Lowassa: Nitamtoa Babu Seya Gerezani

Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakama kuu ya Tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

Je Lowassa hautambui mhimili wa mahakama? Je utaachia wafungwa wote?

Lowassa ataleta mgongano wa kidola.

Chanzo: Raia Tanzania
Tags

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tumuingize Ikulu kisa kumtoa jela babu seya hii sera gani ushuzi badala yakutueleza nini utatufanyia watanzania cha maana ukiingia ikulu ili tukupe kura zetu unaanza na babu seya kwa kuona sisi wadanganyika siku zote tutabaki kudanganywa kwa ajili ya watu wapate ulaji Edo tafuta washauri wazuri wakushauri yaliyo na mvuto ili upate kura zetu

    ReplyDelete
  2. WE MWEHU NINI KIKWETE KAWATOA WAHALIFU SUGU KWA MAMIA KIFUNGONI.HUNA AKILI MCHIZI WEWE MALI YA CCM.UNATAKA KUTUAMBIA NINI WE PIMBI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe ni msenge kama hujui huu ni wakati gani na vitu gani viandikwe kutokana na wakati wake wee mbuzi sasa akitoka babu seya ndo safari ya mafanikio tulikuwa tunaisubiri kwa miaka hamsini kapige pasi kule au funga kopo lako ni wakati wakuangalia kikwete alitoa wangapi wahalifu naye babu seya atolewe ndo hayo yanatufanya tunafurika kwenye mabarabani tunamsubiria lowassa atwambie lini atamutoa babu seya wewe fala kabisa

      Delete
    2. HALAFU WANAJUAJE KWAMBA KWELI KASEMA? KAMA SIO PROPAGANDA?

      Delete
  3. Inakuwa kama ahadi za kijana anaetafuta mpenzi,mara nitakujengea nyumba,mara nitakununulia gari,na ahadi nyingi ambazo mwisho wa siku husahaulika.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
  4. RAIS ANAWEZA KUTOA MSAMAHA KWA MFUNGWA YEYOTE,

    ReplyDelete
  5. Lowasa anatafuta kiki haingii ikulu atoke hapa John Pombe Magufuli ndiye raisi wetu kwanzia october 2015.

    ReplyDelete
  6. Wahalifu wangapi kikwete kawatua kwa mamia kifungoni ?babu seya kafungwa kwa order ya mkubwa kwa wifu wa mapenzi

    ReplyDelete
  7. Chagua Lowassa kwa mabadiliko ya ukweli

    ReplyDelete
  8. JAMANI MSITUKANANE, KUWENI NA HOFU YA MUNGU WAPENDWA. HOJA BILA MATUSI TUTAWAELEWA TU NDUGU ZANGU.

    ReplyDelete
  9. kesi ya kubaka watoto wadogo ni kosa kubwa sana huyo Lwasa sijui kama ana akiri nzuri au ana ugonjwa wa kiharusi atambui anayoyasema.kweli chadema mumeonyesha uwezo wenu mfinyu wa kuchagua mgombea uraisi ambaye ajafikia ata kiwango cha darasa la nne katika kuelewa mambo.Hayo ndo mahamuizi magumu ya kumtoa mbaka watoto jela.Mungu ibariki Tanzania mwenye kiarusi asiione ikuru.

    ReplyDelete
  10. CCM OYEEE. MANGUFULI JUU JUU ZAIDI.KURA. YANGU UMEIPATA BABA

    ReplyDelete
  11. Ma- anonymous kuma2. Unae comment hata form4 hujafka. Nn unachokshangaa Lowassa kumtoa Gerezani bab sea..sheria ya mama ako. Kuna msamaha wa Rais fala ww

    ReplyDelete
  12. Lowasa hapati uraisi kwa oja za papii na nguza uyo lowasa hana hoja watanzania msifanye mchezo na ikulu ivi hiyo ndiyo hoja yakumuingiza mtu ikulu?unaongea kifua mbele kwabhoja zaifu!!!!

    ReplyDelete
  13. Rais yoyote ana nafasi ya kusamehe wafungwa, hivyo yeye hatakuwa mtu wa kwanza kumtoa mfungwa gerezani. sioni kama ni issue kuuubwa yeye kufanya hivyo.

    ReplyDelete
  14. Kwanza tuache matusi kwa kuwa hayajengi. Pili tunategemea sera za ukawa zitushawishi kumpa kura Lowasa na si vinginevyo. Huyo babu seya na sijui Bilali ni mtokeo ya Lowasa na wenzake akiwa kada wa chama tena katika Serikali. Alishindwa nini kumtetea wakati ule na aweze sasa? kama sio unafiki wa kutufanya watanzania wajinga na kumwamini? yeye kama mzalendo alifanya nini ili kuijenga Tanzania? aliwateteaje wanyonge alipokuwa katika Serikali anayoikosoa sasa akiwa nje tena kwa sababu tu ya kutaka Urais.
    Ushauri wangu ni kuwa uza sera na omba radhi kwa uliyowakosea watanzania ulipokuwa madarakani na kada wa CCm wenda tutakuelewa kuliko kutufanya wajinga. Unaijua sana Serikali hii lakini ulikuwa Mbinafsi na mwenye Tamaa ya kupindukia ndiyo maana haya yote hukuyaona, leo ndiyo unataka kusema yamekukera? acha unafiki. Huko Ikulu unakokutaka kwa gharam yeyote kuna nini? nijuavyo mimi kuongoza Nchi si mchezo, sasa unahama hadi chama kwa kuutafuta tu Urais kulikoni.

    Ningependa watanzania wote wajiulize swali hili. Hajasema akina mama lishe atawafanyia nini zaidi ya kuwadanganya atawasaidia wote, bodaboda pia atawasaidiaje? kila mtu anamhaidi atamtoa kwenye umaskini ila namna ya kumtoa hasemi, hii ni hatari. kama alishindwa kuisaidia Tanzania tangu ujana wake sijui kama ataweza uzeeni. huu ni uwongo tu ili aingie Ikulu tu.

    Jamani tumwombe Mungu atupe macho ya kuona zaidi na ubongo wa kupambanua haya tunayoyasikia sasa. Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  15. Ni kweli Raisi anao uwezo wa kutoa wafungwa, lakini huwezi kusimama mbele ya umati wa watu unaosubiri kujua utawafanyia nini ukiingia ikulu kwamba jambo lako la kwanza ni kumtoa babu seya na mwanawe gerezani. Sasa ukishawatoa watanzania watafaidika nini na hilo.

    Halafu siwaelewi ukawa kabisa manake kila anaesimama anasema ccm safari hii kwa heri na lazima tuing'oe ccm madarakani. Haya mkishaitoa ccm madarakani kisha nini sasa?? Sie tunataka kujua mtaifanyia nini nchi na sio kung'oana hiyo haina mashiko kwetu

    ReplyDelete
  16. LOWASA anajua fika kuwa sheria za mahakama zetu zimebibikwa na rushwa na ufisadi uliokithiri na hakuna haki inayotendeka, kwa kuamini kuwa Bubu Seya ana kesi ya kupachikiwa kwa utashi wa Kiongozi mmoja aliyechukuliwa hawara yake. kama kuna sheria za kweli wangeaanza kuwahukumu vigogo wa rushwa na wauwaji wa albino. aibu tupu

    ReplyDelete
  17. Nawashaanga sana waTanzania kuzidi kuishabikia ccm ambayo kwa zaidi ya miaka 50 imeshidwa kumkomboa Mtanzania masikia eti leo Mgufuli ndio ataweza kulikomboa taifa wakati akijua kuwa amezungukwa na mafisadi!!! ewe Mtanzania bila kuchelewa kura yako ya NDIO wape upinzani alau tuone tofauti ya miaka 5 ya kwanza.

    ReplyDelete
  18. Mh Lowasa kasema wapi kuwa atamtoa babu Seya au mnahamu tu yakutukana wenye asili ya matusi watoto washetani nyie kwani mkiongea kwa hoja hatuelewi hadi mtukane na Yule aliyesema wapinzani malofa na wapumbauvu hajatukana etii eeh!!

    Mkubwa akijamba bahati mbaya mdogo anachafua hali ya hewa sio .
    Kisheria kila Raisi anayo nafasi ya kuwatoa wafungwa gerezani kwa mujibu wa sheria hasa wakati wa sikukukuu za mashujaa maraisi wamekuwa wakifanya hivyo. Kwa hiyo wakati ukifika kama kweli atapata uraisi na kasema tutaona. Ni vema mkumbuke kuwa kila kitu kina utaratibu wake na raisi ni mkuu wa nchi. Mahakama, Bunge, na Serikali ni vyombo vinanavyojipambanua kwa kuwa na maamuzi huru lakini kwa Tanzania tujiulize anaye mteuwa jaji mkuu ni nani, anaye ongoza serikali ni nani? Naamini ni raisi sasa kitu gani anachoweza kushindwa kufanya akiwa raisi tena ndio maana tunaombwa kuwa makini katika maamuzi yetu vinginenyo hakuna mabadililiko tutakayo yaona tutaendelea kuliwa , kutawaliwa , kuongozwa na kuishia kuahidiwa na hakuna jipya tutakaloambulia
    Kumbuka maendeleo yako ni jitihada zako binafsi hata raisi awe nani hatakujazia hela mfukoni ila usiache kumchagua raisi bila ushabiki. Nakumbuka siku moja bunge lilipitisha nyongeza ya petroli wabunge wetu wakiipitisha kwa mbwembwe na kwa kugonga meza (wakati wa mh zakhia meghji akiwa waziri wa fedha). Nilikuwa naumia nilanngalia Bunge hukunikisaga meno!! na maisha yalibadilika kuwa magumu sana lakini aliyeumia na kuteseka ni mimi na wewe watu wa kawaida wenzetu hawana tabu maana wanaposho lukuki na kiinua mgongo cha mamilioni ya pesa wanazopata kwa miaka mitano tu ( milioni 240) wewe na mimi au mfanyakazi atazipata wapi hizo jamani angalieni ushabiki bila ufahamu ni mateso kwa watanzania wote

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad