya na madeni yake yupo hoi.

    ReplyDelete
  2. Afya ya mtu ni muumba ndio anajua..............unaweza ukawa na afya bora but ukadondoka china na yule mnayemuona na afya mgogoro akawa anadunda tu,naona wote ni mashabiki tu fact ila UKAWA OYEEEEE!!!

    ReplyDelete
  3. TUKO PAMOJA, WATU WANA UCHU WA MADARAKA. KAMA CCM NI CHAMA KIBOVU
    MBONA HAWAKUONDOKA SIKU ZA NYUMA ???
    KWA KUWA NAFASI YA URAISI HAKUPATA NDIO AKAONDOKA, MAANA YAKE NI KUINGIA
    IKULU KWA NAMNA YOYOTE ILE, ( SIO SAWA ) ANGEONDOKA MIAKA YA NYUMA , NINGEMHESHIMU SANA, LAKINI SI BAADA YA KUKATWA JINA.
    NA HAWA CHADEMA. JUZI LOWASA ALIKUWA FISADI HIZO NDIO ZILIKUWA KAULI ZAO.
    LEO , WANATUAMBIA HAKUNA USHAHIDI.
    HUYU LOWASA ANGESIMASHWA NA CCM, WANGESEMA, WAMESIMAMISHA MWIZI. KAMA UWAZIRI MKUU ILIMSHINDA, URAISI ATAWEZA,,
    HII NI KAMA GAME, HATA HAO WAPINZANI, WANA CHEZA GAME.
    CCM MJIFUNZE SASA . TOENI MAFISADI WOTE, VIONGOZI WAZURI BADO WAKO WENGI

    NAMKUBALI MAGUFULI 100%
    GOOD LUCK

    ReplyDelete
  4. Yaani Domo leo umeongea la maana sana nchi ni John Pombe Magufuli,we luv u Jembe.

    ReplyDelete
  5. Watanzania bhana ivi miaka 50, ulitaka uwe unapewa ela bila kufanyakazi alafu uyo lowasa alifanya nn ktkbuongozibwake na jembe kafanya nn toa facts siyo mnafuata mkumbo tu hapa tunataka mchapa kazi nasiyo taasisi ya mtu na pato lake.

    ReplyDelete
  6. Baba lowassa ukipita naomba tusiwaone hawa watu ikulu,nipo chini ya miguu yako naomba urudishe heshima ya ikulu.,maana sahv kila mtu kashika nchi,nakuomba sana baba waishie kwenye majukwaa tu tena usiwaendekeze kabisa mara selfie mara kupiga ngoma tunataka mabadiliko baba

    ReplyDelete
  7. NANI NINA MAANA MTANZANIA YUPI MWELEWA ANGEMTEGEMEA DIAMOND KUJIUNGA KAMBI YA UKAWA?KIKWETE NDIYE MENEJA MASOKO WAKE,KIUNGANISHI.HUYU BWANA ANA CHUMBA HAPO URSINO NYUMBANI KWA KIKWETE.ANATUMIA NDEGEYA SERIKALI YA MHE.KUPELEKWA SOUTH AFRICA NA KURUDISHWAKAMA VIP.UPO MSULULU MKUBWA MNO WA MAHUSIANO YAO.

    ReplyDelete
  8. Miaka 50 ya uhuru lakini wananchi wengi wanaishi maisha ya umaskini,inshu sio kupewa hela bila kufanya kazi bali ukione kile ulichokiangaikia kwa kufanya kazi mfano rahisi wakulima wanalima sana lakini walio wengi bado wanaishi maisha ya kimaskini sana

    ReplyDelete
  9. SAWA ENDELEA KUSEMA DAMDAM ASKARI MAGEREZA`WANAMSUBIRI KWA HAMU,WATAMCHENJIA HUWEZI KUAIMINI.KIBWAGIZO KIDOOOGO;FEDHA ZA ESCROW LILE GUNIA LA BILLION TANO ALIBEBA NANI TOKA MKOMBOZI BENKI NA LIKAPELELEKWA NANI NA ALIPOKEA NANI

    ReplyDelete
  10. OOOOOOHHHHH BILLION TANO ZA ESCROW KAFULILA UPOOO JIANDAE KWA HOJA HIYO NZITO BUNGE LIJALO LA UTAWALA MPYA WA LOWASSA MWEZI WA 11.MCHAKA MCHAKA WALEETE HAOOO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad