Lowassa Avunja Rekodi ya Mapokezi Jijini Mwanza....CCM Mpo ?
8Udaku SpecialAugust 16, 2015
Siku ya leo Mwanza ilikuwa ni noma zaidi ya noma yaani nimekuwekea picha Hapo juu ujionee mwenyewe mafuriko,,,,,,,,Hivi CCM mpo ? mbona simsikii magufunguo tena?
Lowassa Avunja Rekodi ya Mapokezi Jijini Mwanza....CCM Mpo ?
Wengi wao hapo ni ccm wengine wanakuja kumuona lowassa hawajawai kumuona live, sio wapigaji kura hao, kwaiyo ni kawaida tu kwa mtu maalufu kujaliwa na watu
Jamani ujue ukisikia harufu ya pilau inanukia ujue kuna sehemu kuna shughuli sasa kwa lowasa ukiona watu wengi wamejaaa keshakua raisi huyo. MImi sina chama ila lowasa anatisha jamani
Kulikuwa na wanamuziki na muziki wa kila aina, kwanini watu wasijea?? Nyie jaeni mpendavyo lakini hamtayakubali matokeo kama kawaida yenu......... J.P. Magufuli ndio mpango mzima..........CCM woyeeeeeee miaka 800....
Na huo ni moto wa mabua aiolsema huyu mswahili wa chalinze
ReplyDeletehakuna namna ya kumzuia kuingia ikulu,mimi ni ccm acha niseme tu ukweli huyu lowasa ni noma!
ReplyDeleteWengi wao hapo ni ccm wengine wanakuja kumuona lowassa hawajawai kumuona live, sio wapigaji kura hao, kwaiyo ni kawaida tu kwa mtu maalufu kujaliwa na watu
ReplyDeleteKwa hiyo na hao hapo amewapa hela? huo ni mwanzo tu bado tuko katika utelezi
ReplyDeleteJamani ujue ukisikia harufu ya pilau inanukia ujue kuna sehemu kuna shughuli sasa kwa lowasa ukiona watu wengi wamejaaa keshakua raisi huyo. MImi sina chama ila lowasa anatisha jamani
ReplyDeleteKulikuwa na wanamuziki na muziki wa kila aina, kwanini watu wasijea?? Nyie jaeni mpendavyo lakini hamtayakubali matokeo kama kawaida yenu......... J.P. Magufuli ndio mpango mzima..........CCM woyeeeeeee miaka 800....
ReplyDeleteHA HA HA ACHA NICHEKE MIYE!!!!
DeleteWewe jipe moyo kwamba hao ni ccm,nani anataka kusikia habari ya ccm?
ReplyDelete