Lowassa Avunja Rekodi ya Mapokezi Jijini Mwanza....CCM Mpo ?

 
Siku ya leo Mwanza ilikuwa ni noma zaidi ya noma yaani nimekuwekea picha Hapo juu ujionee mwenyewe mafuriko,,,,,,,,Hivi CCM mpo ? mbona simsikii magufunguo tena?
Lowassa Avunja Rekodi ya Mapokezi Jijini Mwanza....CCM Mpo ?

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na huo ni moto wa mabua aiolsema huyu mswahili wa chalinze

    ReplyDelete
  2. hakuna namna ya kumzuia kuingia ikulu,mimi ni ccm acha niseme tu ukweli huyu lowasa ni noma!

    ReplyDelete
  3. Wengi wao hapo ni ccm wengine wanakuja kumuona lowassa hawajawai kumuona live, sio wapigaji kura hao, kwaiyo ni kawaida tu kwa mtu maalufu kujaliwa na watu

    ReplyDelete
  4. Kwa hiyo na hao hapo amewapa hela? huo ni mwanzo tu bado tuko katika utelezi

    ReplyDelete
  5. Jamani ujue ukisikia harufu ya pilau inanukia ujue kuna sehemu kuna shughuli sasa kwa lowasa ukiona watu wengi wamejaaa keshakua raisi huyo. MImi sina chama ila lowasa anatisha jamani

    ReplyDelete
  6. Kulikuwa na wanamuziki na muziki wa kila aina, kwanini watu wasijea?? Nyie jaeni mpendavyo lakini hamtayakubali matokeo kama kawaida yenu......... J.P. Magufuli ndio mpango mzima..........CCM woyeeeeeee miaka 800....

    ReplyDelete
    Replies
    1. HA HA HA ACHA NICHEKE MIYE!!!!

      Delete
  7. Wewe jipe moyo kwamba hao ni ccm,nani anataka kusikia habari ya ccm?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad