Mabalozi wa mashina miamoja na kumi wa CCM mwenyekiti katibu kata wajumbe wa kamati ya siasa ya kata pamoja na wenyeviti wa mitaa minne katika kata ya Monduli mjini mkoa Arusha wamehama CCM na kuhamia Chadema.
Tukio ilo limetokea Monduli mjini leo majira ya saa sita mchana wakati viongozi hao walipo kusanyika na kutoa kauli ya kuhama CCM na kuhamia Chadema huku wakieleza sababu zinazo wafanya kufikia maamuzi hayo.
Kwa upande wao wenyeviti wa serikali za mitaa wajumbe wa nyumba kumi na katibu wa CCM kata ya Monduli Anna Erinest wameitaka jamii itambue kuwa hayo ni maamuzi yao binafsi na hayahusiki na shinikizo la mtu yoyote kama inavyo daiwa na baadhi ya watu kila wanaohama udaiwa wameshinikizwa.
na hii ni rasha rasha tuuuuu; mvua bado...nape upo hapo??? Nape na kINANA MUACHE ZADHARAU ZENU!! Nchi sio yenu NYIE!!
ReplyDeleteKaribuni sanaaaa ukawa ila wembe ni uleule,,, October 26 mtaisoma namba.
ReplyDeletewaende zao
ReplyDeleteHiyo idadi ilishatamkwa na CDM mara tu baada ya Edo kujiunga nao, hakuna jipya!!
ReplyDeleteCCM iko palepale.............haitikisiki..................
dakika 90.
ReplyDeleteKumbe monduli tuuuu,,,, nilifikiri Tanzania nzima,,,,,, bado kazi mnayo mnafikiri mwanza, shinyanga, tabora nao,,, watajiunga chadema pia? Siasa iko Arusha na Kilimanjaro tu ni shidaaaaa,,, october 26 ifiki jamani mungu ibariki ukawaaaaaa, waione october.
ReplyDeleteKwani Monduli si ni wilaya tu jamani??!! Au ndo Tz nzima?? Waandishi angalieni msije mkaiingiza nchi kwenye ukabila kwa ushabiki maandazi wenu.
ReplyDelete