Lowassa Avunja REKODI Jijini Mbeya..Ni Mafuriko ya Watu Haijawahi Tokea


Hii Ni Zaidi ya mafuriko Angalia Jinsi Watu walivyojazana Uwanjani Kumshuhudia Mgombea wa Chadema Edward Lowassa Mbeya...
Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HA HA HA SA HIVI WATAKAA, LOWASA TUU HANA MPINZANI

    ReplyDelete
  2. MBONA KIDOGOO HAO, HUKU ARUSHA TUNATAKA TUVUNJE RECORD KABISA YA DAR NA MBEYA

    ReplyDelete
  3. KIMBIZA KIMBIZA BABA MPAKA KIELEWEKE...

    ReplyDelete
  4. Mzee wa udaku bado wewe subiri wanafikiri tunacheza hawa bado wasubiri muvi yenyewe atakapokuja musoma.

    ReplyDelete
  5. ENDAPO ATASHINDA NA AKASHINDWA KUTIMIZA MALENGO ...TUTAMUUA!!!!

    ReplyDelete
  6. watanzania wamekwisha chagua kwa mioyo yao,tena thabiti,pasipo chembe ya wasiwasi kwamba rais wetu ajaye ni mh. edward ngoyai lowassa.ewe mwenyezi mungu mzidishie hekima ya maamuzi katika uongozi wake ujao,eeeemiiin.

    ReplyDelete
  7. watu wakijitokeza hivi kupiga kura, nakura zakahesabiwa kwa haki, na hata zikahesabiwa na watu kutoka nje ya nchi. LOWASA ndiye raisi wetu ajae, bila ubishi.

    ReplyDelete
  8. penye ukweli uongo hujitenga.ni hivi,hulka ya binaadamu akiisha amua ameaamua liwe jua iwe mvua,iwe kiza uwe mwanga.watanzania wengi,wengi,wengi,wengi tumekwisha muweka rohoni mheshimiwa lowassa,ndiye rais wetu ajaye wa awamu ya tano.tuendelee kumpamba.kisongorombingo poleni,yamewafika.mtoke?mtatokaje?

    ReplyDelete
  9. NAPEEEE...OIL CHAFU HIYOOOO........KINANAAAA....MAKAPI HAYOO

    ReplyDelete
  10. MIJITU INAJAZANA KAMA HIVYO LAKINI SIKU YA KUPIGA KULA WANAIPIGIA CCM MAFISADI WAKUU DUNIANI. NAWAOMBENI MUSIFANYE MAKOSA MWAKA HUU. NCHI HII SIO MASIKINI ILA CCM NDIO INAFANYA NCHI NA WATU WAKE KUWA MASIKINI

    ReplyDelete
  11. Tutaiba kura tu Ikulu mtaisikia Redioni habari ndio hiyo,,,,, tumejipanga kila Idara,,,,,, Mbeya tulikuja kumuona Lowasa tu na Mvi zake yulikua hatumjui,,,,, tunamtaka Dr slaa ndio mpinzani wa kweli.

    ReplyDelete
  12. Mtabaki kuwa Makapi mwanzo mwisho

    ReplyDelete
  13. Nape kajifiche huko Lindi

    ReplyDelete
  14. UKUBWA WA PUA, SI WINGI WA MAKAMASI...

    ReplyDelete
  15. Ccm hoyeeeeeeee,

    ReplyDelete
  16. Asiye kubali kushindwa si mshindani, mwaka huu mpaka kieleweke lowasa

    Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad