Lowassa Funguka Kila Kitu Kuhusu Richmond, CCM Wanapanga Kukuanika

Wakati umefika kwa Lowassa kujibu mapigo na kuwaeleza watanzania kila kitu(A-Z) kuhusu Richmond maana kwa mujibu wa gazeti la Uhuru la leo tarehe 19/08/2015,CCM wanapanga kutumia kile kinachoitwa "file chafu" la Lowassa kukuchafua hivyo nawe jibu mapigo bila kuficha chochote vinginevyo itaku-cost.

Kichwa kimoja kidogo cha habari katika ukurusa wa mbele kinasomeka, "faili chafu lenye lundo za kashifa kufunguliwa J'pili".

Tukumbuke J'pili ndio CCM nao wanazindua campaign zao.

Yangu ni hayo tu.

By Salary Slip /JF

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SI ASEME NA YEYE,KWANI ANAOGOPA NINI WAKATI ANADAI HANA KOSA KWA HILI?

    ReplyDelete
  2. wakianza chafuana, hatabaki mtu! wafanye siasa za kistaarabu tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. NDIO VYEMA WAKICHAFUANA ILI WATANZANIA TUJUE MBICHI NA MBIVU.KWANI HATA UCHAGUZI SI UNAWEZA KUAHIRISHWA TUUUU?MUNGU WETU TUNAOMBA TULINDE WATANZANIA,TUEPUKE NA MACHAFUKO YOYOTE.

      Delete
  3. kwa hiyo wewe ndo unamshauri

    ReplyDelete
  4. heheheheeh nasikitika watu tunakurupuka kuwasafisha watu na kuwachafua watu..siri wanazijua wao ni bora tungebaki kumuomba Mungu atupe kiongozi bora na sio kukuruppuka kama waliokurupuka Libya sasa yale waliyokua wakiyapatana wakaona hawayatoshi na wamechoshwa na udhaifu mdogo wa kiongozi wao sasa wanatamani hata hayo machache pia yamekua shubiri...Yangu macho.....

    ReplyDelete
  5. Baada ya kupata uhuru tu bongo imekuwa ni nchi ya kupokea wakimbizi(ni kitu kimoja baabkubwa ni kibinadam)lakini tunatakiwa tuwe makini kweli kweli na hizo siasa za sasa hivi jinsi zinavyoenda la sivyo kuna siku wabongo tutajikuta sisi pia ni wakimbizi kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe wakati raia wakichinjana hao wanasiasa fake na familia zao watapanda ndege(kwa pesa wanazoiba) na kukimbilia nchi nyingine kuponda maisha huku nyuma yao walala hoi tunachinjana bila mpango"MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE WOTE ONE LOVE ONE AIM ONE DESTINY

    ReplyDelete
  6. mseme kikwete alivyohusika na Richmond; alivyohusika na sakata la escrow (eti tumemowmaba mama Tibaijuka akae pembeni - hayo ni maneno ya mtu aliye na madaraka kweli?)! Jamani tanzania tulikuwa hatuna Rais wa awamu ya nne!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad