Makapi Aliyosema Mh. Kinana Haya Hapa

“Nchi yetu inakwenda kwenye uchaguzi ikiwa na wagombea na makapi, sasa kati ya mgombea na makapi nani mshindi? - Kinana 04/08/2015

Wadau kutokana na kauli ya Mh Kinana aliyoitoa wakati akihutubia wanaCCM waliofika Lumumba kumsindikiza Mh Dr John Pombe Magufuli kuchukua fomu ya uraisi wa JMT, alimaanisha kwamba kila aliyetia nia ya uongozi CCM na hakupata fursa hiyo ni makapi. Nijuavyo makapi ni mabaki yeyote baada ya mchujo/mchakato.

Katika mchakato ule kulikuwa na watia nia 42 na baadae 38 walifanikiwa kurudisha fomu. Katika mchujo ule ni Magufuli pekee aliibuka kidedea baada ya michujo kadhaa. Kwa mantiki hiyo aliyepita kwenye chujio ni Magufuli na wengine waliobaki ndiyo MAKAPI. Kama nilivyomwelewa Mh Kinana ina maana hao MAKAPI hata wakishindana na mgombea wao sehemu yeyote ile hawatashinda.
Kwa mujibu wa Mh Kinana alimaanisha hivi:

A. Mgombea
1. John Pombe Magufuli

B: MAKAPI ( Waliobaki baada ya mchujo)Kwa kuwa hakuna mgombea yeyote aliyefukuzwa CCM baada ya mchakato wa kumtafuta mgombea uraisi kwa Chama Cha Mapinduzi kukamilika, neno MAKAPI linabaki kuwahusu wale wote waliochujwa kwenye mchakato na yeyote (makapi) akishindana na mgombea popote pale watashindwa.
Ifuatayo ndiyo listi ya MAKAPI kulingana na kauli ya Mh Kinana:

Bilal
Lowasa
Pinda
Mwakyembe
Sitta
Nyalandu
Mwigulu
Makamba
Kigwangwala
Chikawe
Ali Karume
Mwandosya
Amina Salum Ally
Asha Rose
Membe
Wassira
Makongoro
Ngeleja
Mpina
Sumaye
Muhongo
Sanoko
Mahiga
Jaji Ramadhani
Dr Mwele
Murenda
Boniface Ndembo
Bw Bilohe (Mkulima)
Peter Nyalali
Helen Elinewinga
Anthony Chalamila
Dk Muzamil Kalokola nk.
Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jua maana wewe mwandishi ndo ugeuze kibao usitake kuleta fitina za kijinga maana siye wabongo Ukiambiwa hiki ni kichwa utang'ang'ania na kulazimisha kuwa ni mguu walio chujwa na kubakia bila kuwa na tamaa ya kuutafuta ufalme kwa nguvu sio makapi na hawana dosari ya ufisadi hata chembe wewe mwenyewe shahidi kama sio mnafiki kama CDM baada ya kumpazia kuwa ni fisadi leo wanamwita lulu

    ReplyDelete
  2. Wewe mgombanishi na hututakii mema wa tz, acha huo upumbavu wako km wewe ni chadema tulia kimya uclete maneno yacyo na maana kwa taifa.
    Hv cc watanzania tupoje...!?

    ReplyDelete
  3. ndio maana yake hawa wajinga wana tukanana wenyewe kwa wenyewe na hii yote sababu wamelewa madaraka wakifkiri hii nchi ni ya baba yao,we subiri.

    ReplyDelete
  4. Wewe mgombanishi acha huo upumbavu wako,
    Hv cc wa tz tupoje...!?

    ReplyDelete
  5. Wewe mgombanisi acha huo upumbavu wako,
    Hv cc wa tz tupoje...!?

    ReplyDelete
  6. Wewe mgombanishi acha huo upumbavu wako,
    Hv cc wa tz tupoje....!?

    ReplyDelete
  7. Lowasa no uraisi hana msimamo ivi wananchi bado mpo gizani bado.

    ReplyDelete
  8. Sisi watu wakawaida tunaelewa wakati wa kampeni hakuna lele mamaTena namshangaa na kumuhurumia sijui ataweka wapi sura yake Edo ana roho mgumu zikianza kampeni ndio watu watamjua kweli ni kapi siri zote nje nje sasa kila mmoja anatapika anavyojua CCM watamchambua kama karanga CDM kosa walilofanya watalijutia milele badala ya kushambulia na kutangaza sera zao itabidi nguvu zote wazielekeze kumuhami Edo

    ReplyDelete
  9. wote walibaki ccm ni makapi,Waliobaki baada ya mchujo
    UNAPOHUJA UNABAKI NA MAKAPI .NA MAKAPI NI WOTE 38 Bilal
    Lowasa
    Pinda
    Mwakyembe
    Sitta
    Nyalandu
    Mwigulu
    Makamba
    Kigwangwala
    Chikawe
    Ali Karume
    Mwandosya
    Amina Salum Ally
    Asha Rose
    Membe
    Wassira
    Makongoro
    Ngeleja
    Mpina
    Sumaye
    Muhongo
    Sanoko
    Mahiga
    Jaji Ramadhani
    Dr Mwele
    Murenda
    Boniface Ndembo
    Bw Bilohe (Mkulima)
    Peter Nyalali
    Helen Elinewinga
    Anthony Chalamila
    Dk Muzamil Kalokola

    ReplyDelete
  10. Mwandishi hujielewi mshenzi Wa tabia hupaswi kuwa based umesomea wapi wewe?? So bue wewe ni kanjanja

    ReplyDelete
  11. Iachie comment yangu watu waisome waone usivyokua na akili

    ReplyDelete
  12. Iachie comment yangu watu waisome waone usivyokua na akili

    ReplyDelete
  13. Hii ni kaburi ya pesa na uongozi walizopata kina nape, Kinana na a kina Makonda kudharau wengine tu. Angalieni a kina D. Trump wanapodharau wengine wanachokipata kwenye TV na mitandao ya jamii

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad